jimbo

Jimbo is a diminutive form of the given name James. It is also a Japanese surname, and it means state in Swahili. It may refer to:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: ‘Dkt. Shika’ apoteza Jimbo la Siha

    Asante Wajumbe wa CCM wilaya ya Siha kwa kumpeleka LIKIZO Dr wetu wa tiba asili
  2. JamiiForums Tanzania Huyu ustadhi apewe Jimbo

  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jimbo la Kisesa wamesema NRNE, kwamba bila jina la Mpina, hakuna uchaguzi wa mchujo

    Salaam ! Sasa Ile operation yenye nguvu ya NRNE imeingia chama Cha kijani, sasa ni Jimbo la Kisesa. Nikiripoti kutoka Jimbo la Kisesa, ni Mimi mwana mabadiliko rabbon! NRNE 💪 🔥 Karibuni 🙏
  4. JamiiForums Tanzania Hakuna hata Jimbo moja lenye maendeleo, labda liwe na katiba yake na sera yake zake, ila sio kwa sera hizi. Wajinga tunahadaiwa sana

    Nionyeshe Jimbo hata moja lenye maendeleo maana yake kuwa na maendeleo lina sera mbalimbali bora kabisa hapo jimboni. 1. Huduma bora za afya 2. Sera nzuri ya ajira, hakuna tati la ajira. 3. Sera nzuri za kufanya biashara. 4. Elimu bora na yenye viwango. 5. Sera nzuri za hifadhi ya jamii. 6...
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kilwa Kaskazini; Mbunge anayemaliza muda wake avunjika mguu akisubiri usaili wa ubunge. Mtia nia mwingine afariki kwa ajali akienda kuchukua fomu

    Kazi ipo kule Kilwa Kaskazini, wakati Leo ndio tunatarajia kupata orodha ya majina matatu ya wagombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi ili yapelekwe kwa wapiga kura ndani ya chama, tayari mtia Nia mmoja katika Jimbo Hilo ambalo Mangungu analitolea macho amepata ajali alipokuwa anakwenda...
  6. JamiiForums Tanzania Niwakati sasa wa wakazi wa Songea Town kwenda na Eng. Koyoya Alfred Fuko aliongoze Jimbo

    Muda umefika sasa kwa wakazi wa Songea town kwenda na Eng. Fuko kwa maendeleo ya wa Songea town, tunaowamba wajumbe msifanye kosa hata kidogo siku ya kupiga kura
  7. JamiiForums Tanzania Dr Dorothy Gwajima kachukua Fomu Jimbo gani?

    Mheshimiwa Dr Dorothy Gwajima amechukua Fomu Jimbo gani? NB: Tunaandika ripoti ya waliochukua Fomu ila hatumuoni Jimbo lolote
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Sekeseke lililotokea wakati wa kuchukua Fomu ya Ubunge katika Jimbo la Bumbuli

    Juni 28, 2025, Rashid Kilua alikwenda kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Bumbuli akiwa katika ofisi za Wilaya alifanikisha zoezi la Fomu ila inasemekana watu waliotajwa ni wafuasi wa Januari Makamba hawakuondoka eneo hilo ingawa nao pia walishachukua Fomu. Inasemekana Baadae Saa 8...
  9. JamiiForums Tanzania Mwl. Makungu amechukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Bariadi Vijijini, kuchuana na Masanja Kadogosa

    Aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu, ambaye ni Mwalimu na Mwandishi mahiri wa Makala , Mwl. Makungu Mussa Sweya, jana 2/7/2025 alichukua na kurejesha fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mwl. Makungu Ms amesema...
  10. JamiiForums Tanzania Dr Stergomena Tax ashauriwe kuchukua Fomu Jimbo la Kawe

    Jimbo lipo wazi na hapo jimboni ndio kambi na hospitali kubwa ya jeshi ulipo hivyo uhakika
  11. JamiiForums Tanzania Jerry Muro kapigwa ganzi haelewi achukue Fomu Jimbo gani?

    DC Mstaafu kapigwa ganzi kelele anapigia KAWE Fomu anachukulia Hai Maombi ya Jasusi Mkuu wa KAWE hayatamuacha salama
  12. JamiiForums Tanzania Rufiji: Kada wa CCM Shaban Matwebe akataliwa kuchukua form ya kugombea Ubunge jimbo la Mchengerwa.

    Kada wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amelalamikia kuwa Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Rujifi amekataa kumpa fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Rufiji. Akiongea leo July 1 2025 Matwebe amesema hiyo sio mara ya kwanza kwake kupata changamoto kwani alishawahi kukamatwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Jimbo la Kisesa hakuna aliyechukua form ya ubunge, wanamtaka Luhaga Mpina tu

    Wakati wa Jimbo la Kisesa hawajachukua fomu ya ubunge hadi Leo Wanachama wa CCM wameshinikiza Mpina ndo agombee pekee Mwenyekiti wa CCM Taifa alimwita Luhaga Mpina kuwa ni mbunge wa Taifa na sio mbunge wa Kisesa na huwa hawatetei wananchi wa Kisesa Pia Mwenyekiti wa CCM alisisitiza wananchi...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Rose Rwakatale achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Mlimba, Morogoro

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk.Kellen-Rose Rwakatale amechukua rasmi fomu ya kugombea ubunge jimbo la Mlimba mkoani Morogoro. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hiyo, Rwakatale amesema anayo dhamira ya dhati kulitumikia jimbo hilo la Mlimba kwani anazijua changamoto...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Cecilia Paresso achukua fomu ya kuomba CCM kugombea Ubunge Jimbo la Karatu Mkoani Arusha

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha anayemaliza muda wake Cecilia Paresso amechukuwa fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kugombea Ubunge Jimbo la Karatu Mkoani Arusha Paresso amekabidhiwa fomu hizo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Karatu hivi leo na Katibu wa Chama Cha...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Mhandisi Jafari Hegga achukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki

    Mhandisi na kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Jafari Hegga amechukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki. Hegga amechukua na kurejesha fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025.
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Festo Kiswaga, aliyekuwa DC Monduli mkoani Arusha, achukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Isimani, Iringa

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, Festo Kiswaga, amejiingiza rasmi katika mbio za kisiasa kueleka uchaguzi mkuu 2025 kwa kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Isimani, mkoani Iringa, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwijaku ajitosa ubunge jimbo la Mvomero kwa tiketi ya CCM

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Burton Mwemba @mwijaku amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hatua hiyo imeashiria mwanzo rasmi wa safari yake ya kisiasa katika kuwania nafasi ya Ubunge wa Mvomero...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Salome Sengo Achukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Lupa

    Salome Sengo Amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Lupa Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Jimbo la Kilolo Justin Lazaro Nyamoga achukua fomu kuwania Ubunge kwa awamu nyingine

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilolo Mh Justin Lazaro Nyamoga mapema June 28 ameanza safari ya kutetea tiketi ya kuwania Ubunge kwa awamu nyingine Jimboni Kilolo Mh Nyamoga baada ya kuchukua fomu katika ofisi za Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kilolo alielekea kanisani kumshukuru Mungu kwa zawadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…