jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania V.A.R YA CHAWA: NI uongo na aibu kumsifia Rais Samia kuhusu jina hili huko Ujerumani

    Mr Njaakali hatari naaanza leo kukuleta segment matata iitwayo VAR YA CHAWA kutokana na ongezeko la kutisha la machawa na usambazaji wa kutisha wa fake news Leo naanza na member aitwaye Crocodiletooth chawa moja hatari lenye blue tick liko verified yaani limepost uzi huu. Kwa bidii ya Rais...
  2. JamiiForums Tanzania Pendekeza jina la unayedhani ni mrembo kuliko wote hapa, mshindi baada ya comments 20

    Wadau mi nimeona ni jambo zuri warembo wetu tuwashndanshe, il tujue nan ni miss JamiiForums. Pga kura kwa mtu mmoja tu, kura yako itaharbka kama utapgia wawil au zaid, karbun wajomba.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bango la Anwani za Makazi likiwa limekosewa

    Sekou Toure Road 👇
  4. JamiiForums Tanzania Siku hizi wake wanawaita waume zao "baba chanja", si "mume wangu" tena kama ilivyokuwa zamani

    Nimekua nikimsikia mama akimtaja baba kama mume wake. Anaweza sema " mume wangu" anapokuwa akizungumza na wenzake. Wamama wa siku hizi sasa, utasikia anasema " baba chanja wangu" Tena wengi wetu tunaitwa baba chanja. Hata mimi leo nimesikia nikiitwa baba chanja alipokuwa akiongea na mwenzie...
  5. JamiiForums Tanzania Majina yapo mengi, ila kwanini MTARO ulipewa jina la mtandao wetu pendwa.

    Ni jumanne nyingine, hali ya hewa ni rafiki na sio rafiki kwa namna moja ama nyingine. Inategemea na mtu na mtu. Nimeona sio vibaya nikiuliza na kujifunza kutoka kwa wanaofahamu. Nina amini baadhi ya majina ya maeneo yaliwekwa kutokana na matukio au shughuli ambazo ziliwahi kutokea kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Ipo haja ili kuimarisha muungano jina "chama cha mapinduzi"likabadilishwa.

    Tutakapo badilisha jina hili kwa kuliongezea mambo ya kitaifa na ya kimuungano imara zaidi itapendeza sana,ningependekeza kwa wakati tulionao na kwa wakati ujao kwa chama imara zaidi na cha kitaifa jina la chama chetu likawa, "" CHAMA CHA KIMAPINDUZI CHA WATU WA TANZANIA"" Kwa jina hili...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Umoja Party kubadili jina kwa manufaa mapana ya Taifa

    Baada ya vuguvugu kubwa la kuanzishwa kwa chama cha siasa cha Umoja Party ni dhahili sasa safari imeanza lakini nna ombi moja tu tubadili Jina kuwa Chama cha Ukombozi na Umoja Tanzania (CUUTA). Sababu kubwa ni kwamba kwanza tunahitaji kukomboa watu kifikra na kiuchumi na ndipo tuwaunganishe...
  8. JamiiForums Tanzania Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

    Hili ni swali tu katika kujua uweza na uwezo wa nguvu za Jina la Yesu katika kutenda miujiza. Yesu alipata kuishi yapata miaka 2019 iliyopita. Je inakuwaje jina lake leo lisemwe kwamba lina nguvu sana katika kutenda miujiza? Kuna manabii wengi sana na mitume wengi wamepita, kina Krishna...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada : Mrisho ni jina la Kiislamu, Kiyahudi, Kikristu au kikabila?

    Nimepata mtoto nataka kukapa hili jina, nilikuwa nataka nijue kwanza asili yake. Hivi hili jina lina asili ya wapi? Maana kuna watu kadhaa nawafahamu wanatumia hili jina, wengine ni waislaam, wengine ni wakristu, wengine ni waha na wengine ni wakwere na wengine ni wahindi nk. Au ndio jina la...
  10. JamiiForums Tanzania Tutumie jina la nyimbo / instrumental unayoisikiliza ukiwa umejipumzisha

    Mimi huwa napendelea instrument Zaid moja wapo ni: Kenny G.--- Forever In Love Japo wengi hutumia kama wimbo wa chakula. Wewe yako pendwa ni ipi?
  11. JamiiForums Tanzania Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Hili swali linawahusu wale ambao hawatumii majina yao ya kweli hapa ukumbini. Je, jina lako lina maana yoyote? Kuna sababu yoyote ile iliyokufanya uamue kutumia jina hilo!? Nilikuwa nimeamua kutosema lolote kuhusiana na hali ya kisiasa ndani ya nchi yetu (kuwa bubu) pamoja na kwamba nilikuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia sijakuelewa hapa unapotaka Kushauri na Kuamrisha kuwa Jina la Wafungwa libadilishwe na sasa wawe wanaitwa Wanafunzi

