jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Ukitaka kujua Watanzania ni wajinga,angalia jinsi wanavyomjibu Gwajima

    Ukisikiliza wote wanaomjibu Gwajima,hawajibu yale aliyoyauliza muhusika,lakini wanakimbilia kumuatack muhusika,wamesahau hiki kizazi cha sasa siyo wajinga,bali wajinga ni wale wanaomjibu Gwajima kwa kutumia ujinga wao na ndiyo kundi kubwa linalowakilishwa na wana CCM kuanzia Viongozi,wanafunzi...
  2. youngkato

    Jinsi Tunavyopambana na Hustle Zetu Online 2025

    Jinsi Tunavyopambana na Hustle Zetu Online 2025 Wafanyabiashara wengi wanafocus kupata wateja wapya tu... Lakini siri ya kukuza biashara ni hii hapa 👇 Kuwa karibu na wateja uliopata tayari. Kitendo cha kupata mteja ni gharama sana, Hizi hapa ni mbinu ninazotumia kila siku kuwafanya wateja...
  3. MwajabuOmary

    Kesho nitatoa mfano wa jinsi gani ambavyo ingepaswa Gwajima ajibiwe

    Nimeona watu wakijibu hoja za Gwajima kwa mihemuko bila kuja na hoja kinzani ukilinganisha na Gwaji boy. Nahitaji maandalizi na sio kukurupuka, jamaa amepiga kwenye mshono, tukubali tusikubali.
  4. M

    Taratibu Jinsi ya kubadili matumizi card ya Gari toka Private to Busness

    Habari wadau, naomba kupata kujua taratibu za kufuata jinsi ya kubadili matumizi ya Gari Toma private kwenda busness, je Una an za na utaratibu upi kwanza, na je Gharama huwa kiasi gani. Shukrani.
  5. Dmkongola

    Jinsi gani kijana unakuwa high value?

    Eeh kwenye pita pita zangu humu JF nimekuta hii idea kwamba as a man hutakiwi kukimbiza sketi bali uzivutie. Eti wadada wanapenda wakaka high value, sasa tutoe maoni kuhusu high value men. High value man anakuwaje kulingana na watu, wanawake pia tuambieni mnapenda nn kwa wanaume?
  6. Echolima1

    Jinsi maneno potoshi juu ya Israel yanavyojibiwa kwa usahihi!!

    Kama raia wa Kiarabu wa nchi, sina budi kutetea sura ya Taifa la Israeli dhidi ya kauli za kipuuzi, za uongo na za uchochezi dhidi ya Serikali zinazotolewa na viongozi wa nchi mbalimbali... Ajabu sana kuona viongozi kama hao wanajitoa ufahamu kiasi hicho!!!
  7. Samia atosha tukutane2030

    Kwa jinsi Taifa hili lilivyojaa vilaza bila amsha amsha za vijana wa Kenya wale wanaharakati wageni wangepotezwa mazima kama Mdude .

    Naijua Tanzania vizuri, nawajua Watanzania vizuri, nawajua viongozi vizuri na ninawajua vijana wanyoa punk vizuri. Uwezo wao wa kufikiri hawa vijana wanyoa punk ni mdogo sana hasa wakiwa kwenye land cruiser. Wanaona washamaliza. Hawaoni mbele. Wangewapoteza milele wanaharakati wageni...
  8. Heritage123

    Jinsi ya Kuuza Bidhaa ya Aina Yoyote Mtandaoni (Mwongozo wa 2025)

    Katika dunia ya sasa ya kidigitali, kuuza bidhaa si lazima uwe na duka la kupanga — simu yako na intaneti inatosha kabisa kuendesha biashara yenye mafanikio. Haijalishi unauza nini: iwe ni bidhaa za mikononi, ebooks, huduma, nguo, vyakula, au kozi — kanuni hizi hapa zitakusaidia kuuza kwa...
  9. The redemeer

    Jinsi ya kuwa na bahati kwenye maisha yako

    Bahati mara nyingi huonekana kama jambo lisilotabirika, lakini kuna mambo ya kiroho, kiakili na kimatendo unayoweza kufanya ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kupata bahati. Hapa chini ni njia mbalimbali za kuimarisha "bahati" yako: --- 1. Badilisha Mtazamo wako Amini kuwa una bahati –...
  10. Surya

    Watu wengi hawajui Jinsi ya Kusali (Prayer), wala hawajui Mungu anataka awaone wakifamya nini.

