jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naruhusiwa kuweka jina la 3 kwenye jina lenye majina 2?

    Wakuu nauliza naweza weka jina 3 na lisilete shida yeyote kwenye mfumo wa kiserikali ikiwa vyeti vyangu vya shule na chuo vina majina mawili. Wanasheria naombeni hatua ya kwanza kufanya ili niweze kuwa na majina matatu kwenye mfumo wangu wa majina. Pia nauliza Kama haiwezi leta shida katika...
  2. JamiiForums Tanzania anko anawasalimu kwa jina la baba na la mwana na roho mtakatifu, amen!

    anko anawapenda sanaa
  3. C

    JamiiForums Tanzania Justin Bieber amepewa jina jipya la Prince of Pop baada ya mafanikio haya

    Justin Bieber amepewa jina jipya 'Prince of Pop' baada ya muziki wake kupata wasikilizaji Milioni 83.3 ndani ya mwezi mmoja katika mtandao wa Spotify na kuweka rekodi mpya ya msanii aliyesikilizwa zaidi ndani ya mwezi mmoja. - Rekodi hii awali ilishikiliwa na Ariana Grande. Wasanii wanaofata...
  4. JamiiForums Tanzania Kanye West Anataka Kubadilisha Jina Ili Aitwe YE

    Msanii na Rapper maarufu Kanye West ameiomba mahakama ya jijini Los Angeles huko California nchini Marekani kubadilisha jina lake kutoka Kanye West na badala yake awe anajulikana kwa jina la Ye peke yake. Kanye ambaye jina lake kamili ni Kanye Omari West, ametuma maombi hayo rasmi akitaja sababu...
  5. JamiiForums Tanzania Hatmaye Waziri Dorothy Gwajima akubali yaishe. Abadili jina sasa kuitwà Aisha

    Waziri Dorothy Gwajima amesilimu na kubadili jina na kuitwa Aisha.
  6. JamiiForums Tanzania JamiiForums: Unaweza kuwa VERIFIED, fuata hatua hizi

    Wakuu, Kumekuwa na maombi kadha wa kadha ya watu kutaka kuwa verified. Tumeona vema tuweke urahisi wa mtu kuomba kuwa verified badala ya utaratibu wa awali. Kuwa verified kwako ni kwa hiari yako. Unaweza kusoma Sera yetu ya Faragha kama una concerns zozote > Privacy policy ambayo ina ufafanuzi...
  7. JamiiForums Tanzania TASAF jina la "Kaya Masikini" linawatisha "Watanzania wanyonge"

    Uhuru wa Maoni!
  8. JamiiForums Tanzania Kama aliyepita alipigwa muhuri wa udikteta akaanguka, jina la Jezebel linaanza kupata umaarufu taratibu hiyo ni ishara mbaya

    Kama kawaida yetu sisi wapenda nchi hii kwa uzalendo usio na Shaka. Tunakuja Tena na maonyo ya kuonya na kuwakumbusha watawala. JINA LA UDIKTETA ALIWEKEWA NALO MUHURI ALIEPITA MPAKA AKAFA NALO. JINA LA JEZEBEL LINAANZA KUPATA UMAARUFU NA WASIOSOMA BIBLIA SASA WANAANZA KUMTAFUTA JEZEBEL ALIKUWA...
  9. JamiiForums Tanzania Vitu kupewa jina la Nyerere imetosha tuvipe na majina ya viongozi wengine

    Pamoja na kuwa baba wa Taifa ila vitu vingi sana vimepewa jina lake Nashauri imetosha tuwape na wengine maana sasa historia inakuwa kwa mtu mmoja kama wengine hawakuwepo tu hebu tazama Mwalimu nyerere memorial academy Mwalimu nyerere international airport Nyerere hydroelectric power Nyerere...
  10. JamiiForums Tanzania Nauza Line za Uwakala zote 5

    Nauza Line za uwakala zote 5 Voda, Tigo, Halotel, Airtel, TTCL zote zina jina moja na documents zipo km lesseni na Tin. Nipo Songea 0717802341 Bei ya jumla 350,000/= tu... Nipigie tujadili
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe anaenda kubadilisha historia ya Tanzania

