jeshi

  1. JamiiForums Tanzania Jeshi lichukue nchi tufanye mabadiliko kwanza na kama sii hivyo hatuta kubali tutakinukisha.

    Jeshi lichukue nchi tufanye mabadiliko kwanza na kama sii hivyo hatuta kubali tutakinukisha. wenye nchi tumeshasema nani qnabisha ?
  2. JamiiForums Tanzania Wanachofanya waandamanaji ni kuligombanisha jeshi la wananchi na askari

    Kuna video nimeiona waandamanaji wapo nyumba ya gari la jeshi huku kwa mbele askari wakiwatupia mabomu ya machozi waandamanaji
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi yakanusha video ya Wamasaai Kuandamana kudai haki zao Arusha

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo (video clip) inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikisema "Wamasai waanza maandamano kudai haki zao Arusha". Ukweli ni kwamba picha hiyo mjongeo ilikuwa ni wakati wa sherehe za jando/tohara mwezi Juni 2025...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Vita na mapambano ya mabadiiko MO29 Sio tu ya raia ni ya watanzania wote ikiwemo jeshi

    Vita na mapambano ya mabadiiko MO29 Sio tu ya raia ni ya watanzania wote ikiwemo jeshi
  5. JamiiForums Tanzania JWTZ, kweli mtu wa Jeshi la Polisi anawateka kama si kuwakamata your brothers na MPO kimya tu...

    Kisa mtu ama watu na nyumba zao wamekaa kuweka mabango ya Samia kwenye kuta zao... halafu ni kama yeye Sasa ni Mwenyezi Mungu Sasa yeye kusema biashara yao imeisha...kwamba ana Haki miliki na maisha ya watu... Aisee ..halafu hivi mnajua linaitwa jeshi la WANANCHI ...NA SIO jeshi la ccm ama...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi nchi ya Tanzania ina Jeshi?

    Nauliza tuu sio kwa ubaya. Na kama lipo linalinda nini??
  7. JamiiForums Tanzania Bado mpo mnaolitegemea jeshi kuchukua nchi tarehe 29? 😂

    Hayawi hayawi yanakuja kuwa. Zimebaki siku tatu tu siku ya siku kuwadia. Wachache wetu tuliwaambia kuwa mnajipa matumaini hewa tu. JWTZ kamwe haliwezi kuipindua serikali ya CCM kwa sababu: 1. JWTZ ni majuha. Hakuna lolote wanalolielewa kuhusu mambo yanayoendelea nchini. Hawajui chochote...
  8. JamiiForums Tanzania Makamo Heche ametekwa na Genge dogo Ndani ya Jeshi la Polisi la Akina Mafwele Makonda linaloendesha Utekaji na Mauaji Nchini.

    Mimi nadhani Kwa Sasa hatuna kitu kinaitwa Watu wasojulikana. UTEKAJI na Mauaji yanayoendelea Nchini ,unsratibiwa na Genge la watu wachache lililo Ndani ya Jeshi la Polisi na likiongozwa na Mafwele na Makonda. Hili ndo Genge lilovamia Clouds , likampiga LISSU Risasi, ndio hili genge...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini. Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amemshukuru Mkuu wa Jeshi...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini ndoto za Mange za Jeshi la Tanzania kuasi haziwezi kufanikiwa?

    Jeshi la Tanzania haliwezi kuasi kwa sababu limejengwa juu ya msingi wa historia, umoja na falsafa ya kitaifa iliyopandikizwa tangu enzi za ukombozi. Wakati mataifa mengi ya Afrika yalirithi majeshi ya kikoloni yaliyokuwa vyombo vya ukandamizaji, Tanzania ilijenga Jeshi la Ulinzi la Wananchi...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

    Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju. Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana wa Kitanzania wanaotishia kufanya fujo. Haamini jeshi lake kwamba watafuata maagizo yake kwa hivyo...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya Jeshi kumaliza kazi Oktoba 29 yafanyike haya

    1. Kusitisha utawala wote wa kikatiba na kuanzisha utawala wa mpito wa kijeshi na wananchi. Zoezi hili litahusisha na kusimamisha Taasisi za TAKUKURU, TISS na majukumu yao kufanya na Idara za Ujasusi za Jeshi. 2. Kuundwa Baraza la Uongozi la Kitaifa litakaloundwa na Maofisa wa Kijeshi pamoja na...
  13. D

    JamiiForums Tanzania “Mimi ndiye Amiri Jeshi Mkuu”: Hivi kuna Amiri Jeshi Mdogo??

