Guys, msaada wa haraka nipo njia panda, ishu iko hivi nimealikwa na jirani yangu mtoto wake amepata ubatizo sijui kumunio hata sielewi, nikasema ngoja nijichanganye na majirani zangu hawa ndio kimbilio langu la kwanza,
Sasa kama kawaida wanawake tumefika mapema kama kuna vikazi vidogo vidogo...