jeshi

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ikibidi Kenya Jeshi lishike madaraka kwa muda

    Wakati Gen Z wanasisitiza kuanguka na Ruto. Ingefaa jeshi lishike hatamu kurejesha Hali ya utulivu na Amani. Baada ya miaka miwili. Ndio urejeshwe utawala wa Kiraia. RIP (Late) General Francis Omondi Ogolla
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan azindua Jengo la kisasa la Ofisi za Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi

    HABARI PICHA: Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Ofisi la Jeshi la Polisi Mkoani Katavi. Jengo hilo litakuwa linatumiwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi pamoja watendaji wake wote walio chini yake ndani ya Mkoa...
  3. JamiiForums Tanzania TRA ibadilishwe kuwa Jeshi Usu

    1. Hii Migomo inaonyesha wafanyabiashara Kariakoo na kwingineko wanaleta mchezo kwenye kulipa kodi. 2. Inafaa Sasa TRA libadilishwe kuwa Jeshi Usu kama taasisi za Maliasili, Misitu. 3. Wafanyakazi wote TRA waende kozi ya awali ya ukakamavu, ujasiri na Nidhamu. 4. Kamishna Mkuu TRA ateuliwe...
  4. X

    JamiiForums Tanzania China-US (Tech War): China wabaini ndege ya jeshi la Marekani ikiangusha vifaa vya kiupelelezi katika bahari ya Kusini ya China

    Ndege hiyo ya Marekani ya NAVY, Boeing P–8A Poseidon, ilikuwa ikipita katika anga la kimataifa katika Bahari ya Kusini ya China. Jeshi la China kwa kutumia vifaa vya teknolojia vyenye uwezo wa kuona mbali viliweza kunasa tukio hilo na kulirekodi kwenye video. Ni nini ambacho ndege hiyo ya...
  5. JamiiForums Tanzania Jeshi letu limetutenga Watanzania

    Jeshi letu limetutenga Watanzania. Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah. Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya Yatangaza Hali ya Hatari (Civil Danger)Yaamrisha Rasmi Jeshi la kenya (KDF) Kuingia Mtaani na Kutuliza Raia Wanaofanya maandamano

    Hali ni mbaya Sana kwa Majirani.. Jeshi limeingia Rasmi mzigoni..
  7. JamiiForums Tanzania Huko Kenya jeshi linakaribia kuwaunga mkono waandamanaji. Mageti ya bunge yamevunjwa na waandamanaji wapo ndani ya bunge wanafanya chochote watakacho

    Sauti ya umma imekita kambi huko Nairobi, Kenya! Hali imekuwa tete sana! Waandamanaji wamechoma moto ofisi ya gavana wa Nairobi na kuvamia bunge, bendera zote zimetelemshwa na mgahawa wa bunge umevunjwa, waandamanaji wameonekana wakila chakula na kutapanya kila kitu! Jengo la Seneti limevunjwa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kombora kutoka Jeshi la Israel lasambaratisha gari kikoneta 49 mpakani mwa Lebanon

    Wadau hamjamboni nyote? Gaidi Mkuu na Kiongozi wa Hamas aendaye kwa jina la AYMAN GHATMA ameuawa kwenye shambulizi la kombora kutokea kwenye ndege hatari za Jeshi la Israel. Alihusika kusambaza silaha Kwa Hamas na magaidi wenzie waliopo Lebanon Mungu ibariki Israel Senior member of Hamas...
  9. JamiiForums Tanzania Msemaji wa jeshi la Israel: Hamas ni 'wazo' ambalo haliwezi 'kubomolewa'

    Msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagari, anaonekana kutilia shaka lengo kuu la vita vya Israel vya Gaza baada ya kupendekeza kuwa Hamas ni 'wazo' ambalo haliwezi 'kubomolewa.' Chanzo: Al Jazeera The IDF signaled its agreement, saying it was acting to achieve Israel's war goals "tirelessly"...
  10. JamiiForums Tanzania Haya mambo kumbe hata Korea wanafanya, nilidhani ni Afrika tu

    Hao wanajeshi wa korea ya kaskazini.
  11. JamiiForums Tanzania China: Maafisa wa Jeshi Wauza nyaraka za siri badala ya kuziharibu

    C Wizara ya Usalama wa Taifa imesema Maafisa Wawili wa Jeshi (Guo na Li) waliotakiwa kuziharibu nyaraka za siri takriban 200 waliziuza katika Kiwanda cha kuchakata taka kwa chini ya Dola 4 za Marekani Tukio hilo limebainika baada ya Mstaafu mmoja aliyetajwa kwa jina la Zhang, ambaye hununua...
  12. JamiiForums Tanzania Ukihitimu kidato cha sita tahasusi ya CBG unaweza kukubaliwa kujiunga na mafunzo ya jeshi?