    Huyu bhana pamoja na kuzaliwa kipindi cha uhuru lakini dalili zinaonesha anaenda kukuza uhuru wa kufurahia demokrasia hapa nchini. Ninatamani sana kesi yake ingurume ili tuone matendo ya kigaidi aliyoyafanya ili nilinganishe na ya Ole Sabaya na ya Mnyeti halafu ikiwezekana afungwe kabisa si...
  12. JamiiForums Tanzania Mbezi Beach, Dar: Mwanamke achoma nyumba ya mpenziwe wa zamani

    Mwanamke wa kikurya amechoma nyumba ya aliyekuwa mwanaume wake mkazi wa mbezi Beach kwa komba kwa sababu ya wivu wa kimapenzi. Tukio hili lilitekelezwa wakati mwanaume huyo alipokuwa ameenda kazini. Wananchi alofanikiwa kumkamata mtuhumiwa na hivi ninavyoandika mtuhumiwa huyu amefikishwa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa nzuri ya kuua nzi

    Kama kichwa kinavyoeleza ninapoishi tumevamiwa na kundi la nzi Kama nyuki kwenye mzinga!Wanakuja mchana,jioni na hata usiku!Wanafikia nje ukifungua tu mlango wanaingia ndani. Nimejaribu baadhi ya dawa haziwaui wote!Ajabu kila wanapogusa wanaacha alama ya madoa meusi meusi!Nasubiria muda muafaka...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada, namna ya kurekebisha jina la awali lifanane na la kwenye NIDA

    Salamu wakuu Naomba msaada wa kufahamishwa namna ya kurekebisha jina kwenye kitambulisho changu kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii. Yaani ni kwamba jina langu la kwenye NIDA lile la katikati ni tofauti na lililopo kwenye mfumo wa nssf. Hayo majina yametofautiana lakini yote ni majina ya baba...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa Katazo la Misongamano isiyokuwa ya lazima kukabiliana na UVIKO

    TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI. TAMKO LA KATAZO LA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA Tarehe 22 Julai, 2021 - Dar es Salaam. Ndugu Wananchi, kama tunavyofahamu Tanzania iko kwenye mapambano ya kudhibiti maambukizi ya UVIKO-19 ikiwa ni wimbi la 3 la mlipuko huu tangu uingie nchini Machi...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini kinaitwa Chama cha Mapinduzi? Ni mapinduzi gani kimeyafanya?

    Hili swali najua wengi tumekuwa tukijiuliza bila kupata majibu sahihi. Chama Cha Mapinduzi kiliundwa tarehe 05 February 1977 kutokana na kuunganishwa kwa vyama vikuu vya Tanu kwa Tanganyika na ASP kwa Zanzibar. Mpaka hapo hatujaona mapinduzi yoyote kufanyika. Kama kuna anayeweza kuelewesha...
  17. JamiiForums Tanzania Tuambie jina lako la Burundi unaitwa nani?

    Katika kutekeleza kauli ya Waziri wa Fedha, ya kututaka tuhamie Burundi kama hatuwezi kulipa tozo za miamala ya simu, jina lako la Burundi unaitwa nani? Mimi naitwa Renzoimana Barberashimiye.
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta jina la huu wimbo mzuri

    Kama kichwa Cha habari kilivyo. Poleni na majukumu. Kuna wimbo nliupenda sanaa, nliusikia Mara moja tu kwenye coaster wakati nasafiri. Hints; 1) Ndani kashirikishwa Juma nature. 2) Huo wimbo ni mpya. 3) Ni dizaini ya nyimbo Kama za kina C Bella. 4) Baadhi ya maneno huko ndani- - Kiitikio...
  19. JamiiForums Tanzania Masada wa kutaka kubadilisha jina la kiwanja

    Habari wakuu. Mimi naombeni msaada wa kutaka kujua kama je ni kweli unaweza kubadili jina la muuzaji kiwanja kwenda kwa mnunuaji kiwanja? Nimenunua kiwanja ambacho kina OFA tu sasa bado sjabadilisha jina na nyaraka zote ninazo ambazo kanipa muuzaji sasa nikaongea na afsa ardhi kaniambia hapo...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye kujua asili ya Jina Rambau

    Wakuu naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu wa asili ya jina Rambau. Watu wenye majina Rambau wanatoka mkoa gani hapa Tanzania na ni kabila gani ? Shukrani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…