Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).
Naijua Tanzania vizuri, nawajua Watanzania vizuri, nawajua viongozi vizuri na ninawajua vijana wanyoa punk vizuri.
Uwezo wao wa kufikiri hawa vijana wanyoa punk ni mdogo sana hasa wakiwa kwenye land cruiser. Wanaona washamaliza. Hawaoni mbele.
Wangewapoteza milele wanaharakati wageni...
Katika dunia ya sasa ya kidigitali, kuuza bidhaa si lazima uwe na duka la kupanga — simu yako na intaneti inatosha kabisa kuendesha biashara yenye mafanikio.
Haijalishi unauza nini: iwe ni bidhaa za mikononi, ebooks, huduma, nguo, vyakula, au kozi — kanuni hizi hapa zitakusaidia kuuza kwa...
Bahati mara nyingi huonekana kama jambo lisilotabirika, lakini kuna mambo ya kiroho, kiakili na kimatendo unayoweza kufanya ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kupata bahati. Hapa chini ni njia mbalimbali za kuimarisha "bahati" yako:
---
1. Badilisha Mtazamo wako
Amini kuwa una bahati –...
Kila mtu anatamani kutoka hatua moja ya kimaisha kwenda hatua nyingine kubwa zaidi,
Lakini wengi hamjui kuwa Kutoka hali fulani ya kimaisha kwenda nyingine ni Lazima kuwe na Mabadiliko ya kifikra kwanza.
Wewe kama ni mwanafunzi (unalelewa na mzazi) na unataka kuanza maisha ya kujitegemea, si tu...
Baadhi ya watu waliokuwa wakisafirishwa kuja Dar es Salaam kwa ajili ya maonyesho ya CHAUMA kesho, wameonekana wakizozani na kutaka kupigana kwa kutolipwa elfu 40, huku baadhi wakitaka warudishwe mikoani.
Kazi kwelikweli, watu wamekimbia hadi na akaunti za mitandao za chama watakupeni nyie...
Heshima kwenu wakubwa
Uzi huu ni mrejesho wa Uzi niliopost mwishoni mwa mwaka 2023
Lengo la bandiko hili nikumtia moyo kijana ambae anapambana kutimiza ndoto zake, am not a motivation speaker kiasi niseme vile unapenda kusikia lakini the entrepreneurship journey sio rahisi hata kidogo...
Katika ulimwengu wa leo wenye kelele nyingi, vishawishi kila kona, na presha ya kila siku, kuwa na focus (umakini) na consistency (msimamo) imekuwa kama superpower. Watu wengi wananza vitu vizuri, lakini wachache sana wanavimaliza. Wachache zaidi huwa consistent mpaka mafanikio yaje.
Ukweli ni...
Wakuu tafadhalini sana naombeni mnifundishe jinsi ya kutongoza wakuu maana kuna pisi moja ya kwenda wakuu na ni pisi ni unsubmissive woman na pia hii pisi nimelengeshewa na dadake tu ila sijajua njia ya kumuingilia aisee
Hii pisi ni ya kwenda aisee yaani akikubali nataka kumuoa aisee kama...
Mahakamani ni mahala pa heshima sana na nidhamu ya hali ya juu. Kuna mabango ya kuzuia kelele na watuhumiwa pia hukaa kwa nidhamu.
Nimeshangaa leo mtuhumiwa anapiga kelele yeye na wenzake kama yuko gulioni. Hii ni aibu kubwa sana kwa Mahakama kuona mwenendo wa shauri unakuwa influenced...
Ukichukulia kwamba tayari Ubalozi wa Marekani nchini na Bunge la Ulaya tayari wametoa kauli kuhusu serikali ya Samia kufuata haki za binadamu na utawala wa sheria, na haya mambo yanayotokea nchini kuhusu hawa wageni mashuhuri wanaokuja kwa ajili ya kesi ya Lissu, nashindwa kuelewa ni mtu mwenye...
Henoko hakuwa mtu wa kawaida. Alikuwa mtu wa Mungu, aliyenena na kuenenda kwa haki katika kizazi kilichozama kwenye giza la dhambi. Lakini kinachovutia zaidi si maisha yake duniani, bali safari yake ya ajabu ya kupaa hadi mbinguni safari ambayo haikuwahi kusimuliwa na mwanadamu mwingine kabla...
Tundu lissu atakapo achiliwa dunia itasimama kwa jinsi walivyo mfungulia njia zote za ikulu.
Suala hili la kesi za mchongo limeongeza umaarufu wake duniani kote na imani zaidi kwa wananchi atakapoachiliwa dunia lazima itasimama.
Chini nimoja ya njia rahisi sana kujifunza na kua shuhuda wakile kilicho elezwa.
Zingatia haiwezi kua rahisi kuelewa ninacho kieleza hii niwatu wachache wenye akili kubwa ndio wanajua nazungumzia nini.
PAST LIFE REGRESSION: JINSI YA KURUDI KWENYE MAISHA YALIYOPITA (MWONGOZO WA NDANI)
Kabla ya...
Habari wana Jf
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza Siku za hivi karibuni freelancer . com wamedili sera zao ku withrawal fedha kwa njia ya Bank mpaka ufanye Address verification MNimejaribu kutumia option ya bank statement Ya CRDB unfortunately wameikataa Kutokana na uhalisisa kua Format...
📌 HATUA KWA HATUA: JINSI YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA CANVA
1. Fungua Akaunti ya Canva (Free au Pro)
Tembelea www.canva.com na fungua akaunti yako. Tumia toleo la bure kwa kuanza, lakini ukitaka templates na picha zaidi — Canva Pro ni suluhisho bora.
2. Jifunze Kuunda Designs Zinazouzwa
👉 Badala...
Mtego Huu Si Mwingine ni Huu Hapa Chini
.
Ni uwekezaji wa kitapeli (Ponzi schemes)
.
Ponzi scheme Nini utauliza??
.
Well, Ponzi scheme ni mfumo wa kitapeli ambapo watu wanaahidiwa faida kubwa, ya uhakika (guaranteed) na risk yake ni ndogo,
.
hali hii inayowafanya wengi kuvutiwa na kuweka fedha...
Kumuamini Mungu ndio risk (kujihatarisha) kikubwa kuliko vyote KWA mwanadamu wa kawaida.
Unamuamini Mungu kupitia maneno ya BIBLIA (wakristo). Na hautakiwi KUWA na ushahidi mwingine wowote wa hicho unachokiamini isipokuwa maneno hayo peke yake.
Mfano.
Ukisema huogopi, ushahidi wako uwe ni...
Katika dunia ya kidijitali, biashara zinahitaji maandishi mazuri ili kuvutia wateja. Copywriter ni mtu anayebobea katika kuandika maandishi ya kushawishi watu kuchukua hatua fulani — kama kununua bidhaa, kujiandikisha kwa huduma, au kujifunza zaidi kuhusu chapa fulani. Ikiwa unataka kujifunza...
Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kua Mtumwa wa Simu Kila Siku
Utangulizi
Karibu kwenye zama mpya za biashara za mtandaoni, ambapo teknolojia inaweza kufanya kazi kwa niaba yako 24/7 — hata ukiwa umelala! Ikiwa umechoka kujibu inbox kila saa, kufuatilia malipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.