jezi

In Slavic folklore, Baba Yaga (; Russian: Баба-Яга, tr. Bába-Jagá, IPA: [ˈbabə jɪˈɡa] (listen)) is a supernatural being (or a trio of sisters of the same name) who appears as a deformed or ferocious-looking old woman. In Slavic culture, Baba Yaga lived in a hut usually described as standing on chicken legs.Baba Yaga may help or hinder those that encounter her or seek her out. She may play a maternal role and has associations with forest wildlife. According to Vladimir Propp's folktale morphology, Baba Yaga commonly appears as either a donor, villain, or may be altogether ambiguous. Her depictions vary greatly across tales, ranging from a child-eating monster, to helping a protagonist find his missing bride.
Andreas Johns identifies Baba Yaga as "one of the most memorable and distinctive figures in eastern European folklore", and observes that she is "enigmatic" and often exhibits "striking ambiguity". Johns summarizes Baba Yaga as "a many-faceted figure, capable of inspiring researchers to see her as a Cloud, Moon, Death, Winter, Snake, Bird, Pelican or Earth Goddess, totemic matriarchal ancestress, female initiator, phallic mother, or archetypal image".

View More On Wikipedia.org
  1. Expensive life

    Hizi hapa Jezi mpya za yanga zavuja kabla uzinduzi

    Wananchi wameketa jezi mpya zenye viwango vya dunia hakika Rais wetu anafanya kazi kubwa sana.
  2. Kipenzi Changu

    Hili la Yanga kupokea Sh.1,300 kati ya Sh.35,000 ya jezi, linatia uchungu sana

    Huu ni unyonyaji
  3. BigTall

    Bernard Morrison arudi Dar, aomba jezi 100 za Simba ili aende nazo Ghana

    Andiko la Bernard Morrison: "Mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na kuwaamini. lakini wacha nifanye hadithi yangu kuwa fupi na rahisi, nahitaji vipande 100 vya jezi za simba kutoka kwa mashabiki waaminifu ili zipewe marafiki na familia nchini Ghana. "Hii ni kutokana na nyinyi...
  4. Hussein Massanza

    UFAFANUZI: Kwanini Habib Kyombo amevaa jezi ya DTB FC badala ya Singida Big Stars?

    Watu wa Soka, Juzi Jumanne 21/06/2022 saa 7:00 mchana tulimtambulisha rasmi mchezaji wetu mpya Habib Haji Kyombo ambaye tumemsajili kuja kuongeza nguvu kwenye safu yetu ya ushambuliaji. Kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii (@singidabsfc) tulichapisha baadhi ya picha zake akiwa anasaini...
  5. Shark

    OFFER, Jezi ya Simba Kwa TZS 10,000/- tu

  6. sky soldier

    Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

    Katika hali kama hii ndipo unapoona wazi wazi bila kificho kwamba pesa zina elements kubwa sana za ushetani. Mchezaji wa PSG (timu hii inamilikiwa na shehe tajiri) wiki iliyopita alikataa kuvaa jezi yenye rangi za kuunga mkono ushoga, usagaji na kubadili jinsia, sababu yake kuu ni kwamba ni...
  7. sky soldier

    Namuunga mkono mchezaji aliekataa kuvaa jezi za kuhamasisha ushoga licha ya wenzake kuzivaa

    Hapo majuzi, timu kubwa ufaransa ya PSG ilienda kucheza mechi huku wachezaji maarufu wa dini kuu mbili wakiwa wamevaa jezi za kuhamasisha na kuutetea ushoga na usagaji lakini kuna mchezaji moja Idrissa Gueye alikataa kuvaa hizo jezi akilalamika ni kinyume na anachoamini Hili suala si la kidini...
  8. chiembe

    Chadema walivaa jezi za Simba katika mkutano wa Baraza kuu? Fred Vunjabei, tifafanulie

    Inasemekana Fred Vunjabei alikuwa na stoku maalum ya jezi kwa ajili ya mashabiki maalum wa Simba, lakini hazikuuzika vizuri msimu huu, hivyo Chadema walienda kwenye magodown yake na kuomba wauziwe kwa Mali kauli, lakini mpaka Leo hawajalipa!
  9. Greatest Of All Time

    Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2022/2023

    Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool. Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri tunavyozipata kutoka katika vyanzo mbalimbali. Karibu...
  10. Abuu omary

    Jersey Printing - Tunatoa huduma zenye kiwango

    Tunatoa huduma zenye kiwango katika kuprint jezi na aina tofauti tofauti za nguo, Karibuni sana. Tunapatikana Mianzini Mataa. kwa mawasiliano: 0752 466 942 0788 429 756 e-mail:africanriseup@hotmail.com
  11. GENTAMYCINE

