jezi

In Slavic folklore, Baba Yaga (; Russian: Баба-Яга, tr. Bába-Jagá, IPA: [ˈbabə jɪˈɡa] (listen)) is a supernatural being (or a trio of sisters of the same name) who appears as a deformed or ferocious-looking old woman. In Slavic culture, Baba Yaga lived in a hut usually described as standing on chicken legs.Baba Yaga may help or hinder those that encounter her or seek her out. She may play a maternal role and has associations with forest wildlife. According to Vladimir Propp's folktale morphology, Baba Yaga commonly appears as either a donor, villain, or may be altogether ambiguous. Her depictions vary greatly across tales, ranging from a child-eating monster, to helping a protagonist find his missing bride.
Andreas Johns identifies Baba Yaga as "one of the most memorable and distinctive figures in eastern European folklore", and observes that she is "enigmatic" and often exhibits "striking ambiguity". Johns summarizes Baba Yaga as "a many-faceted figure, capable of inspiring researchers to see her as a Cloud, Moon, Death, Winter, Snake, Bird, Pelican or Earth Goddess, totemic matriarchal ancestress, female initiator, phallic mother, or archetypal image".

View More On Wikipedia.org
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Yanga mkiwa mnaiga mambo ya jezi mtumie na akili kidogo

    Yanga wametoa uzi maalum katika kuadhimisha Nyerere Day. Sasa wameweka beji ya mwalimu Nyerere katikati ya jezi yao (kifuani). Yanga wameingia klabu za Ulaya ambao beji hiyo huwekwa mahala hapo ili kujulisha mashabiki kuwa hao ndio mabingwa wa dunia mfano wa vilabu. Sasa huku kwetu Utopolo...
  2. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Jezi za Timu za Taifa za Kombe la Dunia 2022

    Ikiwa imebaki miezi kadhaa kabla ya Kombe la Dunia la mwaka huu pale nchini Qatar tayari timu shiriki zimeanza kuachia jezi zao. Tuone timu zipi zina jezi kali.
  3. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Vunja Bei adai kupata hasara ya zaidi ya Tsh Milioni 300 Jezi za Simba

    WAKATI wanachama na mashabiki wa Simba wakianza kusahau machungu ya pilikapilika za kugombea jezi mpya za klabu hiyo, mwenye dili na uzi za Simba, Fred Ngajiro ‘Vunjabei, amevunja ukimya na kufichua hasara ya kupoteza Dola 150,000 (zaidi ya Sh349 milioni). Vunjabei alisema hasara hiyo imetokana...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Vunjabei apata hasara ya 350M kutokana na jezi za Simba

    Mzabuni wa jezi za klabu ya Simba Fred Ngajiro 'Vunjabei, amevunja ukimya na kufichua kuwa amepata hasara ya Dola 150,000 (zaidi ya Sh349 milioni). Hasara hiyo imetokana na kubadilisha mfumo wa jezi za awali kufuatia kubadilishwa kwa mdhamini kutoka SportPesa na kuwa M-Bet. https://t.co/BZyTXc5Ux3
  5. N

    JamiiForums Tanzania Video: Shabiki wa Simba achoma moto jezi zote, pole Vunja Bei vichaa wameharibu sana

    Sisi ni mashahidi tu acha tuitwe majina ya kila aina maana hata tukipiga kelele mazoezi ya Bunju yasiwe ya wazi tunaitwa washamba. Narudia tena hiyo october wakati simba anafumuliwa 4-0 na yanga patatokea vurugu kubwa sana hapo taifa kubwa mno kiasi kwamba viongozi wa simba na wachezaji...
  6. Kunguru Mjanja

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity: 41,663) - Pitch 103m x 67m Owner: The consortium of Todd Boehly, Clearlake Capital Group, Hansjörg...
  7. OleWako

    JamiiForums Tanzania Je, mnapendelea Jezi mpya za Simba au za Yanga?

    Timu kubwa za nchi, Simba na Yanga, zote mbili zimezindua jezi mpya zao kwa msimu 22/23. Styles zao zinatofautiana sana. Paintbrush elements za Simba kwenye kila jezi zinapigana na alama za vidole za Yanga. Siku hizi si Simba vs. Yanga tu kwenye mada za jezi. Tangu msimu 20/21, GSM na VunjaBei...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tff mkitaka soka la wanawake bongo liwe juu tengenezeni wachezaji kariba ya jezi namba kumi wa Yanga Princess

    Nianze kwa ku declare interest, sijawahi kuwa shabiki wa soka la wanawake hata kidogo. Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa nikiona wanawake wanacheza mpira nilikuwa nawaonea huruma kwa sababu nilidhani walikuwa wanaumia wakicheza. Nimekuwa mtu mzima still bado sijawahi kuupenda mchezo huu kwa...
  9. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Ipi jezi kali 2022/2023?

