jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania 💰 Jinsi ya Kutengeneza Tsh 300,000 kwa Mwezi Ukiwa Mtandaoni (Hata Bila Mtaji Mkubwa)

    Kama umewahi kujiuliza, “Nawezaje kupata kipato cha uhakika mtandaoni?” — basi makala hii ni kwa ajili yako. Watu wengi hufikiri lazima uwe na kompyuta kubwa, ujuzi mgumu au uwe na mtaji wa mamilioni ili kupata pesa mtandaoni. Sio kweli. Leo nakufundisha njia rahisi kabisa utakayoweza kutumia...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Jinsi navyoitimia nyiongeza ya mshahara

    Habari Wana JF. Kama mama alivyosema basi imekua na sisi hatunabudi kupitsha kalamu apo October. Mimi nibaba wa mtoto mmoja kwa mwanamke wakinyamwenzi ila katika safari yangu na huyu mwanamke nilibahatika kupata mwanamke mwingine ambae nilizaanae ila mkewangu hajui kwani nilikua namlea kimya...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusajili biashara yako ya Mtandaoni (Online Business)

    Jinsi ya kusajili biashara yako ya Mtandaoni (Online Business) Kama huwezi kuanza moja kwa moja na kampuni, usiogope anza na jina la biashara na mengine utamalizia kwa badae. Hapa chini kuna hatua kuu ambazo zitakuongoza ili usajili wako uwe rahisi, wa haraka na wa kisheria kabisa. Hatua ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ulaya ina chaguzi 2; Ijifunze kutoka kwa Israeli jinsi ya kushinda terror ya itikadi kali au kupoteza muuda kuilaan Israeli huku wakiwa terrorized

    Hivi karibuni ulaya itasambaratika na kuwa eneo jipya la mapigano ya kivita, ulaya haifahamu kuwa Israel ambayo imekuwa ni uzio kwao wa kuwazuia itikadi kali na magaidi ambao ndio wapangaji wa machafuko ya dunia Leo hii ulaya inajifanya kuwa "politicall correct" kwa kuwapa fursa na nafasi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutunza Betri ya Gari Ili Iweze Kudumu Muda Mrefu

    Jinsi ya Kutunza Betri ya Gari Ili Iweze Kudumu Muda Mrefu Betri ni moyo wa gari lako – bila betri yenye nguvu, gari halitaweza kuwaka wala kuendesha mfumo wake wa umeme. Kutunza betri vizuri ni muhimu sana ili iweze kudumu muda mrefu na kuepuka matatizo yasiyotegemewa barabarani. 1. Angalia...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kubadili Jina la Kampuni au Biashara ambalo lilisajiliwa BRELA tayari

    Kuna wakati unafika kwa sababu fulani unaona ubadili Jina la Biashara Yako au Kampuni yako, kwa sababu zozote zile hizi ni hatua za kufuata; 1. Sababu za kubadili Jina la Biashara Either unafanya -Rebranding -unataka jina linaloendana na huduma zako za sasa Etc 2. Angalia kama jina...
  7. JamiiForums Tanzania Tuliowahi Kuzidisha DOZI. Tukutane hapa. Tuelezee jinsi ilivyokua

    Wakuu, kwanza sitaki kusema kwamba kutumia Dawa ni jambo baya ni jambo zuri sana ila unapotumia Dawa hakikisha unatumia km ulivyoelekezwa na Mtoa Huduma ya Afya. Kisa changu ni hiki: Siku hio ilikua Mwaka huu Mwanzoni km January hivi kwenda February, nilijihisi sipo sawa kifua kinabana na...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi vyuo vikuu barani Afrika vilivyo poteza uhuru wao wa masomo

    Je, hali na hatima ya uhuru wa kitaaluma katika vyuo vikuu vya Afrika ikoje? Ni kwa jinsi gani na kwa nini vyuo vikuu barani Afrika vimepoteza uhuru wao wa masomo hapo kwanza? Je, ni aina gani zinazoendelea za mapambano na upinzani wa kurejesha uhuru wa kitaaluma katika elimu ya juu barani...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi unavyoweza kumvutia mwanaume wa maana/Bora

    JINSI UNAVYOWEZA KUMVUTIA MWANAUME WA MAANA/BORA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mwanaume wa maana ni ndoto ya wanawake wengi waliopevuka, wanawake wanaohitaji kuwa na familia Bora, familia yenye furaha, Familia yenye Dira, Familia yenye Maadili ikiongozwa na Baba bora anayejua majukumu na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Video: Jinsi Baba wa taifa Nyerere Alivyoweka Msingi wa Uchaguzi wa Mgombea Rais wa CCM

