jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kununua Blenda Halisi, Epuka Feki

    Kwenye soko la Tanzania lililofurika bidhaa feki na za kughushi, muonekano wa nje na stika za wattage kubwa ni mtego wa kisaikolojia wa kukusanya fedha zako. Wafanyabiashara na viwanda vya bei nafuu hubandika stika za uongo zenye maandishi kama "10,000W" au "Commercial Heavy Duty" kwenye...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ujue mfumo wa points za udereva (Drivers Licence Point System)

    Kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi na malori uliotokea Septemba 28 na 29, 2026, madereva wengi hawakujua maana ya mfumo wa points (Drivers Licence Point System). Kwa mujibu wa Kifungu cha 31 cha Sheria ya Usalama Barabarani Sura ya 168 Rekebu ya 2023, leseni yako ya udereva ina pointi 15, na...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kunufaika na AI kiuchumi

    habari zenyu bhana.......dhumuni la uzi huu ni kuomba wadau wote tupeane nondo za jinsi ya kutumia ai kiuchumi na ai gani zinafaa ambazo zinaweza kutumika kama side hustle/kipato cha ziada au ajira binafsi. karibuni
  4. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kubadili jina JF

    Wakulungwa hivi ukitaka kubadili jina JF unabadili wap? Nipeni muongozo nataka niweke jina la kibiashara ili iwe rahisi kupata wateja humu JF.
  5. JamiiForums Tanzania Changamoto za Afya Nchini na Jinsi ya Kupata Payo la Daktari Bila Kufuata Folani

    Habari za muda huu Wana-JamiiForums, Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko kubwa la changamoto mbalimbali za afya nchini kwetu—kuanzia magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama vile presha na kisukari, mpaka yale ya msimu kama vile malaria na matatizo ya mfumo wa chakula. Moja ya...
  6. K

    JamiiForums Tanzania I Wish Ningekuwa Wakili wa Sandaland: Jinsi ya Kumwanika Makonda Kwenye Sakata la NIKE, Utajiri Wake na Utata wa Jina la Bashite

    Jukwaa la JamiiForums limekuwa mhimili wa fikra huru, na leo nataka niwashirikishe mtazamo wangu wa kisheria kuhusu mmoja ya migogoro mikubwa ya kibiashara na kimamlaka nchini kwa sasa. Kesi iliyofunguliwa na mfanyabiashara Sandaland dhidi ya Waziri Paul Makonda si kesi ya jinai ya kawaida, bali...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Katika kozi hatari za kusomea Tanzania ni za Computer. Kwa jinsi Ai inavozidi kukua ukikosa kazi Serikalini itakuwa ni ngumu sana kutoboa.

    Tatizo ni kasi ambayo AI inabadilisha kazi zenyewe. Hasa ukizingatia kwamba vyuo vingi bado vinafundisha Computer kwa mfumo wa zamani: theory nyingi, practical chache, na walimu ambao walianza kujifunza computer vyuoni muda mwingi ubaoni na kwenye makaratasi. Computer ya 2026 haiwezi...
  8. JamiiForums Tanzania Silaha ya Kisaikolojia: Jinsi Plato, Nyerere na Brass Bands za Majeshi ya Afrika Zinavyotumia Muziki Kulinda na Kuendesha Dola

    Wakuu, jioni ya leo mtanisamehe kwa kuandika uzi mrefu kidogo, lakini naamini utakuwa na manufaa makubwa kwa wale wanaopenda kufuatilia jinsi mifumo ya madaraka (State Machineries) inavyofanya kazi nyuma ya pazia.Mara nyingi tukifikiria kuhusu "Zana za Kuendesha Dola," vichwa vyetu vinakimbilia...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Sheria Hutungwa Kenya: Mwananchi Ana Nafasi Gani?

    Sheria nyingi tunazofuata nchini Kenya hazitokei tu kama uamuzi wa viongozi. Katiba ya Kenya inaweka utaratibu maalum wa kutunga sheria, huku Bunge na wananchi wakiwa na nafasi muhimu katika mchakato huo. Mchakato huanza wakati Mswada (Bill) unapowasilishwa Bungeni. Mswada unaweza kuanzishwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Alinitesa ila nilitoka kidedea na somo kubwa.

    Katika kukuwa niliamini kuwa ukiona watu wawili wameoana na kuishi pamoja sio by chance... Yaani kuna some sort of intervention wao kukutana, kuoendana na kuishi pamoja. Sasa kuna msichana mmoja ambaye kanitesa, akiniyumbisha na kunifanya nipitie tanuri la moto.. Ni kama nilikuwa nimerogwa kuwa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya DPP, Nassoro Katuga na mawakili wote wa serikali watanzania tunaomba ufafanuzi wenu maana ya neno 'uttering' kwenye tuhuma za kijinai.

