jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Pentesting; Jinsi ya kuexploit na kuaccess Free Unlimited Internet kwenye Android na iOS kwakutumia Tunneling Apps.

    Hello Ni wakati sasa tunajifunza jinsi ya kutafuta loopholes kwenye ISP yeyote unayehitaji, katika makala hii tuenda kujifunza jinsi Gani tunaweza tumia udhaifu wa ISP na kupata free internet access unlimited na capped (yenye ukomo) N:B; huu Uzi ni Kwaajili ya elimu pekee na sio vinginevyo...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi vyombo vya usalama vinavyoweza soma email zako kwa kutumia Namba ya simu kama security uliyoweka kwenye email yako

    Imezoeleka Kwa wengi kutumia Namba ya simu kama 2FA. Sasa tukija kuangalia usalama kawaida Huwa ni ndogo kwasabu zifuatazo. Email inbox na outbox hazijifuti kama ilivyo kwenye WhatsApp. Vyombo vya usalama vinaweza kupewa access ya jumbe fupi au calls unazotumiwa kwenye namba Yako ya simu...
  3. JamiiForums Tanzania Stori ya jinsi Sativa alivyotekwa yatua kwenye gazeti la The Guardian la Uingereza

    Wakuu, Inaonekana kama Sativa is here to stay. Siku ya leo, Gazeti la The Guardian kutoka Uingeereza limetoa bandiko linalohusu masuala ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini Edgar Mwakalebela maarufu alitajwa kama muhanga wa matukio ya utekaji yanayoendelea nchini ambapo pia alipata...
  4. JamiiForums Tanzania Msanii Willy Paul ameonesha umma kuwa ni jinsi gani ni kijana wa ovyo

    Taharuki iliyotokea Kenya haina mashiko zaidi ya ujinga Diamond Platnumz ni msanii mkubwa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla wala haina haja ya kubisha kufanya hivyo ni kukumbatia ubishi Anaempa binadamu ukubwa ni Muumba na huwezi kulazimisha kuthaminika ikiwa watu hawakuthamini Huyu...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Rwanda anavyojenga na kukarabati kwa kasi viwanja vyake vya mpira wa miguu, ni kama kuna kitu wanajua kitatokea kuelekea AFCON 2027

    Rwanda nadhani kuna nchi wameisoma inaweza kutema au kutemeshwa tenda ya AFCON 2027. Rwanda wanakarabati na kujenga viwanja kwa kasi kubwa sana. Juzi ninemsikia Waziri wa Michezo Mh. Ndumbaro, sikumuelewa, anasema iwanja wa taifa unaingiza watu karibu 60,000, lakini anasema wameagiza viti...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi wanaume walivyokwepa jukumu la msingi la kutongoza

    True story;
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi msamaha kutoka moyoni unavyoweza kuwa tiba maishani

    Kwa binadamu yoyote ambae ana akili timamu ni jambo lisiloepukika kupitia changamoto ya dharau, kashfa , kebehi , matusi kutoka kwa majirani, marafiki au watu wetu wa karibu kama mke , mume au familia zetu. Tukiwa kama binadamu, hatuwezi kuzuia hali ya kuchukizwa , kuwa na nogwa au hasira...
  8. JamiiForums Tanzania Broo Jinsi unavyoiona Simu yako Ikiwa Haina Bundle Ndio jinsi Mwanamke wako anakuona ukiwa huna Pesa

    Broo Jinsi Unavyoiona Simu yako Ikiwa Haina Bundle Ndio jinsi Mwanamke Wako Anakuona Ukiwa Huna Pesa...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuangamiza/kuharibu Maisha Yako kwa Hatua 15 Rahisi

    Kama unavyoweza kudhani, kuharibu maisha yako ni rahisi sana. Hii inaweza kufanyika kwa kufuata hatua 15 rahisi ambazo mtu yeyote anaweza kufanya. Hatua ya 1: Fanya Kilicho Rahisi Kila wakati Chagua kufanya vitu rahisi. Acha mambo magumu kwa baadaye. Kwa kuwa kila wakati ni "sasa," utaepuka...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukabiliana na foleni ya kutisha jijini Dar

    Siku hizi kuna foleni ya kutisha maeneo mengi ya Dar. Yaani Hali ni tete Jinsi ya kupunguza makali Kwanza: Beba vitu vya Kula, bites zisikosekane kwenye gari au kama ni wa public transport kwenye pochi au kibegi Beba misosi na maji. Juzi kidogo nizimie nnavyopenda kula, masaa mawili tumesimama...
  11. JamiiForums Tanzania Shuhuda anashuhudia jinsi ilivyokua chini ya kifusi baada ya ghorofa kuporomoka Kariakoo

  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Geita: CHADEMA wapinga jinsi mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliendeshwa. Wasema kulikuwa na ubaguzi!

