jimbo la hai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 James Mbowe aahidi Vijana Jimbo la Hai kufundishwa Kiingereza wakafanye kazi Mlima Kilimanjaro

    Zingatia hizo sera za Mgombea Ubunge kutoka Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kisha zingatia Mavazi aliyovaa ni ya Makamanda wa CHADEMA Jamaa kahama chama lakini bado itakadi za CHADEMA anatembea nazo hadi kwenye kampeni za CHAUMMA hii ni dharau tosha kwa CHAUMMA Baasi tuendelee kuzingatia...
  2. G Sam

    Picha: Mkurugenzi wa Uenezi CHAUMMA bwana John Mrema akisalimiana na James Mbowe kwenye kampeni Jimbo la Hai

    Mkurugenzi wa Uenenzi na Mawasiliano CHAUMMA ndugu John Mrema (Pichani) akisalimiana na mgombea Ubunge kupitia chama hicho Jimbo la Hai ndugu James Mbowe kwenye muendelezo 2a kampeni za uchaguzi mkuu.
  3. R

    GE2025 James Mbowe achukua fomu ya ubunge jimbo la Hai

    Hata aibu hawana! Kumbe yalikuwa manyangau! Labda CCM watamuachia. Time will tell!
  4. DuaZaMama

    GE2025 James Mbowe kugombea jimbo la hai kupitia CHAUMMA

    Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe baada ya kutangaza kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) amesema atachukua fomu ya kuomba ridhaa kugombea Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro. James amejiunga na chama hicho leo, Jumatano Makao Makuu ya Chama cha...
  5. peno hasegawa

    Kero za muda mrefu za jimbo la Hai - Kilimanjaro

    1. Mkuu wa Wilaya ya Hai, Hassan Bomboko. 2. Foleni ya magari mto Kikavu. 3. Malori kupita katikati ya mji wa Hai. 4. Polisi Kusimamisha magari usiku kuomba rushwa kwa nguvu.
  6. R

    GE2025 Jerry Muro amekuchukua fomu kugombea Ubunge Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro kupitia CCM

    Ikiwa imebaki siku moja kuhitimisha zoezi la uchukuaji fomu za Udiwani, Uwakilishi na ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makada mbalimbali wameendelea kujitokeza na kuchukua fomu za kuomba ridhaa ndani ya CCM, mchakato uliotawaliwa na sura ngeni na wale makada maarufu kwenye siasa za...
  7. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Peter Kimaro atinga na gari la milioni 400 kuchukua fomu ya Ubunge jimbo la Hai

    Watu wameanza kuonyesha jeuri ya pesa au tusemeje? ===================== Leo, Juni 28, kijana mwenye maono na elimu ya uchumi, Peter Kimaro, amewasili kwa mbwembwe katika ofisi za CCM kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Hai kwa mwaka 2025. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Saashisha Mafuwe: Mambo mengi niliyomuomba Rais Samia jimbo la Hai amenipa, Wananchi si mmeona?

    Wajasiriamali na wafanyabiashara katika Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Jumapili ya Pasaka ya April 20,2025 walisheherekea sikukuu hiyo pamoja na Mbunge wa Jimbo lao la Hai Saashisha Mafuwe Mbunge Saashisha alikutana nao kwa lengo lakuwasikiliza changamoto zao pamoja nakuwaeleza...
  9. milele amina

    PreGE2025 Wananchi wa Jimbo la Hai wamchangia Kijana Msomi Professor Urassa fedha kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge kupitia CCM 2025

    Wakazi wa Hai wameonyesha uzalendo wa hali ya juu kwa kumchangia Professor Urassa kiasi cha Tsh milioni 500, ikiwa ni pamoja na gharama za kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Wananchi kutoka maeneo mbalimbali kama Rundugai, Weruweru, Nronga, Mnada, Kia, Masama...
  10. PendoLyimo

    Madai ya Upendeleo na Rushwa Katika Uchaguzi wa CHADEMA Jimbo la Hai

    Katika hali inayoibua maswali mengi kuhusu uwazi na haki ndani ya chama cha CHADEMA, mtoto wa Freeman Mbowe, kiongozi wa chama hicho, ameonekana kupendelewa katika uchaguzi wa ndani wa Jimbo la Hai. Taarifa zinadai kwamba viongozi wa juu wa jimbo hilo walihusika moja kwa moja katika kuhakikisha...
  11. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Saashisha Mafuwe Akabidhi Mashine ya X-Ray ya Milioni 196 na Magari Mawili, Hospitali ya Wilaya ya Hai

