jiji

Jiji refers to an ethnic and linguistic group based in Kigoma Region, Tanzania.
If tribes are classified by language and not by race, Bajiji (Jiji people) are part of Baha (Ha people) since their language is the same. Traditionally they were organized into a separate kingdom, Bujiji (Swahili Ujiji, same as the Arab town of Ujiji near Kigoma), and formed part of Buha (Uha, Ha territory) with other kingdoms: Heru, Bushingo (Ushingo), Ruguru (Luguru), Muhambwe and Buyungu, all of them in Kigoma Region, Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naombeni kazi ya utabibu kwa part time ndani ya jiji la Dar es salaam

    Habari zenu ndugu zangu wa Wana JF, Mimi ni kijana mwenye taaluma ya utabibu na Nina uwezo wa kufanya kazi hyo kwa miaka 2 Sasa. Nina uhitaji wa Ajira hyo ndani ya jiji la Dar es salaam Mana ndipo makaz yang kwa Sasa. Kama waweza kunisaidia hata connection pia nitashukuru Sana. Hivo nahtaji...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Nyama yasema Polisi waliteketeza nyama yote iliyokamatwa ila miguu ilichelewa kuungua ndio maana Meya wa Jiji aliikuta

    Bodi ya nyama nchini imesema siyo kweli kwamba polisi waligawana nyama iliyokamatwa vingunguti bali nyama yote iliteketezwa. Mtendaji wa bodi ya nyama amesema wao ndio walioteketeza nyama hiyo pale kituo cha polisi Buguruni. Kilichotokea ni kwamba nyama laini iliungua kwa haraka na miguu...
  3. JamiiForums Tanzania Malumbano la hoja: Mchangiaji ashangaa jiji la Dar kuvunjwa kwa kisingizio cha kubana matumizi , ashangaa Chanika kuwa jiji magomeni kuwa nje ya jiji

    Akizungumza kwa kujiamini mmoja wa wachangiaji amepinga kuvunjwa kwa jiji kulikoleta mkanganyiko wa hadhi ya maeneo , kwa kutolea mfano wa Chanika kuwa jijini huku Magomeni , Kinondoni , Masaki , Temeke , Mwenge na Mbezi Beach kuwa nje ya jiji . Ametoa plan ambayo kama ingefanyiwa kazi basi...
  4. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Ardhi Jiji la Dodoma imezidiwa na wateja au kuna uzembe?

    Wanabodi, napenda kupata uzoefu kwenu kuhusu hali ya msongamano wa watu wa kila siku za kazi za juma katika Idara hii ya Ardhi Jijini Dodoma ambayo haipunguwi kama wagonjwa wanaokwenda kutibiwa hospitali wakati wa mlipuko. Nimekuwa mhanga pia wa kuhudhulia katika ofisi hiyo kwa Jambo moja...
  5. JamiiForums Tanzania Hongera DAR jiji kupata magari ya kuzoa taka; bado magari ya kufagia barabara sasa

    Kwa kweli moja ya vitu ambavyo ni kero kwenye jiji la Dar es Salaam na Manispaa zake ni hawa wafagizi wa barabara ambao kwa kweli hawafanyi kazi kwa ukamilifu kwa kuwa barabara nyingi bado ni chafu sana zikiwa zimejaa michanga na vumbi. Hii inatokana na ukweli kwamba haiwezekani manpower...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya kuvunjwa kwa jiji la Dar, Serikali ipitie upya viongozi hawa

    Baada ya Rais kulivunja jiji la Dar, nini hatima ya meneja wa Tanesco mkoa wa Kinondoni, Ilala, na Temeke? Nini hatima ya RPC mkoa wa Kinondoni, Ilala na Temeke? Nini hatima ya meneja wa TRA mkoa wa Kinondoni, Ilala na Temeke? Je, ni nini hatima za wakuu wa idara za Halmashauri mfano afisa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 20 ya uongozi wa CHADEMA Manispaa ya Moshi imeshindwa kuwa Jiji, Jafo tuangalie kwa jicho la huruma!

    Mara nyingi huwa naiangalia Tanga na Mbeya halafu najiuliza kwanini Moshi haijawa Jiji hadi leo? Najua kwamba Mwanza na Arusha zimeiacha mbali Moshi kimaendeleo na kipopulation lakini siyo Tanga ya Makamba na Mbeya Sugu. Chadema imekuwa na mbunge na madiwani wengi Moshi kwa miaka 20 mfululizo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Kila manispaa mkoani DSM itarithi mali za Jiji la Dar es Salaam lililovunjwa zilizo katika maeneo yao

    Waziri wa Tamisemi Mh. Jaffo amesema mgawanyo wa mali za lililokuwa jiji la Dar es salaam ambalo limevunjwa utakuwa kwamba kila manispaa itarithi mali zilizo katika maeneo yao ya kiutawala. Kwa mfano stendi ya mabasi ya mkoani yaani Stendi ya Magufuli itarithiwa na manispaa ya Ubungo nk nk...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imevunjwa?

