Kwa muda mrefu sasa baada ya kifo cha Hayati Magufuli tumeshuhudia minyukano ya wazi ya kutokukubaliana baina ya Makada wa CCM kuhusu mwenendo wa baadhi ya mambo yawahusuyo wao kwa wao.
Hivi karibuni kwa mfano Makada na waliopata kuwa Katibu wa Nec na Uenezi wa chama kile ndugu Nape Nnauye na...