Leo ngoja nikupe hii siri.
Maana inakera pale umeshachagua chungwa lako tena la kudumu nalo halafu baada ya kulimenya unakuta halina maji, kavu au sio tamu yani ladhaless.
Ukitaka kupata chungwa tamu.
Usiangalie kwa nje lenye sura nzuri.
Angalia lile chungwa bayabaya ambalo kama lina mabaka...