    Baba wa Taifa la Tanzania, aliweka msingi thabiti wa mchakato wa uchaguzi wa mgombea wa urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). msingi wake uliwekwa na Nyerere wakati wa uongozi wake. Mwalimu Nyerere, kama mwanzilishi wa TANU (ambayo baadaye ilijumuika na ASP na kuwa CCM mwaka 1977)...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya tendo

    Wakuu mamboz! Mimi ni kijana wa kiume sijui kitu chochote namna ya kufanya tendo , nifundisheni kuanzia mwanzo mpaka mwisho na jinsi ya kumcare demu, n.b ikiwezekana nifundisheni na style
  12. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa taratibu za kuomba kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania

    Heshima zenu Wasomi wa jukwaa hili. Naomba kuelekezwa hatua kwa hatua za kufuata kwa ajili ya ku apply kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania,kwani nina mtoto wangu amemaliza kidato Cha sita mwaka huu wa 2025. Naileta kwenu hoja hii ili mnipe maelekezo na njia zinazotumika ku apply...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kurejesha Nguvu ya Kiroho

    Jinsi ya Kurejesha Nguvu ya Kiroho Urejesho ni nini Urejesho ni kitendo au mchakato wa kurudisha kitu katika hali yake ya kwanza kwa kufanyia ukarabati au kwa kukisafisha. Ni kitendo cha kurudishia, kufanya upya, kufufua au kuimarisha. Kitabu cha Yeremia 30:17 kinasema: “Maana nitakurudishia...
  14. JamiiForums Tanzania Nilivyopata Demu Mzungu

    Habari wazee Sikuwahi kufikiria kuwa siku moja ningeweza kumpata mrembo mzungu. Sio kwa ubaguzi, la hasha lakini kwa sababu maisha yangu Dar es Salaam yalikuwa ya kawaida tu. Nilikuwa kijana wa mtaa wa Kinondoni, na maisha yalikuwa ya harakati tu kazi, ndoto, na vuta subira. Siku moja jioni...
  15. JamiiForums Tanzania Leseni ya Biashara Kundi A, na Jinsi ya Kuipata

    Njia rahisi za Kuomba Leseni ya Biashara Tanzania Je, unataka kuendesha biashara halali Tanzania? Kupata leseni ya biashara ni hatua ya lazima na sasa mchakato ni rahisi kuliko unavyofikiri. Fuata hatua hizi: Tembelea tovuti rasmi: www.business.go.tz Bonyeza sehemu iliyoandikwa “Huduma” Chagua...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli fulani ila watu wa Iringa tunawasingizia kwa kupenda kitoweo cha mbwa ila watakaokuwa wanasingizia ni mikoa hii

    Tuhuma kuhusu nyama ya mbwa zinaonekana zipo mikoa fulani tukifika huku tunajua tunapata mbuzi kumbe mbwa tena kisiri. Mkoa kama tabora na kigoma baadhi ya wanyamwezi na wasukuma huamini nyama ya mbwa inatoa nguvu au huweza kutibu magonjwa fulani ya kienyeji. Mkoa wa Shinyanga na simiyu baadhi...
  17. JamiiForums Tanzania Nabii wa MUNGU amuonya Rais Samia Kujitenga na Machawa, aelezea Kinagaubaga Kwa Mifano Machawa , Athari yao na jinsi ya kuwaondoa !!.

    Natamani Ujumbe Huu, AUONE RAIS SAMIA, na Mungu amsaidie asikie saauti yake !!. Machawa wamempoteza Rais SAMIA !!. https://www.facebook.com/share/r/16rjwu6mHy/
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Leseni ya Biashara ya Duka la fremu

    Umuhimu wa Leseni ya Biashara kwa Duka la Rejareja Inatambulisha biashara yako kama halali. 2. Inakusaidia kuepuka kufungiwa biashara na mamlaka husika. 3. Inakupa nafasi ya kupata mikopo, zabuni, na tenda mbalimbali. 4. Ni nyaraka muhimu ya kuanzisha akaunti ya biashara na kufanikisha...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kuandika barua

    Habari za mchana wakubwa, Naomba kama kuna mtu ambae amesha Wahi kupata changamoto kama niliyo kutana nayo mimi anisaidie, kwa kifupi ni kwamba mimi Niko nchii jirani ya Zambia. Sasa kuna mdogo wangu alitaka kuja kunitembelea Baada ya kukamilisha taratibu zote za kupata hati ya kusafiria...
  20. JamiiForums Tanzania Ushabiki usiokua na mantiki Wala faida yeyote ile kijana upo kwenye keyboard unaisifia ISRAEL au IRAN

    Ushabiki usiokua na mantiki Wala faida yeyote ile kijana upo kwenye keyboard unaisifia ISRAEL au IRAN wewe ni fala tu SIMBA na YANGA zimekua dini za vijana wapumbavu upo tayari kumtukana mwenzio pia hata kufa sababu ya simba au Yanga wewe ni kilaza Leo unamchukia chama kisa yupo Yanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…