jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mfanyabiashara au mwekezaji alikuwa anatafuta betting platform ya biashara ila amekwama jinsi ya kuipata?

    Wakuu habari, Hivi kuna mfanyabiashara au mwekezaji alikuwa anatafuta betting platform ya biashara ila amekwama jinsi ya kuipata ? Betting platform inahitaji uwekezaji mzuri na wa kiwango cha kati au cha juu. naomba kama kuna mtu alikuwa anafikiria kuwa nayo hivi karibuni tuwasiliane.
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi wafanyabiashara watakavyorejesha fedha walizoichangia CCM

    Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Ukweli ni kwamba There is no free lunch in Africa. Kwa kuzingatia hili, hebu tujiulize hawa wafanyabiashara walioichangia CCM mabilioni ya pesa kwa mbwembwe na hadharani watarejeshaje fedha zao walizochanga? Tukumbuke kwamba hawa...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Je Instagram inaweza kujua na kushare Mahali Nilipo Na Jinsi ganii ya kukwepaq hili

    Instagram Inaweza Kushare Mahali Ulipo na Followers Wako Wote Katika zama hizi za mitandao ya kijamii, taarifa binafsi zimekuwa bidhaa yenye thamani kubwa. Hata bila ruhusa ya wazi, programu zinaweza kutumia ruhusa za simu yako kufuatilia na kushiriki mahali ulipo. Instagram, moja ya majukwaa...
  4. JamiiForums Tanzania Wazo la Kijana: Jinsi ya Kutajirika Kabla ya Miaka 40, Usikubali Kuitwa "Masikini"

    HAKUNA KIJANA WA MIAKA 20+ ANAYEITWA "MASIKINI"... LAKINI UKIFIKISHA MIAKA 40 BILA PESA, UTAITWA "MTU HUYU NI MASIKINI KWELI KWELI!" Hili linaweza kusikika kama kauli nzito, lakini ni ukweli. Kama kijana, fursa ya kujenga maisha yako ya kifedha ipo mikononi mwako. Ukikua huna pesa wala...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu humu Jf kwa jinsi watu walivyo nafikiri unaweza kubishana na baba yako na usijue

    Wakuu humu Jf kwa jinsi watu walivyo nafikiri unaweza kubishana na baba yako na usijue au mnasemaje wakuu ?
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania Kama KARNE hii tupo hivi nasadiki kusema Mwalimu Nyerere(Baba wa Taifa) alipambana Sana

    Ukitazama ujinga tulionao Watanzania wengi katika karne hii utagundua kuwa Mwalimu Nyerere alipambana sana. Hakika Baba wataifa alipata tabu sana kusugua kutu na Msasa kwenye vichwa vya Watanzania. Imagine ujinga wakipindi chake ulikuwaje kama hivi sasa ni 2025 Watanzania karibia wote...
  7. JamiiForums Tanzania MACHIMBO YA FAIDA YAPO KARIKOO: Jinsi ya Kuagiza Bidhaa kwa Bei ya Jumla Bila Kufika Dukani

    Kariakoo ni moyo wa biashara Tanzania. Watu wengi hufika hapa kila siku kutafuta bidhaa kwa bei nafuu, lakini wachache sana wanajua kuwa ndani ya msongamano huo — kuna machimbo halisi ya faida. nitakuonesha faida kuu za kuagiza bidhaa kutoka Kariakoo, hata bila kwenda mwenyewe dukani, na...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Bila Agent - Hatua kwa Hatua (2025 Blueprint)

    Unataka kuanzisha biashara lakini huna mtaji mkubwa? Au umekuwa ukitafuta wauzaji wa jumla wenye bei nafuu bila mafanikio? Basi fahamu hili: China ndio mahali pa bidhaa bora kwa bei ya chini kabisa. Na unaweza kuagiza mwenyewe, bila kupitia agent wala kulizwa. 👇 Hizi ndizo hatua za msingi...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata Leseni ya Duka la Vipodozi

    Kufungua duka la vipodozi ni fursa nzuri ya biashara, hasa kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa za urembo. Hata hivyo, kabla ya kuanza kuuza, unatakiwa kuwa na leseni ya biashara. Leseni hii ndiyo itakayo kuthibitishia kisheria kuwa unaruhusiwa kufanya biashara na pia inaleta uaminifu...
  10. JamiiForums Tanzania Karma : Jinsi matendo maovu na mema yanavyolipwa

    Mtu akifanya makosa anapelekwa motoni Jehanam zipo nane; Reviving,Black Line, Crushing, Howling, Great Howling,Heat, Intense Heat,na Ultimate Torment Wauawaji wanapelekwa Reviving Hell. Hawa ndio wauaji waliomuua mtu mstaarabu. Kuzunguka hii Reving Heli zipo hell nyingine. Kwamba Ile...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuanza Biashara ya Dhahabu Tanzania — Mwongozo Kamili!

