jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuisimamisha taasisi kama CHADEMA kutofanya shughuli zake ni kama kulizuia jeshi la polisi kutokufanya kazi – ni maamuzi yasiyo na mantiki kisheria

    Katika hali ya kawaida ya kikatiba na kisheria, uamuzi wa kuzuia chama cha siasa kama CHADEMA kufanya shughuli zake za kisiasa ni suala zito linalogusa moja kwa moja haki za kikatiba za uhuru wa kushiriki shughuli za kisiasa, uhuru wa kujieleza, na uhuru wa kujiunga na vyama. Katika andiko hili...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia manung'uniko dhidi ya Jeshi la Polisi yamezidi kwa sasa tangu Tanganyika iwepo Duniani

    Nina uhakika wa Mungu unajua fika kuwa jeshi la polisi linalalamikiwa sana kuliko miaka yote tangu Tanganyika iwepo duniani. Mauji ya wananchi, kuonea wananchi and many many other atrocities committed by polisi, bado makubwa yanayotokea mikononi mwa polisi. POLICE BRUTALITY IS AT ITS PEAK...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Manung'uniko yalikuwepo ya Jeshi la polisi yamepungua sana

    Wakuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema manung'uniko yalikuwepo kuhusu Jeshi la polisi kwa sasa yamepungua sana. Rais Samia ameyasema hayo katika Sherehe ya kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi katika...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Camillus Wambura: Jeshi la Polisi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi. "Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Juni 9, 2025

    Rais Samia akishiriki Sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Juni 9, 2025 ===================================== Akimkaribisha Rais Samia Suluhu Hassan aliyekuwa mgeni rasm katika sherehe a kufunga mafunzo ya maofisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi, Waziri wa Mambo ya...
  6. JamiiForums Tanzania Watu 28 wafariki kwenye mteremko wa Mbalizi, mkoani Mbeya, wengine 9 wajeruhiwa

    Watu 28 wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa vibaya kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea usiku wa Juni 7, 2025 majira ya saa mbili usiku, katika eneo la mteremko wa Mbalizi, mkoani Mbeya. Ajali hiyo imetokea baada ya lori la mizigo kufeli breki na kugonga magari mawili...
  7. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lakanusha kumshikilia Sheikh Zuberi Nkokoo Mkoani Singida

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida lakanusha taarifa zinazozambaa kuwa limemkamata na kumshikilia Shekhe Zuberi Nkokoo (53) mwalimu wa dini ya Kiislam kutoka Taasisi ya Islamic Foundation ambaye aliripotiwa kupotea Juni 02, 2025 majira ya saa 5:30 usiku akiwa karibu na Sheli ya Lake Oil iliyopo...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wakikamata Raia wanawatupa kwenye mapori hatarishi badala ya kuwapeleka vituoni?

    Kuna tabia ya ajabu sana imezuka sasa hivi kwa jeshi letu la polisi. Sio mara moja tumesikia mtu ametupwa kwenye mapori, na wengine wametupwa kwenye mapori yenye wanyama wakali. Nani asiye na weledi kiasi hiki anaye waagiza police kufanya hayo. Tumemsikia satifa aliye tupwa kwenye hifadhi ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Njia gani zitumike kulisafisha Jeshi la polisi dhidi ya yanayoendelea?

    Salaam! Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia. Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi liwe la wilaya au mkoa sio taifa

    Jeshi la Polisi liwe la wilaya au mkoa sio taifa ili wawe ni Polisi waliotoka kwenye jamii. Hii ndiyo maana ya jeshi la Polisi sehemu zingine Duniani. Hakuna haja ya kuwa na Polisi la nchi nzima maana linashusha imani kwa watu na wanaendeshwa bila kujali jamii. Kwa nchi nzima waache Jeshi la...
  11. JamiiForums Tanzania Samia hana kosa hata moja, Muliro hana kosa, IGP hana kosa. Kosa liko vichwani mwa Watanganyika

    Muliro ameshasema yeye anasimamia mulichokubaliana ninyi wenyewe Watanganyika, IGP pia anasimamia mulichokubaliana ninyi wenyewe Watanganyika. Yaani wanasimamia sheria zenu mlizozitunga. Ziwe mbaya, ziwe nzuri hilo haliwahusu. Jukumu lao ni kuzisimamia. Watanganyika ndio mliotunga sheria ya...
  12. JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Askofu Gwajima anayejulikana kama Sister Alinda adaiwa kukamatwa na Jeshi La Polisi