    KWANINI HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM IMEVUNJWA Ni Mawazo Yangu #Joseph #Yona Kiutawala Jiji lilikuwa limegawanyika katika Halmashauri sita za Serikali za mitaa ambazo ni:- Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Halmashauri ya Manispaa ya Temeke. Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni...
  10. JamiiForums Tanzania Tusahau janga la Corona tuendelee kujadili kuvunjwa kwa jiji la Dar?

    Kuna wakati mtu unajiuliza sana, hivi sisi watanzania tuna matatizo gani? Yaani kuvunjwa kwa Jiji la Dar es salaam ndiyo story kuliko hili janga ambalo linawamaliza ndugu zetu kila siku? Wewe uliyeko Mbeya unafaidika nini na kuvunjwa kwa jiji la DSM mpaka ukasahau kujadili namna ya...
  11. JamiiForums Tanzania Tunaopinga maamuzi ya Rais kuhusu jiji la DSM tulitaka afanyeje?

    Wakuu Mimi chombo changu kikuu na pekee cha habari ni mitandao ya kijamii. Sio gazeti, radio wala TV. Kwa sababu huku napata habari isiyoghoshiwa (Censored) kwa kiasi fulani. Sasa nimepotea kidogo tu nakutana na malalamiko mengi sana kuhusu Ilala kuwa jiji, kuhusu maamuzi aliyofanya Mkuu...
  12. JamiiForums Tanzania Rais, subiri kidogo kutia saini kulivunja jiji la Dar es Salaam

    Mji wa Dar es Salaam ulikuwa ni sehemu tu ya mkoa wa Pwani, kutokana na idadi yake kubwa ya watu wanasiasa waliamua ujitenge ili uwe mkoa unaojitegemea. Ilala, Kinondoni, Temeke na Ubungo ilikuwa ni mitaa tu ya mji wa Dar es salaam ambayo baadae wanasiasa waliigeuza kuwa wilaya/halmashauri ili...
  13. JamiiForums Tanzania Madiwani wa iliyokuwa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam walitoka wapi?

    Habari za wakati huu wakuu, natumaini wote tu wazima buheri wa afya na mafua ya kubana yatupitie mbali, twende kwenye mada moja kwa moja. Mamlaka za Serikali za Mitaa zinajulikana kama halmashauri, hizi mamlaka zipo ngazi tofauti tofauti kuanzia chini hadi ngazi ya juu. Ngazi za chini ni...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala

    Rais Magufuli ameivunja Halmashauri hiyo na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuanzia leo Februari 24, 2021 Ameipandisha hadhi Halmashauri hiyo kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 5(1) cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za...
  15. JamiiForums Tanzania Nini tofauti ya muundo wa Jiji la Mwanza na Jiji la Dar?

    Mheshimiwa Rais Magufuli leo ametangaza rasmi mchakato wa kulifuta jiji la Dar ambalo linatokana na manispaa tano za mkoa wa Dar (Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo na Kigamboni) ili kuunda jiji jipya (jiji la Ilala?) ambalo litatokana na manispaa moja tu ambayo ni ilala. Sababu kubwa aliyoitoa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

    Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, ndugu Aron Titus Kagurumjuli Mkurugenzi mpya atateuliwa baadaye. Maendeleo hayana vyama!
  17. V

    JamiiForums Tanzania Mliotuma CV Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kazi ya ushuru, mmeshaitwa?

    Imepita wiki sasa baada ya Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kufunga pazia la kupokea maombi ya kazi ya ukusanyaji ushuru je, kuna mtu alishaitwa au connection ni muhimu pia.
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Nashauri Manispaa ya Moshi itangazwe kuwa jiji 2022. Mashamba makubwa yaruhusiwe ndani ya mipango miji

    Nashauri Manispaa ya Moshi itangazwe kuwa jiji in 2022. 1) Mji upanuliwe kusini mwa barabara ya Moshi-Arusha, this is very important. Kamwe mji usipanuliwe Kaskazini mwa barabara ya Moshi-Arusha. 2) Sehemu ya kata za wilaya ya Hai na Moshi Vijijini, zinazopakana na Manispaa ya Moshi na...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Jiji limekushinda, Jitafakari! Ni pachafu sana

    Wakuu, John Mongella kawa mkuu wa mkoa wa Mwanza kwa muda sasa, lakini cha ajabu hakuna jipya lolote aliloonyesha hususa ni Mwanza jiji ambapo ndio kioo cha Mkoa mzima wa Mwanza. Jiji la Mwanza kwa sasa lipo hovyo hovyo sana halina mpangilio wowote ukilinganisha na lilivyokua kipindi cha...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Inshangaza Simba kuanza na wachezaji 10 vs Dodoma Jiji

    Haijulikani tatizo ni nini au ni dharau dhidi ya Dodoma Jiji au wanajaribu kuweka rekodi fulani amaizing lakikini kikosi cha Simba kimetoka na kwenye page zote officials hadi ya msemaji wao Manara wameweka kikosi chenye wachezaji 10 badala ya 11.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…