    Jamani ukisoma CBG na ukamaliza form six ukataka kujiunga na mafunzo ya jeshi unaweza kukubaliwa au Kuna vigezo muhimu af mafunzo ya jeshi yanachukua muda Gani kuhitimu? Na je ili kujiunga mpk uwe na ufaulu upi form six?
  13. JamiiForums Tanzania SoC04 Jeshi La Polisi, "Mwiba Kwa Wananchi wa Tanzania" liundwe upya

    1.0 Utangulizi. Jeshi la polisi la Tanzania, ni kati ya majeshi mengi Afrika ambayo yanalaumiwa sana na wananchi kwa ukiukaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu ikiwemo kuua raia katika mazingira ya kutatanisha, kupora mali na fedha za wananchi wanapokuwa mikononi mwa polisi, kuwatolea...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi Mstaafu wa Marekani adai Nchi za Afrika zirudishwe kwenye Utawala wa Kikoloni kwa kushindwa kujisimamia zenyewe

    Erik Prince, afisa wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Marekani na mwanzilishi wa kampuni ya binafsi ya kijeshi ya 'Blackwater', hivi karibuni alitoa maoni yake kwamba nchi za Kiafrika zinapaswa kurudishwa kwenye ukoloni kwa sababu viongozi wake wana ufisadi na ubinafsi. Prince alitoa mtazamo...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Hamas kafanya tena, amevuka mpaka wa Israel na Kushmbulia Camp ya Jeshi

    Tukiwambia Israel hana alichofanya zaidi ya kuonea watoto, wanawake, vizee, vijana wasio kuwa wanamgambo wa Hamasi mnasema oh Hamasi wanajificha kwenye nyumba za raia kama ni kweli maneno yenu na maneno ya Israel hayo majumba ya Gaza aliyo yavunja Israel, mashule, masajidi, mahospital...
  16. JamiiForums Tanzania SoC04 Jeshi lenye mabadiliko ya kiteknolojia

    Nashauri bajeti ya Wizara ya Ulinzi iongezwe kwa kiasi kikubwa sana, ili kuliwezesha jeshi letu kwenda na kasi ya maendeleo ya kijeshi duniani. Pia vigezo vya kujiunga na jeshi viangaliwe. Yaani muda wa mazoezi ya ukakamavu upunguzwe kidogo, kisha jeshi likazane katika kuajiri watu watakaoleta...
  17. JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel laanza kukumbwa na ukata wa askari mfano yaliyoikuta Ukraine. Ndio sababu wanashambulia na kuhama maeneo. Askari wote 15000 wametumika

    Wakati siri imefichuka kwamba pendekezo la kusimamisha vita limetoka Israel. Vile vile wafuatiliaji wa vita vya Gaza wametoa takwimu za kuonesha jeshi la nchi hiyo kwa sasa limechoka na lina upungufu mkubwa wa askari. Kwa mujibu wa mtandao huo wa ufuatiliaji vita imeelezwa kuwa askari wote...
  18. JamiiForums Tanzania Bajeti Wizara ya Ulinzi trilioni 3.3, Wizara ya Ujenzi trilioni 1.7, ni maboresho ya Jeshi letu au kuna kitu serikali imekiona?

    Nimeona bajeti ya hizi Wizara mbili, Wizara ya Ulinzi ina bajeti kubwa kuliko hata Wizara ya Ujenzi. Nadhani ni jambo jema kwa kuwa majemedari wanatakiwa kushinda bila kuinua silaha, na gharama za kurudisha amani ni kubwa kuliko gharama za kuitunza. Pia nchi yetu imezungukwa na nchi zenye mambo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Yemen yatungua ndege jeshi ya 6 ya jeshi la USA- tazama ilivyoitungua!!

    Houthi wanaotawala eneo kubwa la Yemen wametungua tena ndege jeshi ya USA aina ya MQ-9 ambayo thamani yake ni dola 30mln. Taarifa rasmi ya msemaji wa jeshi na video ya hatua nzima ya kuipiga komborq ikiwa umbali wa zaidi ya 10km angani nimeambatanisha.
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Jeshi la Zimamoto na uokoaji lipatiwe vifaa vya kisasa ili kukabiliana na majanga ya moto katika misitu,maeneo yasiyo fikika na majengo marefu

    UTANGULIZI. Majanga ya moto ni miongoni mwa majanga ambayo hayatabiriki na huleta athari kubwa sana katika jamii kama vile watu kupoteza maisha na mali,kwa Tanzania majanga mengi ya moto yamekuwa yakileta maafa makubwa kipindi yanapotokea hii nikutokana na sababu mbalimbali ikiwepo ukosefu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…