    Kuna Watu Waziri wa Utalii Dk. Ndumbaro alipovaa Jezi yao 'mbovu' Walifurahi na Kumsifu, leo kapiga 'Dongo' Kwao anaonekana 'Adui' yao

    Vumilieni tu kama ambavyo nasi pia mara kwa mara Mwenzenu Waziri wa Fedha Dk. Nchemba akiwa anatuchamba mpaka Kutudhihaki huwa tunavumilia na wala hatumfanyi kuwa ni Adui yetu kwani tunajua kuwa huo ni Utani wetu akina Kulwa na Doto wa Kariakoo Mmoja akiwa Mafurikoni na mwingine akiwa Sokoni kwa...
  12. GENTAMYCINE

    Haji Manara (Msemaji wa Yanga SC) katamba kuwa Wameuza mno Jezi Msimu huu sasa mbona wamezipunguza Bei?

    Kwenu Wabobezi wa Marketing hivi Kupunguza Bei ya Bidhaa ili Uuze nyingi na Utambe kwa Watu ndiyo Mafanikio Kibiashara au Mafanikio zaidi ni Kuuza kwa Bei ya Juu hata kama utauza Chache ile utaingiza Pesa nyingi na pia Utakubalika kwa Ubora ( Quality ) ya bidhaa? Leo Klabu ya Yanga imeamua...
  13. Mario Kempes

    Simba watambulisha jezi zao mpya kwa ajili ya Mapinduzi na Kombe la Shirikisho

    Uzi mpya huu hapa, big yes or big no?
  14. Area 56

    Kwanini jezi namba 9 huwa haivaliwi Simba?

    Ni miaka kwa miaka jezi namba 9 haivaliwi hapo Simba kwanini?
  15. President of China

    Kwahiyo Azam FC wamegoma kuvaa jezi za GSM?

    Mchezo wa jana uliisha kwa Azam FC ikishinda mabao manne. Lakini cha kushangaza hatujawaona wakivaa jezi yenye nembo za GSM. Je, TFF ni waongo!?
  16. N

    Waliosema Simba ina jezi za Sudani makolokolo mengi leo wanaililia

    vibe la simba linajulikana afrika nzima sasa matapeli fulani yamekaa sehemu miaka 3 yameona ni ujinga mtupu yakaenda kuingia MKATABA WA KIMANGUNGU na watu wazima wasiojiheshimu watu wazima ambao unaweza kutoa billions 3 kwa mwaka vi team vipewe milion 80 kwa mwaka ukaamuru kila mchezaji apigwe...
  17. aka2030

    Kwanini jezi za yanga za watoto hazina tangazo la sportpesa ila zinatangazo la gsmfoam mgongoni?

    Wote ni wadhamini wa yanga kwanini tangazo hili la sportpesa wamelitoa kwa jezi za watoto wadau huku la gsmfoam likibaki?
  18. Area 56

    Eti jamani huyu Chama tumpe jezi namba ngapi?

    Kwasasa habari ya mjini ni Mwamba wa Lusaka, ambaye masaa machache yajayo atatangazwa kuwa amesinya mkataba ndani ya klabu ya Yanga, hivyo ukiwa kama mdau wa michezo na mwanayanga unafikiri Chama tumoe jezi namba ngapi jamani? NB Kila mbuzi ale urefu wa kamba yake
  19. C

    Simba na Vunja Bei wanamuogopa Manara kumbe GSM anatengeneza jezi za Simba

    Ukisikia aibu ni hizi kumbe kutwa nzima tunaiponda GSM na Manara anatucheka tu kimyakimya , wanasimba kwa pamoja tuwaombe radhi Gsm kwa mujibu wa clip ya manara instagram ni kwamba GSM ndiyo wanaotengeza jezi za simba hiyo ni baada ya kuonekana kilichoitwa jezi feki za simba Ukiamini kwamba ni...
  20. K

    Yanga wagomea kuvaa jezi zenye nembo ya mdhamini wa ligi NBC mechi ya KMC

    Katika mechi yao leo na KMC. Yanga wamevaa jezi isiyokuwa na nembo ya ya mdhamini tofauti na timu nyingine kama tulivyoona katika mechi nyingine zilichezwa leo. Wadau wengi wa soka tunasubiri kusikia kauli ya TFF. Kwani hili ni tukio kubwa saana kwa mustakabari wa soka letu. Kuna mtu kaniuma...
Back
Top Bottom