    Mbunge Saashisha Mafuwe akabidhi mashine ya X-ray yenye thamani ya Tsh. milioni 196 na magari mawili Mbunge wa Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro, Saashisha Mafuwe tarehe 10 Agosti, 2024 amefanya ziara katika Hospitali ya Wilaya ya Hai na kukabidhi Ultrasound na X Ray Machine za kisasa zenye...
  12. chiembe

    Freeman Mbowe, pamoja na vitu vingine, pia atamrithisha James Mbowe jimbo la Hai, James atamba anasubiri kuapishwa

    Tofauti ya CCM na Chadema ni ndogo sana, wanafanana katika mengi, bora tubaki na zimwi tulijualo, halituli tukakwisha.
  13. peno hasegawa

    PreGE2025 Jimbo la Hai 2025 linakwenda na Fuya , Saashisha Mafue aanza ziara ya kuaga wapiga kura wake katika kata 17

    CCM na wana-Hai wameshafanya maamuzi, Hai mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Fuya . Saashisha ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote. Wanahai wako hai,hawatafanya makosa mwaka 2025.
  14. R

    PreGE2025 Nani atagombea ubunge Jimbo la Hai 2025?

    Kama kuna anayejipanga huko Hai ajue ana kibarua kigumu sana. https://www.youtube.com/watch?v=DFzxY-Nb1mE
  15. peno hasegawa

    PreGE2025 Mchungaji Kimaro: Uchumi unaanguka sababu wenye akili hawatumiwi. Wenye akili siyo tishio kwenye nafasi zenu, watumieni kwenye uzalishaji

    Mbunge wa Jimbo la Hai, Msikilize baba mchungaji, kuna ujumbe wako. "Kwanini taasisi zinakufa? Kwanini Uchumi unaanguka? Kwanini kutokuzalisha? Ni kwasababu hautumii wenye akili! Namna ambavyo unaweza kuzalisha ni kutumia wenye akili. Sasa ukishaona kila mwenye akili kwako ni tishio (threat)...
  16. peno hasegawa

    PreGE2025 Njaa ni mbaya sana: Mbunge amepitishwa, madiwani watasubiri taratibu za kiserikali!

    Madiwani Jimbo la Hai wameliwa vichwa na UVCCM, baada ya Mbunge wao kuwezesha UVCCM kupata posho kufanya kikao cha Baraza. Madiwani sasa katafuteni mbunge wenu mwingine, mliye naye amewapiga kona.
  17. Stephano Mgendanyi

    Kawaida Atinga Jimbo la Hai "Mlikuwa na Mtu Asiye na Faida"

    KAWAIDA ATINGA JIMBO LA HAI "MLIKUA NA MTU ASIYE NA FAIDA" Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa, Kawaida amefika kukagua na kujionea shule mpya ya msingi Saashisha iliyopo wilaya ya Hai iliyojengwa na serikali kwa gharama zaidi ya shilingi milioni 540. Akizungumza baada...
  18. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yatoa Bilioni 5.2 Ujenzi Barabara za Lami Jimbo la Hai

    Ilani ya CCM ya Mwaka 2020-2025 Ukurusa wa 82 Ibara ya 57 inaeleza kuwa Kwa kutambua umuhimu wa kuendelea kuboresha miundombinu ya usafirishaji na uchukuzi katika kuwezesha shughuli za kiuchumi na kijamii Mijini na Vijijini, Chama Cha Mapinduzi katika kipindi cha miaka mitano ijayo...
  19. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 4.6 za Rais Samia Zaondoa Changamoto ya Maji Jimbo la Hai

    BILIONI 4.6 ZA RAIS SAMIA ZAONDOA CHANGAMOTO YA MAJI JIMBO LA HAI Serikali imefanikisha upatikanaji wa kiasi cha Sh Bil 4.6 kwa ajili ya upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama kwa wananchi katika jimbo la Hai kwa kuboreshaji mradi wa maji wa Hai mjini ,Upanuzi wa mradi wa maji NIre-...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mkutano wa Kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Hai

    Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Mafuwe tarehe 05 Septemba, 2023 katika Mkutano Mkuu wa Jimbo la Hai Aliwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Makamu Mwenyekiti wa (CCM) Bara Ndugu Abdulrahman Kinana Mkutano Mkuu Maalum wa Jimbo la Hai ulilenga sana...
Back
Top Bottom