jijini mbeya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hismastersvoice

    Anayejua kwanini Polisi jijini Mbeya jana Jumamosi 04/11 waliandamana atujuze

    Jana Jumamosi 04/11 wakati ninaangalia taarifa ya habari usiku, niliona picha ikionesha kikosi cha jeshi la polisi jijini Mbeya kikiwa kimebeba silaha nzito wakiandamana. Jambo lililonivutia ni mama mmoja namkadiria umri wa miaka 80 na zaidi alipowauliza waandamanaji kunani? Mbona mtaani kwetu...
  2. Messenger RNA

    Mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya bil 17.5 wasainiwa jijini mbeya, barabara ya njia nne kuanza kujengwa upesi

    Katika harakati za Mh.rais Samia za kumtua mama ndoo kichwani, leo mradi mkubwa wa maji utakao maliza kabisa tatizo la maji jijini mbeya na viunga vyake umesainiwa mbele ya waziri wa maji Mh.Jumaa aweso huku mbunge wa jimbo hilo Dr. Tulia akidokeza kuwa ujenzi wa barabara ya njia nne kuanza...
  3. Last Seen

    Mwamposa ajenga hotel ya kisasa jijini Mbeya

    Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson. Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii...
  4. mtwa mkulu

    Yanayoendelea Jijini Mbeya uzinduzi wa Dayosisi ya Nyanda za Juu Kusini ya Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki

    Ikiwa ni Mwisho wa mgogoro kati ya pande mbili zinazohitalifiana. Leo Jijini Mbeya wafuasi wa Askofu Mwaikali wanafurahia kujiunga na mwamvuli wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki wakitokea K.K.K.T. Ni huzuni kubwa kujitenga na kanisa hilo kongwe lililoasisiwa mwaka 1963 baada ya kuunganisha...
  5. U

    Nawezaje kupata mbegu ya Azzolla jijini Mbeya?

    Ninaomba kwa mlioko Mbeya jiji nielekezeni mahali ninaweza kuipata mbegu ya Azolla. Nataka nijaribu kuotesha kwa ajili ya kuku na bata. Nimeambatanisha na picha ya mmea wenyewe!👇👇
  6. Idugunde

    Wafanyakazi 12 wa Azam Tv wapata ajali mlima Kitonga. Walikuwa wanaelekea jijini Mbeya kurusha matangazo ya NBC premier league

    Azam Media Limited (AML) inautaarifu umma kuwa wafanyakazi wake 12 waliokuwa wanakwenda mkoani Mbeya kwa ajili ya kazi ya kurusha matangazo ya mechi za Ligi Kuu ya NBC wamepata ajali baada ya gari lao kusukumwa na lori lililokuwa likirudi nyuma kwa dharula katika Mlima Kitonga. Ajali hiyo...
  7. Aliko Musa

    Hali ya uwekezaji kwenye nyumba za kuhamishika katika mji wa Tukuyu, jijini Mbeya Tanzania

    Nyumba za kuhamishika zimekuwa zikitumika kwa ajili ya makazi na biashara. Lakini kwa mazingira ya kwetu Tanzania nitakushirikisha zaidi kuhusu fremu za biashara. Hii ni kwa sababu karibu nyumba zote za kuhamishika hutumika kwa ajili ya biashara tofauti tofauti. Sababu za kumiliki nyumba za...
  8. mshale21

    DC Chuachua: Marufuku magari yanayofanya matangazo ya misiba jijini Mbeya

    Mbeya. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk Rashid Chuachua amepiga marufuku magari yanayofanya matangazo ya misiba jijini hapa baada ya kuchukua miili ya watu waliofariki dunia hospitalini, akisema yamekuwa yakileta hataruki kwa wananchi na kujenga hofu. Chuachua amesema hayo leo Jumanne Agosti 10...
Back
Top Bottom