    Wakuu, Msaidizi wa Askofu wa Gwajima anayejulikana kama Sister Alinda anadaiwa kukamatwa na Polisi
  13. JamiiForums Tanzania Afande Muliro: Jeshi la Polisi limewachukua 'Watu kadhaa' katika Kanisa la Askofu Gwajima

    Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amesema Jeshi la Polisi linawashikilia Watu kadhaa kutoka katika Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo kutokana na kile alichoeleza kuwa walikuwa wakizuia Jeshi hilo kutekeleza majukumu yake. Wakati tukielekeza nini cha...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna Jeshi la Polisi au Vikundi vya Wahuni?

    https://youtu.be/CJxcv40HPc8?si=incSZXUCBCtZpofw Kwa vitendo vinavofanywa na Jeshi la Polisi Tanzania kwa raia, basi tunaweza kusema kuwa hawa ni Magaidi, Majambazi, Maharamia na Wauaji. Matukio na vitendo vya ukamataji, unyanyasaji, udhalilishaji, utesaji na uuaji kwa raia wasio na hatia ni...
  15. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa tamko kuhusu Wahalifu wanaovamia Watu na kuwapora wakiwa wamebaa Baibui

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, SACP Richard T. Mchomvu, ametoa tamko rasmi kufuatia kusambaa kwa picha mjongeo kwenye mitandao ya kijamii zinazoonyesha kundi la vijana wakimvamia na kumshambulia mwananchi kwa kutumia silaha. Jeshi la Polisi limewashikilia Vijana 8 kwa tuhuma za...
  16. JamiiForums Tanzania Waliofaulu usaili Jeshi la Polisi kuripoti Moshi Juni 12–14 kwa Mafunzo

    Jeshi la Polisi Tanzania limewataka vijana waliochaguliwa kujiunga nalo kuripoti katika Shule ya Polisi Moshi kuanzia Juni 12 hadi 14, 2025 kwa ajili ya kuhudhuria mafunzo. Vijana hao, ni wale waliofanya maombi na kufaulu katika usaili uliofanyika katika maeneo mbalimbali nchini. Taarifa ya...
  17. JamiiForums Tanzania Wanafanana Elimu zao, Mbunge Mariam aliyeshauri Jeshi la Polisi Limpe kipigo Martha Karua apumulie Oksijeni ,naye Kaisha Form Four ya kuunga unga

    Mimi Huwa nasema humu Kila siku, UWEZO DOGO WA MTU WA AKILI ( UJINGA) HUENDA SAWA NA UKATILI, ROHO MBAYA, UPAYUKAJI NA KILA UOVU Nyinyi hamjiulizi kwann Makazini, watu wajinga, ni wapiga majungu? Wanaenda sana Kwa waganga? Wafitini? Wako tayari kufanya lolote kubakia kwenye nafasi??. Mnadhan...
  18. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi tokeni hadharani mjisafishe, kuhusu kuteka, kutesa na kutelekeza wanaharakati wa Kenya na Uganda

    Kuna habari zinaenea kuwa Jeshi la polisi liliwakamata, kuwatesa na baadaye kuwasafirisha Kwa njia ya barabara na kuwatekelekeza mipakani mwa nchi zao. Inasemekana Mwanaharakati wa Uganda aliteteswa na kutelekezwa mpakani km 30 kutoka border ya Mtukula pia Boniface Mwangi wa Kenya alitelekezwa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa ACT, Isihaka Mchinjita akamatwa na Polisi kwa kutembelea na kukagua Kituo cha Mwendokasi Kimara Mwisho

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Isihaka Mchinjita amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo (Mei 23, 2025) baada ya kuingia kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kimara Mwisho kwa ajili ya kujionea adha ya usafiri huo. Mchinjita aliyeambatana na Waandishi wa Habari muda huu yeye na...
  20. JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini kama kuku Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?

    Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?. Hii ni kwa mara ya kwanza nchi kushuhudia unyanyasaji mkubwa wa binadamu kwenye utawala wa samia. Huu ni uthibitisho tosha kuwa nchi haina utawala wa sheria, jeshi la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…