jeshini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kwa rank yetu jeshini namba 6 duniani, tukirushiwa bomu na mataifa tuliyoyazidi kama Uturuki, Israel, Pakistan, Misri, n.k. Tutajibu au kufunika kombe

    Kwa ranks tunazozisikia Jeshi letu lipo fiti sana ni la sita dunioni hao wanyonge namba saba na kuendelea wakirusha bomu tutajibu au ?
  2. Richard

    Kuondolewa Jeshini kwa Meja Jenerali Gaguti awe balozi na pia kuondolewa kwa RC wa Kagera Hajjat Fatma ni maandalizi ya kustaafu au ni mambo mengine?

    Meja jenerali Marco Elisha Gaguti jana ameondolewa kutoka nafasi alokuwa nayo ya ukuu wa utumishi jeshini na kuambiwa atakuwa balozi. Pia wakati wa teuzi mbalimbali zikifanywa jana hiyohiyo mkuu wa mkoa wa Kagera bi Hajath Fatma Mwassa nae akaondokewa katika nafasi hiyo (kutenguliwa). Meja...
  3. N

    Kwako Rais Samia: Tafadhali naomba utathmini mpango wa kupeleka vijana wa form six jeshini (JKT) na uufute

    Mheshimiwa Rais, ninatambua mpango huu ULIKUWA na nia nzuri, nia thabiti na njema ya kuwapeleka vijana wetu jkt kwa mujibu wa SHERIA na huko wamefunzwa ukakamavu na uzalendo kwa nchi yao. Mheshimiwa Rais natambua pia serikali inawapeleka vijana kule ikiwa ni njia mojawapo ya kujilinda na kuwa...
  4. Think2

    Watu wa system wanachannel zao hadi jeshini kulingana na voice ya Mafwele na Muliro iliovuja hivi karibuni

    Ukisikiliza mazungumzo yao inaonekana hawa watu ni wauaji wazoefu kanisa, issue ya tesha iweje wajue kuwa tesha hayupo nchi na amekimbilia nchi za nje?? Hii inaleta taswira ya kwamba hadi jeshini kuna watu wao huko . Kwamba captain Tesha sio lofoten kwao asleep Maandamana ni haki yetu ya...
  5. wa stendi

    Vile vifaru pale Lugalo jeshini vinatisha

    Jinsi vilivyopangwa huenda viko tayari kwa lolote chochote ewe mtanzania siku ya kura kapige kura rudi nyumbani kwa amani msije sema sijawaambia
  6. Sonship

    VIWANJA VINAUZWA KIBAHA,KILUVYA NA KIBAMBA

    VIWANJA VINAUZWA Kibaha Kwa Mathiasi Nyumbu Jeshini 20x20 Milion 7 Kibaha Maili Moja Mwanalugali 20x20 Ml 7 Kiluvya Kwa Komba 20x20 MLN 16 Kibamba Kibwegere Kwa Kinega 20x20 Milion 7 Kiluvya Madukani Vya Km 3-5 Milion 8 Karibuni Wadau wa Ujenzi 0775 179905
  7. Jidu La Mabambasi

    Tuliopitia jeshini: huyu mpiga bugle ya Last Post utampa adhabu gani?

    Makamanda nipeni mrejesho. Mpiganaji kazikwa bila heshima.
  8. K

    Inawezekana kutoka kuwa mtumishi wa umma na kuingia Jeshini (JWTZ)?

    Habari ze wanaJF, Naomba kuuliza je ukishakuwa mtumishi wa umma na una CHQ number, je inawezekana kuomba nafasi za kujitolea kwenye jeshi la ulinzi na usalama na ukachaguliwa. Kwa story nilizoziskia ni kwamba hata ukichaguliwa baadae watakuchuja kwa sababu tayari unakuwa una CHQ number so...
  9. Fbn

    “The Year 2000” .Kitabu kilichotoka mwaka 1967.

    Kitabu “The Year 2000” (1967) cha Herman Kahn na Anthony J. Wiener ni jaribio la kutabiri hali ya dunia ifikapo mwaka 2000 kwa kutumia mbinu za kisayansi na mifano ya uchambuzi wa siku za usoni. Katika kitabu hiki, waandishi walitoa makadirio kuhusu maendeleo ya teknolojia, uchumi, na...
  10. The Legacy

    Badala ya vijana wanaomaliza Form Six kwenda Jeshini Waende VETA Bure

    Bado tukiwaza Hili la Mtedendaji Mkuu wa Serikari kusema Vijana walio Maliza Elimu ya juu waende VETA Nimewaza ya kwangu pia kwa Taifa langu. Kwanza Naona maono ya Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa kushauri VIjana waliomaliza vyuo vikuu ni namna ya kuongeza ujuzi na sio dharau. Ila nimefikiri Badala...
  11. Cute Wife

    DOKEZO Hili chapuo analopigiwa Lugumi ili kumsafisha linatia shaka. Mamlaka zisichukulie kama jambo la kawaida!