    Wakuu, Wadau mbalimbali wameeeendelea kutoa maoni Yao baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kumalizika Huko mkoani Geita katika Wilaya ya Nyang'hwale wanachama wa CHADEMA wamejitokeza na kuzungumzia namna ambavyo hawajaridhishwa na mchakato wa Uchaguzi. Wanachama hao walidai kumekuwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Dr Samia jinsi alivyo waapisha maafisa wapya TMA monduli leo

    Nawapongeza sana Ltn usu walio veshwa lea nyota poleni kwaza na kozi pia hongereni sio kazi ndogo wengine wanatoroka tu msata (kihangaiko) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi katika sherehe...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi Makampuni yalivyowahi / yanavyowaibia Wananchi kupitia Nishati na kujinufaisha wao na Vikaragosi vyao...

    Ni Hesabu ndogo tu... Gharama za Uzalishaji zikiwa kubwa basi na Bei ya Mtumiaji itaongezeka; IKIWA MZALISHAJI NI UMMA; Gharama za Uzalishaji zikiwa kubwa sababu Nishati ni Huduma huenda ikatolewa Ruzuku kupunguza hizo gharama au Mteja hana jinsi lazima atatumia tu IKIWA MZALISHAJI NI BINAFSI...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza Juisi ya tikiti maji(watermelon juice)

    Natumaini mkopoa na mna afya njema na wagonjwa Mungu awape shufaa Leo nashare na nyinyi jinsi ya kutengeneza juis tamu ya tikiti maji nzuri na yenye faida nyingi kiafya Mahitaji Tikitimaji kias inategemea na kias unachotaka Vipande vya barafu(ice cubes) Hatua Kata tikiti maji vipande...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Katibu wa Uenezi CCM Zanzibar: Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa (GNU) inaenda kufa 2025. Naumia ila sina jinsi!

    Wakuu, Hivi karibuni Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis alisema kuwa serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) inaenda kujifia 2025 na pamoja na kwamba anaipenda sana aina hiyo ya serikali lakini hana jinsi zaidi ya kuona mwisho wake...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jinsi ya Kupiga Kampeni ya Kugombea Ubunge Tanzania

    Kupiga kampeni ya kugombea ubunge Tanzania ni mchakato unaohitaji maandalizi mazuri, mkakati wa kina, na kuzingatia sheria na taratibu za uchaguzi. Fuata hatua zifuatazo: 1. Elewa Sheria na Taratibu za Uchaguzi Soma na kuelewa Sheria ya Uchaguzi wa Tanzania, kanuni za NEC (Tume ya Taifa ya...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi Richard Branson alivyoanzisha kampuni ya ndege bila kuwa na mtaji wowote ule

    Na... Jinsi Wewe Unavyoweza Kuanzisha Biashara yako pia! Moja ya Changamoto ambayo Wajasiriamali wengi wamekuwa Wakipitia ni Jinsi ya Kuanzisha Biashara bila ya kuwa Mtaji. Yaani… Je kuna Njia yoyote RAHISI ya Kuanzisha Biashara bila kuwa na Mtaji? Ukweli ni Kwamba… HIYO NJIA IPO NA...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi gani naweza kuwafikia wamiliki wa vyombo vya usafiri mikoni ili kuingia nao makubaliano ya kussuport wazo langu?

    Habar qanaforum mimi apa nawazo la kuanzisha ofisi ya kupokea na kaagiza mizigo kutoka dar kwenda mikoni au kutoka mikoani kwenda sehem ingine kwa kutumia usafir wa mabasi lakin sijui vipi nitawafikia wamiliki wa mabasi ili nikubaliane nao. Hii nataka ni tengeneze uaminifu na urahisi kati ya...
  20. JamiiForums Tanzania Formular ya jinsi ya kuporomoka maghorofa (Kariakoo na kwingineko)

    Hakuna haja ya kuunda tume kwa tatizo ambalo serikali inalifumbia macho na jibu la tatizo hilo wote wanalifahami. Iko hivi; Mfanya biashara + Eneo la biashara kubwa + Mipango Miji + Fundi Maiko = Maafa Assumptions; Mfanyabiashara- Mkinga, Mrombo Eneo la Biashara- Kariakoo, Sinza, Ilala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…