jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya kutenganisha mtaji na faida kwenye biashara Ili iweze kukua

    Rafiki yangu mpendwa Huwa kuna kichekesho kinachosema kila biashara huwa inalipa ukiwa unasimuliwa. Lakini unapoingia ndiyo unakutana na uhalisia ambao hukusimuliwa. Kichekesho hiki kina ukweli nusu na ukweli wenyewe ni kila biashara huwa inalipa, ila inategemea na namna ambavyo mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Jamaa alifundishwa jinsi ya kujitambulisha kwa watu muhimu, na alichofanya ilikuwa hivi

  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujitengenezea|Kujijengea heshima kwa watu wanaokuzunguka

    Salaam Wakuu, Hii ndo namna bora ya kujitengenezea heshima. 1. Acha kuwaomba watu kila wakati. Acha kuwa ombaomba kwa marafiki 2. Acha kutafuta asiyekutafuta. Mtu kama anakukalia kimya nawe Mkalie kiya 3.Usiwe muongeaji sana bali msikilizaji 4. Usile chakula cha watu wengine zaidi ya wao...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kwenda kutembea kwenye Mbingu nyingine(another universe)

    I Kulikuwa na ukimya wa kutarajia. NILIWEZA KUHISI watu wakinitazama. Kisha swali fupi, kali, lenye kelele. Nyayo za mshikaji wangu zikija kwa kasi kuelekea kwangu. “Huoni?” Aliuliza. "Ninaona muundo wa kupendeza," nilijibu, "naona kile ambacho hakina maana kwangu, muundo wa mistari ya...
  5. JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja jinsi ya kujiunga na bando la LAMBA DUME kutoka Tigo. 6GB kila baada ya wiki 2.

    wazee kwema? tupeane maujanja tupunguze ukali wa maisha ya mtandaoni.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukokotoa PAYE, Taxable Pay na Net Pay kwa urahisi sana.

    ...yeh!
  7. V

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya kupeana ujuzi jinsi ya kujipatia kipato kila siku

    Kwema wana jukwaa mko njema Mimi,ni muhanga wa kukosa ajira nakuja mbele yenu kupewa muongozo kwa wajuzi wa mtaani Ni jinsi gani mbinu,gan wanatumia kupata riziki ya kila siku na kutimiza majukumu mbalimbali kama chakula kodi na mambo mengine Nahitaji connection ya mchongo wowote niko dsm...
  8. JamiiForums Tanzania Rais mtaafu Kikwete akitoa ushauri wa jinsi ya kuongoza nchi atatoa ushauri huu?

    Wakati wa uongozi wake aliwahi sema kuwa watu wasimuandame kuwa anasafiri sana. Alisema kuwa huko watu wanapesa sana hivyo ni muhimu atoke akahemee. So kama JK akiombwa ushauri wa kuongoza nchi bila shaka ushauri wa kutoka na kuomba kwa kila anayeonekana ana pesa utakuwa ni wa kwanza kabisa...
  9. JamiiForums Tanzania Machinga na wafanyabiashara wa Tanzania jifunzeni kufanya biashara mtandaoni, tumieni 'smartphones' zenu vizuri

    Habari wadau JF, Watanzania tubadilike twende na wakati kwa nini tuko kama watu kale binafi siungi mkono Machinga wala Migambo wajiji siko upande wowote ila kwa akili hizi mazingira tunayatengeza wenyewe kwakutokuwa wabunifu na kwenda na wakati kunamswali mengi sana waga najiuliza kwanini...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya Kubadili course chuo kikuu UDOM

    Samahanini.kuna mdogo wang kachaguliaw UDOM course ya IT,anataka akajaribu kufanya transfer ya course kutoka course ya IT kwenda MD kweny matokeo yake ya form six ana D flat dvs 2 point 12,,,,je inawezekana???
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wajinsi ya kuondoa background noise sound

    Wakuu kwema humu jukwaani jana litok kununua studio microphone kuifunga ikawa inatoa sauti kama ya upepo shhhhhhhh. Nilikua naomba kujuzwa namna ya kuiondoa au mic itakua chenga. natumia mixer ya yamaha na desktop chumba akiingizi sauti za nje ni sound proof
  12. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kutambua ikiwa simu ya Apple iphone 12 (mini, pro, promax) ni feki au orijino

    ...am editing
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata madini ya Almasi kutoka kwenye maiti

    Leo katika pitapita zangu mtandaoni nimetembelea ambako nimekutana na hii stori, nikaona ni vyema niielete hapa tuijadili kwa pamoja. N.B Mimi si mwandishi wa habari hii. Barani Afrika na maeneo mengine duniani utamaduni wa kuzika mtu anapofariki ni utamaduni wa miaka mingi na ndio utamaduni...
  14. JamiiForums Tanzania Kibonzo: Kipanya anaelezea jinsi ya kummenyea kipofu karanga

  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoa Password katika simu ya tecno F1 bila kutumia computer

  16. JamiiForums Tanzania Fahamu wakati ambao mwanamke huwa na ashki kali zaidi

    Nyege kwa mwanamke huwa inakuwa juu sanaa wiki mbili baada ya kutoka mwezini yaani homoni ya ESTROGEN inakuwa iko juu sanaa hadi pale siku za hatari zitakapoishaa sasa huu ni muda wa kunyanduana mpaka basi, kwani mihemo ya mwili wa mwanamke inakuwa iko juu sanaa kupelekea kuwa na hali moja na...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata chakula bure zaidi ya Mara 10 kila mwaka

    :):):):):):):) Funny Facts! Ukiingia kwenye soko la hisa la dar es salaam, idadi ndogo ya hisa za kununua ni hisa 10, thamani ya hisa moja kwa makampuni kwa report ya jana ni kama ifuatavyo Sasa Njia za kupata msosi ziko hivi, kwa sheria ya soko la hisa la Dar es salaam, kila mwaka kila...
  18. JamiiForums Tanzania Twenzetu Uganda: Jinsi ya kununua hisa za MTN Uganda

    Uwekezaji nikiimanisha (investment ) ni jambo la busara kwa kila mtu sababu linatengeneza Passive income. Tukija kwenye masuala ya Hisa ama Stocks wale wanaoinvest kwa mfumo wa kupata Dividend na sio speculation mara nyingi wanatoboa sana,sababu eventually price ya hisa mara nyingi itakuja kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kupata certificate of COVID-19 Vaccination

    Guys, Nimepata Choja ya covid19 week ya kwanza tu ya utojia, Hadi leo sijapata message ya kupata cheti, Naona wanaona choma hivi karibu wanapata message zina link ya cheti, Njia gani naweza pata cheti, nimeangalia kwenye website ya wizara ya afya bila mafanikio. Help me out. Thanks
  20. JamiiForums Tanzania jinsi ya kufitisha main switch ya njia nne

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…