jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Haki itendeke katika ajira za Jeshi la Polisi

    Mwezi May 2024 Jeshi la Polisi lilitoa tangazo la ajira kutokana na viwango vya elimu na kada mbalimbali. Tar 22/07/2024 Tangazo la kuitwa kwenye usaili lilitangazwa, ambapo kwa Tanzania bara idadi ya vijana walioitwa ni 31930(ambapo kwa wenye fani ni 2238). Kwa upande wa Zanzibar vijana 2068...
  2. F

    Ni aibu kwa Polisi kuendelea kuzingira ofisi za CHADEMA wakati kuna uhalifu wa watu kutekwa unaendelea

    Jeshi la Polisi Tanzania limeonekana likizingira ofisi za CHADEMA Mikocheni hadi leo hii sijui sababu hasa za kufanya hivi ni nini. Kuna matukio mengi ya uhalifu yanaendelea nchini ni vyema polisi wakasambazwa kushughulikia matukio haya kama walivyasambazwa kushughulika na waandamanaji.
  3. K

    Polisi arekodiwa akiwaamrisha wananchi watawanyike la sivyo wanaweza kufa wakati wa maandamano ya CHADEMA

    Watu wengi wanapotea kwa taarifa kua walichukuliwa, waliitwa ama kukamatwa na Polisi ilihali maiti ikiokotwa sehemu kadhaa, na imefikia hatua Halmashauri ya Mkuranga kutangazwa kazi ya kuzika maiti ambazo wenyewe hawajulikani. Tazama clip hii watu wakiamriwa na jeshi la polisi wachague ama...
  4. Polisi lawamani kwa mauaji Arusha - marehemu adaiwa kufariki na pingu mkononi. Mauaji mpaka lini?

    Yaani kwanini Jeshi la Polisi ?? Kijana Johnson Josephat ambaye shughuli yake inaelezwa ni kuuza vyuma chakavu mkazi wa mtaa wa Mulieti amefariki dunia katika mtaa wa Eso ambapo ameifanya kwa miaka 6 bila kupata tatizo lolote lakini amepatwa na umauti kwa kile kinachoelezwa ni mzozano ambao...
  5. Tanga: Watu watatu wafariki dunia kwa kuchomwa moto ndani ya gari Handeni

    Watu watatu wamekutwa wamefariki dunia kwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana eneo la msitu wa Hifadhi ya Korogwe Fuel, uliopo Kijiji cha Sindeni wilayani Handeni mkoani Tanga. Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 24, 2024 kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius...
  6. W

    SI KWELI Hizi ni nyumba za jeshi la polisi

    Hii picha inayosambaa mitandaoni ikionesha nyumba za bati na kuelezwa ni za jeshi la polisi, imekaaje wadau?
  7. B

    Tanganyika Law Society (TLS): Jeshi La Polisi limekosea katika kuzuia maandamano

    🅻🅸🆅🅴 MWABUKUSI RAIS WA TLS ANAZUNGUMZA MUDA HUU. Rais wa TLS mwanasheria Boniface Mwabukusi akiongoea na waandishi wa habari kuhusu hatua walizochikua kuzuia maandamano ya jana tarehe 23 September 2024 walikosea https://m.youtube.com/watch?v=azUKcQAt0jc Rais wa TLS akiongea na jopo la...
  8. Q

    Polisi wamemdhihirishia Rais na CCM kuwa hawana uwezo wa kuishinda CHADEMA bila wao

    Kulikuwa na haja gani kwa jeshi la polisi kutumia gharama kubwa kufanya gwaride nchi nzima kwa mwezi mzima, na kutumia silaha za kivita kuja kumkamata Mbowe asubuhi na kumwachia jioni. Upuuzi! Kulikuwa na haja gani ku deploy polisi zaidi ya elfu moja DAR kuleta magari ya washawasha kutoka...
  9. Umoja wa Wakulima nchini - hongera sana kwa Jeshi la Polisi kwa ulinzi na udhibiti wa viashiria vya hatari nchini