    Wakuu, Kama mmeona sasa hivi karibu kila siku Lugumi yuko kwenye media, mara katoa msaada kwa watoto yatima, mara anajengea yatima nyumba, mara kaalika watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kufanya dua, mara sijui kaenda kulisha wapi, yaani ni heka heka mtindo mmoja. Na Millard kama kawa...
  12. Dogoli kinyamkela

    Mwanajeshi wa Marine (USA) aliamua kuacha kazi jeshini na kuanza kazi mpya kama mwalimu wa high school

    Mwanajeshi wa Marine (USA) aliamua kuacha kazi jeshini na kuanza kazi mpya kama mwalimu wa high school, sasa kabla mwaka wa masomo haujaanza aliumia mgongo na akatakiwa avae plaster cast(piopi zile wanazovaa waliovunjika), akafungwa plaster cast iliyozunguka sehemu ya juu ya mwili wake...
  13. Mwachiluwi

    Ushauri wangu kwa kijana ambaye anataka kuajiriwa Jeshini au kuwa Afande

    Hello Wengi huwa wanaomba nafasi mbalimbali katika vyombo vya ulinzi wengine wanakuja kufeli kwenye usahili kwa vitu vidogo vidogo ambavyo vinaweza kurekebishwa kabla ya usahili ila mnavipuuzia Nafasi zinapotoka kunakuwa na ushindani mkubwa unakuta kila mtu anapambana mtu wake apite au apate...
  14. ELI COHEN

    Wanaouliza eti Benja mbona hafi kishujaa kama wengine. Kwanza: Ushahidi huu hapa alipokuwa jeshini. Pili: Mnaoita mashujaa ni magaidi na matapeli

    SOURCE BBC: Benjamin Netanyahu, Israel's defiant leader "Katika umri wa miaka 18, alirudi Israeli, ambapo alitumia miaka mitano mashuhuri katika jeshi, akihudumu kama nahodha katika kitengo cha makomandoo wasomi, Sayeret Matkal. Alijeruhiwa katika uvamizi wa ndege ya Ubelgiji iliyotekwa nyara...
  15. Hismastersvoice

    Sijakisoma kitabu kihusucho Hayati Sokoine, ila nina mashaka na usemi kuwa ndiye mwanzilishi wa wanawake jeshini

    Jeshi la kujenga taifa lilianzishwa mwaka 1964 chini ya waisraeli pale Temeke ilipo kambi ya Twalipo, na kikundi cha kwanza kilikuwa na askari wanawake na wanaume na ndicho kipindi hicho wanawake walianza pia kuingizwa jeshi la wananchi wa Tanzania.
  16. Ojuolegbha

    Serikali yatoa ndege za mafunzo ya awali kwa marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege za Mafunzo ya awali kwa marubani na Mabasi ya Usafirishaji vyote kwa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Pia soma: Rais Samia akitunuku Nishani ya Miaka 60...
  17. Mwachiluwi

    Short story ya maisha ya jeshini

    Kipindi tupo maservice enzi izo kambi fulani kulikuwa na op ilio tutangulia sasa kulikuwa na kijana mmoja maarufu sana anaitwa ngosha so sisi op mpya tulivyo fika pale kikosini tukamkuta sisi tulikuwa majuorner yaan wadogo wale ndio sinior Alikuwa anaishi kama afande yaani p staf hukuti...
  18. Foffana

    Ushauri: Kuendelea na masomo au kwenda Jeshini?

    Habari Wadau wa jukwaa la Elimu Kuna jamaa yangu anahitaji ushauri hapa. Yuko dilemma katika kuchagua kipi ni sahihi? Amepata mbanga wa kumpigania katika ishu ya TPDF na ameambiwa akapostpone masomo yake lakini yeye bado yuko dilemma kwa sababu hana mapenzi na Majeshi ila anataka aende kwa...
  19. ramadhani yusufu onyesha

    Kupandishwa cheo jeshini huwa wanazingatia nini?

    Naomba mnisaidie kitu wana jamiii forum hiv moja ya malengo yangu ni kujiunga na Jeshi kuna kitu nataka nifahamu, hiv unapoingia jeshini nini huwa wanazingatia nin ili upande cheo
Back
Top Bottom