    Kila mtu anatamani kutoka hatua moja ya kimaisha kwenda hatua nyingine kubwa zaidi, Lakini wengi hamjui kuwa Kutoka hali fulani ya kimaisha kwenda nyingine ni Lazima kuwe na Mabadiliko ya kifikra kwanza. Wewe kama ni mwanafunzi (unalelewa na mzazi) na unataka kuanza maisha ya kujitegemea, si tu...
  11. A

    Tazama jinsi waliosombwa kwa ajili ya CHAUMMA wanavyotaka kupigana kwa kutolipwa elfu 40 zao

    Baadhi ya watu waliokuwa wakisafirishwa kuja Dar es Salaam kwa ajili ya maonyesho ya CHAUMA kesho, wameonekana wakizozani na kutaka kupigana kwa kutolipwa elfu 40, huku baadhi wakitaka warudishwe mikoani. Kazi kwelikweli, watu wamekimbia hadi na akaunti za mitandao za chama watakupeni nyie...
  12. Jane Msowoya

    Jinsi nilivyopata $50k Grants & TSH 200ml revenue

    Heshima kwenu wakubwa Uzi huu ni mrejesho wa Uzi niliopost mwishoni mwa mwaka 2023 Lengo la bandiko hili nikumtia moyo kijana ambae anapambana kutimiza ndoto zake, am not a motivation speaker kiasi niseme vile unapenda kusikia lakini the entrepreneurship journey sio rahisi hata kidogo...
  13. Heritage123

    Jinsi ya Kuwa na Consistency na Focus Katika Biashara na Maisha ya Kawaida

    Katika ulimwengu wa leo wenye kelele nyingi, vishawishi kila kona, na presha ya kila siku, kuwa na focus (umakini) na consistency (msimamo) imekuwa kama superpower. Watu wengi wananza vitu vizuri, lakini wachache sana wanavimaliza. Wachache zaidi huwa consistent mpaka mafanikio yaje. Ukweli ni...
  14. Kusini pride

    Nielekezeni jinsi ya kutongoza wakuu

    Wakuu tafadhalini sana naombeni mnifundishe jinsi ya kutongoza wakuu maana kuna pisi moja ya kwenda wakuu na ni pisi ni unsubmissive woman na pia hii pisi nimelengeshewa na dadake tu ila sijajua njia ya kumuingilia aisee Hii pisi ni ya kwenda aisee yaani akikubali nataka kumuoa aisee kama...
  15. chiembe

    Mahakama iangalie jinsi watuhumiwa wanavyo-behave kabla, wakati na baada ya mashauri yao. Leo Mahakama imevuna aibu kesi ya Lissu

    Mahakamani ni mahala pa heshima sana na nidhamu ya hali ya juu. Kuna mabango ya kuzuia kelele na watuhumiwa pia hukaa kwa nidhamu. Nimeshangaa leo mtuhumiwa anapiga kelele yeye na wenzake kama yuko gulioni. Hii ni aibu kubwa sana kwa Mahakama kuona mwenendo wa shauri unakuwa influenced...
  16. R

    Video: Hatua kwa hatua jinsi Bastola "Mguu wa kuku" inavyotengenezwa

  17. S

    Kwa jinsi inavyoshughulika na wageni wanaokuja kwenye kesi ya Lissu, serikali ya CCM inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe kwenye uso wa kimataifa

    Ukichukulia kwamba tayari Ubalozi wa Marekani nchini na Bunge la Ulaya tayari wametoa kauli kuhusu serikali ya Samia kufuata haki za binadamu na utawala wa sheria, na haya mambo yanayotokea nchini kuhusu hawa wageni mashuhuri wanaokuja kwa ajili ya kesi ya Lissu, nashindwa kuelewa ni mtu mwenye...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Jinsi Jiji la Mbinguni lilivyo

    Henoko hakuwa mtu wa kawaida. Alikuwa mtu wa Mungu, aliyenena na kuenenda kwa haki katika kizazi kilichozama kwenye giza la dhambi. Lakini kinachovutia zaidi si maisha yake duniani, bali safari yake ya ajabu ya kupaa hadi mbinguni safari ambayo haikuwahi kusimuliwa na mwanadamu mwingine kabla...
  19. Genius Man

    Tundu lissu atakapo achiliwa dunia itasimama kwa jinsi walivyo mfungulia njia zote za ikulu

    Tundu lissu atakapo achiliwa dunia itasimama kwa jinsi walivyo mfungulia njia zote za ikulu. Suala hili la kesi za mchongo limeongeza umaarufu wake duniani kote na imani zaidi kwa wananchi atakapoachiliwa dunia lazima itasimama.
  20. third eye chakra

    Jinsi ya kurudi kwenye maisha yaliopita na kwenda zaidi hadi kwenye maisha yajayo

    Chini nimoja ya njia rahisi sana kujifunza na kua shuhuda wakile kilicho elezwa. Zingatia haiwezi kua rahisi kuelewa ninacho kieleza hii niwatu wachache wenye akili kubwa ndio wanajua nazungumzia nini. PAST LIFE REGRESSION: JINSI YA KURUDI KWENYE MAISHA YALIYOPITA (MWONGOZO WA NDANI) Kabla ya...
Back
Top Bottom