    Sisi watanzania wa kawaida tumepata mkanganyiko sana kwa kitendo cha ofisi ya DPP na mawakili wa serikali kutumia neno 'uttering' kwenye kesi ya jinai. Tulioishia kidato cha nne,sita na waliosoma kozi tofauti na ya sheria tunajua maana ya 'uttering' ni kuongea / kutamka maneno kwa sauti ya...
  12. JamiiForums Tanzania Hebu nikueleze jinsi wasanii wanavyojikuta wanaingizwa mishkaki makalioni bila kutarajia

    Hello! Wasanii nimewataja kama sample tu . Suala la hili linagusa makundi yote hasa yale yanayosaka pesa na umaarufu. Unapokwenda kwa mganga halisi kutafuta pesa mara nyingi atapigana upate umaarufu kwanza. Umaarufu katika biashara, muziki, kazi, huduma za kikanisa ndio huleta pesa. Kwa lugha...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotapeliwa drill machine

    Habari wakuu natumaini mko salama. Kisa hiki kilinitokea mwaka 2007 Pala Arusha njiro Nilikua nachukua ujuzi wa kuchomelea mageti na vitu vingine vya Jamii ya chuma . Nilikua mwaminifu sana na akili nyepesi ya kutambua haraka kazi Ofisi yetu ilikua nane nane njiro ofisi yetu ilitazamana na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania TIMU MAGHUFURI MTU MBAYA ( Tujikumbushe jinsi asali ilivyotamu

    1.Kigogo 2.Mboe 3.Zito 4.Shangazi Daaah, hii miamba ilimshambulia sanaa marehemu maghufur Cjui kwa sasa Nini Kimetokea. Asali tamu sana Mtume Kuna miujiza? Nini kimetokea ,,,,,,,>mama kajifungua bila ujauzito ..... Nawatahadharisha 1.Tusali sana Kila mmoja kwa dini yake
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata leseni ya makazi

    Wakuu habar ? Naishi Dar es salaam naomba mwenye kujua jinsi ya kupata leseni ya makazi na gharama zake Kwa ujumla.
  16. JamiiForums Tanzania OMO anaposema kuwa Unguja hawakupewa Jimbo hata moja anamaanisha nini? Anabariki jinsi CCM wanavyogawa Majimbo kwenye uchaguzi ....!!?

    Nimemsikia OMO anaongea leo kwenye mkutano. Amedai kuwa Pemba walipewa majimbo Manne na Unguja hawakupewa hata jimbo moja. Je, anataka kukubaliana kuwa haya majimbo sasa yanatolewa kwa hisani ya CCM ama? Kwa jinsi alivyoongea ni kama vile anaomba hisani kwa CCM badala ya kudai haki yao.
  17. JamiiForums Tanzania Clatous Chama: Nilijutia sana kuondoka Simba, siku niliyosaini mkataba Yanga haikuwa siku nzuri kwangu

    Kama ningerudi Zambia ingekuwa ngumu sana kurudi Simba na nilisaini Singida kwa sababu nilitaka tu kuwa karibu na Simba na waendelee kuniona” “Nashukuru Mungu sikuchukua muda mrefu pale kwasababu sijawahi kufikiria suala la kwenda Yanga, ilitokea tu” “Nilikuwa kwenye wakati mgumu lakini...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujaza profession qualification ajira porta

    Habari wakuu, Ajira portal Kuna sehemu ya kujaza professional qualification lakini Kwa upande wa engineering graduate anapewa namba tu wakatu ajira portal inataka certificate hapa natakiwa kufanyaje?
  19. JamiiForums Tanzania Kumbukizi la kihistoria: Jinsi barua ya kughushi ilivyomuua Mfalme wa Rumi

    Lucius Domitius Aurelianus, Hili ni jina kubwa mno kwenye historia ya dunia: Huyu alikuwa ni jemedari mahiri kabisa wa vita (Impeator) na baadaye akaja kuwa mfalme wa bora wa Dola la Roma (Caesar). Wengi humkumbuka kama The Emperor Who Saved The World, japo alitawala kwa miaka mitano tu na...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Jinsi Dk Nchimbi alivyogundua Rais Samia anatamani mabadiliko

    Katika barua yake kwa umma Mhe Dk Emmanuel Nchimbi amesema kwamba nanukuu "... nimejiridhisha pasipo shaka kuwa Mhe. Rais anatamani mabadiliko, hivyo nimeamua kutimiza ahadi yangu...." Alipoona baadhi ya viongozi na wabunge wa ccm wanasimama hadharani na kumuita Yuda alidhani wanajituma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…