Walinzi wa SUMA JKT mmekuwa Kero sana au ni stress za kukatishwa ndoto za kuwa JWTZ

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,726
1,989
Walinzi wamekuwa kero kwenye baadhi ya Maofisini, Wamekuwa sio wa kutumia busara kabisa.

Wanaona watumie nguvu kwenye kila kitu hii kitu inakera unaenda kwenye ofisi unapita getin mlinzi anakuongelesha kwa lugha chafu na kutumia nguvu pasiohitajika nguvu

Walinzi wa SUMA JKT Stress zenu za Maisha msituletee sisi hatukuwalazimisha mkalinde mageti na hiari yako mwenyewe

Suma jkt wamekuwa kero bora waondolewe wapewe tender kampuni za watu binafsi at least hao wana busara na wanajua nini wanafanya

Kipindi cha nyuma kampuni za watu binafsi zilizokuwa zinalinda hazikuwa na mambo ya ajabu hivi

Suma jkt mnaboa na mnakera sana mnafanya kazi zenu bila kutumia akili mnatumia nguvu kwenye kila kitu na mnaongoza kuwa na lugha chafuu sana
 
Walinzi wamekuwa kero kwenye baadhi ya Maofisini, Wamekuwa sio wa kutumia busara kabisa
Wanaona watumie nguvu kwenye kila kitu hii kitu inakera unaenda kwenye ofisi unapita getin mlinzi anakuongelesha kwa lugha chafu na kutumia nguvu pasiohitajika nguvu

WALINZI WA SUMA JKT Stress zenu za Maisha msituletee sisi hatukuwalazimisha mkalinde mageti na hiari yako mwenyewe

Kumbe huwa mnatusema eeh
 
Kumbe ni sehemu nyingi wanasumbua.

Pale Mtera Hydro Power Station barabara ya Dodoma-Iringa kwenye mageti wanaombaomba sana kama hawalipwi mishahara vile ukipita na private car utasikia kaka au dada hatupati hata hela ya maji? wanakera sana.
 
Ukifuata utaratibu hutasumbuliwa, ukipeleka ujuaji utashughulikiwa kijeshi.

Doria na operation za jwtz ni za hatari sana. Lazima ziwe na uvunjifu wa hak za binadam
 
Pale Bugando kuna mmoja alinizuia eti matunda siyo chakula anataka waingie walio na chakula tu. Nilijiuliza sana mgonjwa wangu anahitaji matunda jamaa kakaza hakuna kuingia.

Ujingaujinga tu na stress zao hawa vijana wa SUMA
 
Pale Bugando kuna mmoja alinizuia eti matunda siyo chakula anataka waingie walio na chakula tu. Nilijiuliza sana mgonjwa wangu anahitaji matunda jamaa kakaza hakuna kuingia. Ujingaujinga tu na stress zao hawa vijana wa SUMA
Ungemwambia "wewe ni mpumbavu sijawai ona"
 
Pale Bugando kuna mmoja alinizuia eti matunda siyo chakula anataka waingie walio na chakula tu. Nilijiuliza sana mgonjwa wangu anahitaji matunda jamaa kakaza hakuna kuingia. Ujingaujinga tu na stress zao hawa vijana wa SUMA

Uwaga wajinga sana wale
 
Naona kule Kilimanjaro Airport jinsi wanakagua magari pale getini
Ni wavunjaji wa haki za kibinadamu kabisa
Mtu ameshaona dirishani abiria waliopo ndani ya gari ameshakagua mizigo
Bado anakuja kufungua mlango mmoja baada ya mwingine kisa tu kaona aliyevaa skirt fupi Ili akague hips vizuri

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Wale ni wehu
 
Back
Top Bottom