    Piga kura yako...
  10. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Kati ya Simba na Yanga nani ameua kwenye jezi?

    Haya njooni tuchambue, nani ameua zaidi?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Barbara katukanwa matusi ya kila aina kumbe jezi zilkuwa tayari wakiwa Misri

    Mara uzembe, hakujua kama sponsor anabadilishwa? jezi kweli zimechelewa lakini ni nani alijua kwamba tangu wakiwa Misri video/photoshoot za wachezaji zilifanyika kule? Laiti kama Sope Takadini angekuwepo zingeshavuja muda mrefu, kwa hili la kubana mianya ya kuvuja aisee hongereni sana...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Simba SC tuzindua jezi zake mpya leo

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa ile kiu ya mashabiki wa simba juu ya uzi wao mpya watakao utumia msimu huu kitendawili sasa kimeteguliwa. Leo saa tano asubuhi jezi zitazinduliwa kaa mkao wa kula.#we are unstoppable.
  13. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania Yah: Ombi la tenda ya Kubandua nembo kwenye jezi za Simba

    Kwanza nawapa pole watani kwa chupli chupli nyingi klabuni kwenu. Kwakuwa changamoto ni fursa, naomba ule mzigo wa jezi zenu muulete kwangu niwasaidie kubandua nembo za mdhamini wenu wa awali ili tuweke nembo ya mdhamini wa B26 zenye utata. Mods msifute Uzi huu mpaka mtani wangu Barbra ausome...
  14. Omuzaile

    JamiiForums Tanzania VITA YA UKRAINE VS JEZI ZA SIMBA

    Daah kama kichwa kilivyo hapo juu kuna mdau mmoja wa kolo fc anajitetea eti sababu ya kuchelewa kwa uzi wao ni sababu ya vita vya Ukraine vs Russian. Et jamani ni kweli nyie makolo?
  15. Numero Uno

    JamiiForums Tanzania Wacha mbuzi mnahoji kuhusu jezi

    Wachambuzi wanahoji kuhusu jezi mpya za Simba kuchelewa kutoka mpaka Simba day ikikaribia na jezi bado hazijatoka. Wakati Yanga wanaanza msimu na kucheza mechi ya ligi msimu mpya na jezi ya zamani mbona mlikuwa kimya?
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kukisanua: Hii ndiyo sababu ya Jezi za Simba SC kutozinduliwa hadi leo

    Mzigo umekuja na Meli na siyo kwa Bung'o ( Ndege ) kama ambavyo Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally anavyotudanganya. Ukweli ni kwamba Kit Supplier wetu Fred Ngajilo 'Vunja Bei' alikuwa na Ukaribu wa Kisamjo Samjo ( Ujanja Ujanja ) na aliyekuwa Boss wa TPA ( aliyeondolewa ) hivi karibuni ( ambaye...
  17. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kuona jezi mpya za Simba, wameua...

    Ni jezi kali sana, nimetamani kuiweka hapa jukwaani ila maadili hayaniruhusu. Hakika Fred Vunjabei umejua kuwakosha wanasimba.
  18. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Natamani hii ndio ingekuwa jezi ya Simba. Kali sana

    Hizi fans concepts huwa ni kali sana ila siku ya mwisho unashangaa watuwanakuja na utopolo wa kutisha kabisa, i like this one tamu sana
  19. N

    JamiiForums Tanzania kama msikiti upo kwenye jezi why not kanisa jamani?

    Dah hizi dharau sasa, msikiti wa Idrissa umewekwa kwenye jezi lakini hata kanisa la azania limeshindikana kweli bwana Ngowi, au ni maelekezo maalumu toka salamander maana hata wao umewaweka kwenye jezi kama utatengeneza za FA usisahau basi kanisa au hata mwamposa umuweke ndugu yangu na...
  20. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Kuielewa jezi hii ya YANGA angalia jezi ya Timu ya hii Italia (Torino)

    Watu wengi wameshangaa kuona majina ya malegend wa Yanga akina Hamis Kinye kwenye third kit ya YANGA lakini hili siyo jambo la ajabu kwani hata Klabu hii ya Italia imewahi kufanya Torino's New Away Jersey Features The Names Of Club Legends And It's Absolutely Stunning By Mikey Traynor Jul...
Back
Top Bottom