    Yaani Mtu Kaiba na Kaua au amesababisha Hatari Kubwa ama katika Jamii au Nchi halafu akihukumiwa na Mahakama kwenda Jela Kisheria asiitwe tena Mfungwa na sasa aitwe Mwanafunzi? Kwahiyo Mbakaji awe anaitwa Mwanafunzi Mbakaji, Muuaji nae awe anaitwa Mwanafunzi Muuaji huku Jambazi nae awe anaitwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hoja: Jina sahihi la Kiswahili ni Russia au Urusi?

    Kutokana na mgogoro uliopo hapo ulaya nimesikia kwenye vyombo vya habari mbalimbali lakini vikitaja majina tofauti. VOA, Mwananchi,Milard Ayo wanasema,wanatamka au kuandika jina Russia lakini BBC,DW wanaripoti jina Urusi. Sasa swali ni jina gani la kiswahili sahihi kutumika? Russia ni...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi kuna ubaya mpenzi akitaja jina la mtu mwingine wakati mnafanya mapenzi?

    Je, kuna ubaya gani ikitokea hivyo? Imagine wewe ni Juma, lakini wakat una sex na mpenzio anamtaja Benja😅😅😅 Au wewe ni Asha, una sex na Mohammed, mudi wakati yuko katikati ya unono anamtaja Hamida😅😅😅😃😃
  15. D

    JamiiForums Tanzania Shule ya Mafunzo ya Uongozi isitumie jina la Mwalimu Nyerere, bali itambulike kama Shule ya Uongozi (SUT)

    Sikatai kumuenzi Mwalimu nyerere, Lakini hii kasumba ya kumuenzi Mwalimu kwa kuita Majengo jina lake Naona sasa Imepitwa na wakati! Ifahamike Mwalimu hakuwa malaika! Hivyo tunaweza kufanya bora zaidi kutoka pale alipoishia yeye! Kuita Shule ya Mwalimu nyerere, ni kuweka speed gavana kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu atoa tahadhari jina lake kutumika kwenye kutapeli

    Tamko la Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu utapeli kwa kutumia jina lake.
  17. J

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya kifupisho cha 'ndc' mbele ya jina la Nenelwa J. Mwihambi Katibu wa Bunge

    Wakuu nawasilimuni, Nimebaini kwamba baada ya jina la Katibu wa Bunge wa sasa Mh. Nenelwa J. Mwihambi kumekuwa na kifupisho cha 'ndc'. Napenda kufahamu nini maana ya kifupisho hicho? Shukrani!
  18. JamiiForums Tanzania Mtu anapoitwa jina la kabila lake

    Imekuwa kawainda mtu fulani kuitwa jina la kabila lake au sehemu anayotoka na jina hilo kumkaa na kukubalika katika jamii anamoishi ugenini kufanya shughuli zake. Majina ambayo yamekuwa maarufu sana utasikia mtu akiitwa muha, mchaga na mpemba, akiwa na duka panaitwa kwa muha, kwa mchaga na kwa...
  19. JamiiForums Tanzania NGACHOKA: Jina la Daraja 'Tanzanite' muonekano wa daraja kuna alama ya 'Mwenge'

    Habari ya mtandaoni kwasasa ni watu kupita na magari, bajaji, pikipiki, bodaboda katika daraja jipya la Tanzanite. Wapo wenye kuisifu Serikali ya Mama, Wengine wanamuenzi Magu, wengine wanalaumu kuwa kwanini lisingejengwa Jangwani n.k Mimi binafsi nimeshangazwa na mkinzano wa jina na...
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ombi kwa Rais Samia: Chuo cha Diplomasia kipewe Jina la Dr. Salim A. Salim ikipendeza

    Nimejaribu kukumbuka kwa haraka haraka kuna kitu gani kinataja jina la Dr. Salim kwa kumbukumbu ya utumishi wake kwa taifa letu. Sijui kuna barabara au daraja gani limepewa jina lake. Ikumbukwe kwenye utumishi wa kimataifa hakuna mtu aliyeitangaza na kuacha alama kimataifa kama Dr. Salim A...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…