    Biashara ya dhahabu ni fursa kubwa, lakini ili kufanikiwa ni l azima ujue taratibu za kisheria, wapi pa kupata dhahabu, na mbinu za kuhakikisha unanunua dhahabu halisi. Katika sehemu hii, utajifunza hatua zote muhimu za kuanzisha na kuendesha biashara ya dhahabu kwa ufanisi. 3. MAHITAJI YA...
  12. JamiiForums Tanzania Tazama jinsi Mtume Paulo anavyoendelea kuitikisa dunia!

    1. Paulo, aliyefahamika awali kama Sauli, alikuwa Farisayo aliyejitoa kuwaudhi Wakristo wa kwanza. Alishiriki moja kwa moja katika kuuawa kwa Stefano na alikuwa na chuki kubwa dhidi ya jina la Yesu. 2. Alikutana "live" na Yesu na kubadilishwa kabisa. Akiwa njiani kwenda Dameski ili kuwakamata...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi watakao shiriki uchaguzi watakavyoibiwa na CCM

    Nimeikuta hii video mahali ila ikanifikirisha Sana. Nikaiweka kwenye muktadha wa changuzi zinazofanyika Tanzania. Kwanza mama kwenye hii "clip" ni mfumo wa kiuchaguzi Tanzania na mtoto ni CCM. Kuna vyama hufurahia kushinda baadhi ya maeneo kwa kutumia mfumo wa uchaguzi uliopo, lakini CCM...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Kimataifa yashangaa Jinsi Lisu anavyotendewa na Watawala wa Tanzania

    Jamii na vyombo mbalimbali vya kimataifa vinashangazwa na utawala wa Tanzania namna wanavyominya haki za watanzania, na jinsi wanavyomfanyia uharamia Tundu Lisu. Washangazwa jinsi Lisu anavyozongwa na askari waliojificha nyuso zao kama vile wamemzunguka gaidi wakati Lisu ni mtetezi wa haki...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi bila kukopa kopa pesa

    Panga bajeti ya mapato na matumizi. – Bajeti inakusaidia kujua unachopata na kutumia bila kupitiliza. Tumia pesa kwa vipaumbele, si kwa mazoea au tamaa. – Tofautisha kati ya mahitaji ya lazima na anasa au starehe. Epuka maisha ya kushindana na watu wengine. – Kuiga maisha ya wengine hupelekea...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi Watanzania Wanavyoichukulia AI (Akili Mnemba) na Madhara Yake

    Habari wanaJF, Natumaini mnaendelea vizuri. Nimeamka salama. Nililala saa 8 usiku, baada ya kikao kirefu na mmarekani mmoja, hapa nkishamaliza kuandika nazama tena usingizini kidogo. Leo katika pitapita zangu, nimekutana na ripoti moja iliyochapishwa na Sahara Ventures. Waliwauliza...
  17. JamiiForums Tanzania Pesa ya Online: Jinsi ya Kutengeneza Kipato Bila Kuwa na Duka, Mtaji Mkubwa au ‘Connection’”

    Zamani, kupata pesa ilihitaji uanze na mtaji mkubwa, duka la mtaa au hata leseni ya biashara. Sasa sivyo tena. Dunia imebadilika. Leo, unaweza kutengeneza pesa mtandaoni ukiwa nyumbani — hata kwa kutumia simu yako tu. Watu wengi Tanzania wanapata maelfu hadi mamilioni kila mwezi kupitia simu...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutangaza Biashara Yako

    Jinsi ya Kutangaza Biashara Yako Tatizo kubwa linalowakumba wengi ni hili: wana bidhaa au huduma nzuri, lakini hakuna anayejua inapatikana. Siku hizi kelele ni nyingi sana unahitaji visibility. Hakikisha jina lako linaonekana popote mitandaoni, mitaani, na kwenye vinywa vya wateja wako. Hizi...
  19. JamiiForums Tanzania 💰 Jinsi ya Kutengeneza Tsh 300,000 kwa Mwezi Ukiwa Mtandaoni (Hata Bila Mtaji Mkubwa)

    Kama umewahi kujiuliza, “Nawezaje kupata kipato cha uhakika mtandaoni?” — basi makala hii ni kwa ajili yako. Watu wengi hufikiri lazima uwe na kompyuta kubwa, ujuzi mgumu au uwe na mtaji wa mamilioni ili kupata pesa mtandaoni. Sio kweli. Leo nakufundisha njia rahisi kabisa utakayoweza kutumia...
  20. Y

    JamiiForums Tanzania Jinsi navyoitimia nyiongeza ya mshahara

    Habari Wana JF. Kama mama alivyosema basi imekua na sisi hatunabudi kupitsha kalamu apo October. Mimi nibaba wa mtoto mmoja kwa mwanamke wakinyamwenzi ila katika safari yangu na huyu mwanamke nilibahatika kupata mwanamke mwingine ambae nilizaanae ila mkewangu hajui kwani nilikua namlea kimya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…