    Samia Suluhu Hasani amesikika mara nyingi akijitambulisha kuwa yeye ndiye “Amiri Jeshi Mkuu” wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama; mimi swali langu, je kuna Amiri Jeshi “mdogo”??? Bi Mkubwa anaielewa vyema hiyo hadhi anayojitanabaisha nayo kila wakati? Au mahali hapa ndipo tatizo la elimu mbalimbali...
  14. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjumbe wa ZEC, Awadh: Jeshi la Polisi lina jukumu la kulinda bila ubaguzi, kukengeuka wala kushabikia upande wowote kwenye Uchaguzi

    Zikiwa zimesalia siku 10 kufikia Oktoba 29, 2025 ili Watanzania wapige kura, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imelitaka Jeshi la Polisi kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia usawa bila kuonesha upendeleo. Imeeleza kuwa, lengo ni kuona jeshi hilo linatenda haki kwa kila mmoja na kuacha alama...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Tunaposema Jeshi lichukue Nchi kwa sababu Taasisi zote zimejifia tueleweni jamani

    Upumbavu unaoendelea kwenye Taasisi za Umma umefikia kiwango cha kutisha hakika. Watumishi wa Umma, badala ya kujikita kulitumikia Taifa ili Wananchi wawe na maendeleo sasahivi wamegeuka kuwa vijakazi na watumwa wa CCM. Kuwahudumia CCM badala ya kulihudumia Taifa. Vitendo vilivyofanywa na...
  16. JamiiForums Tanzania Jeshi la Madagascar limechukua Uongozi wa nchi! Eti TV za Bongo wanashindwa kutangaza kwamba

    Kuna watu hovyo wamekazana kusimulia nchi jilani zina vita, machafuko, Oooh Kongo wanateseka, nk. Hadithi kama hizo hujitokeza wakati wa uchaguzi. Mbona hata sisi watu wanatekwa na kupotea? Jana jeshi la Madagascar limechukua uongozi wa nchi. kama kawaida ya BBC Swahili ikawa ni habari kuu. Eti...
  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hili la mgombea kujitangaza kuwa Yeye ni Amiri Jeshi Mkuu, limekaaje?

    Salaam! Hivi Mwananchi aliyehudhuria mkutano wa kisiasa kusikizwa sera za wagombea Ili azichambue na kuchagua wa kumpa kura kuridhia kuongozwa na chama na mgombea husika, Swali no 1. Mwananchi akisikia mgombea akijinadi kuwa Yeye ni Amiri J Mkuu, atapata picha gani kichwani? Kura yake yaweza...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Watekaji kihalisia wamezidi nguvu jeshi na Polisi iliyozubaa

    Watekaji kihalisia wamezidi nguvu jeshi na Polisi iliyo zubaa. Yaani kama huwezi kulinda watu na ndiyo kazi yako hata kama una ndege ya kivita kama ndugu yangu anatekwa na watekwaji ambao wanajulikana hawafanywi kitu maana yake majeshi yetu sasa hayana maana. Haki zetu zimebaki kwa nguvu zetu...
  19. JamiiForums Tanzania Kwamba jeshi likiwaunga waandamanaji ndio mishahara yao au cheo kitapanda? Wee form four utabaki na cheo hikoko abadan

    Halula! Yadunia yanachosha.. wewe darasa la saba, yule mwingine forum four faliya. Wadhani kuunga maandamano ndio mishahara utaongezwa sio! Hata ungekuja utawala wa Mansa au yule sultan bado ungepokea kidogo pengine kufurushwa kabisa. Na bado!
  20. R

    JamiiForums Tanzania Madaktari waunga maandamano ya Gen Z Madagascar, Rais aitisha mazungumzo baada ya kupewa muda wa saa 48 na Waandamanaji kuitikisa nchi nzima

    Waandamanaji waliendelea kujitokeza mitaani nchini Madagascar Oktoba 7, 2025, siku moja baada ya Rais Andry Rajoelina kumteua waziri mkuu mpya Jenerali wa Jeshi, katika juhudi za kupunguza mzozo unaoendelea. Katika mji mkuu Antananarivo, hasira zimeenea hadi sekta ya afya, ambapo mamia ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…