    Tanzania ni kisiwa cha AMANI NA UTULIVU duniani. Tukiharibikiwa hatuna pa kukimbilia - majirani zetu wote wako ktk maisha ya mshikaki. Wakati baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakitangaza mfululizo habari za kuwepo maandamano kila mkulima nchini alipata wasiwasi juu ya matokeo ya maandamano iwapo...
  10. Wachokonozi watuma Ujumbe kwa Rais Samia na Jeshi la Polisi

    Rais Samia, Jeshi la polisi pamoja na watekaji kuna ujumbe wenu hapa toka kwa WACHOKONOZI. https://youtu.be/51JvA4Kv3nY?si=-ci71dg-gP5igOcr
  11. PreGE2025 Waandishi 2 kutoka Mwananchi Communications na 1 wa EATV wakamatwa na Jeshi la Polisi

    Waandishi wa Habari Wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) na mmoja wa EATV wamekamatwa na Jeshi la Polisi walipokuwa wakiripoti katika #Maandamano ya Amani yaliyoitishwa na CHADEMA. Waandishi wa MCL waliokamatwa ni Michael Matemanga aliyekamatiwa Msimbazi na Lawrence Mnubi...
  12. Baada ya viongozi wa CHADEMA kukamatwa, je tutegemee tamko kutoka ubalozi wa Marekani?

    Wanabodi, Nadhani wote tuliona kuwa ubalozi wa Marekani ulitoa tamko kuhusu utekaji na kuuwawa kwa aliyekuwa kada wa CHADEMA Ali Mohamed Kibao. Siku ya leo viongozi wa CHADEMA ikiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu walikamatwa na Jeshi La Polisi pindi wakiwa mbioni kuongoza maandamano hayo...
  13. L

    Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu

    Ndugu zangu Watanzania, Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
  14. Kipi ni Rahisi, serikali kutoa mabilioni kuwapa polisi ili kugharamia kuzuia maandamano ya siku moja au serikali kuamuru polisi kuwatafuta waliopotea?

    Service ya magari ya maji ya kuwasha, ununuzi wa vilipuzi, risasi, posho za maaskari na maafisa wa jeshi la polisi ambao wamepatakaa barabarani leo ni kubwa sana. Hata kama hujui hesabu lazima utajua tu sio chini ya bilioni 2. Huku vijana wa CHADEMA wanaosadika kutekwa hawazidi 20. Polisi Kuna...
  15. N

    Afande Muliro: Atakayethubutu kuandamana Dar es Salaam kesho atakiona

    WAKATI mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akitangaza uwepo wa Maandamano ya Chama hicho Siku ya jumatatu September 23 ,Jeshi la Polisi Nchini limeweka mkazo wake kuwa piga marufuku maandamano hayo . Kuwa maandamano hayo yana viashiria vyote vya uvunjifu wa...
  16. Polisi wafanya doria Mtwara, wasema ipo salama!

    Leo Tarehe 22 Septemba 2024, Askari Polisi wa Mkoa wa Mtwara walifanya doria katika maeneo mbalimbali ya Mkoa huo ili kuimarisha usalama na kuhakikisha raia wanaendelea kuishi kwa amani. Picha hiyo imechapishwa katika mtandao wa X (zamani Twitter) wa Jeshi la Polisi Tanzania [@tanpol ]...
  17. Hii nguvu kubwa sana inayotumika na Jeshi la Polisi kuzima maandamano ya CHADEMA, nguvu hiyo hiyo ingetumika, bado tungekuwa hatujawapata akina Soka?

    Watanzania wote tunashuhudia jinsi Jeshi la Polisi lilivyojipanga katika kuzima maandamano ya amani yaliyoandaliwa na CHADEMA hapo kesho. Tunashuhudia askari wengi sana wakimwagwa mitaani, huku wakiwa na magari ya washawasha, wakirandaranda na farasi, wengine hata wakiwa wamebeba na silaha za...
  18. Tetesi: MAANDAMANO 23/09: Viongozi 23 wa CHADEMA Kata ya Bunju wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani

    John Mrema amesema viongozi 23 wa CHADEMA wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani wakavamiwa na kukamatwa kwa mujibu wa taarifa hiyo.
  19. L

    Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam. Hii ni baada ya kupita siku chache alipotoa hotuba nzito sana katika...
  20. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 20 Septemba, 2024.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…