jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 DCP Misime: Tutatumia polisi jamii katika kubaini uhalifu kipindi cha uchaguzi

    Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema kuwa Jeshi la Polisi litashirikiana na polisi jamii kubaini viashiria vyovyote vya uhalifu na vyanzo vya kuvuruga amani wakati wa kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa 2025 ili kuweza kuchukua hatua za kisheria kwa wale watakaovuruga amani...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda Muliro: Jukumu la Jeshi La Polisi ni kuzuia uhalifu. Huwezi ukasubiri tukio likamilike ili niwe na ushahidi wa kwenda kutihibitisha

    Wakuu, Akiwa anaongea leo kwenye Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge Madiwani 2025 Kamanda Muliro amesema kuwa kazi ya Jeshi La Polisi ni kuzuia uhalifu na machafuko na sio kusubiri yakishatokea ndio wafanyie kazi Amesema "Huwezi ukasubiri tukio likamilike ili niwe na...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tunasikitishwa na Jeshi La Polisi kuwakamata wanachama 10 bila ya kuwapatia haki ya kuonana na mawakili wao

    CHADEMA imelaani kitendo cha Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kuwashikilia wanachama wake 10 waliokamatwa Kibaha bila dhamana na bila kupewa nafasi ya kuonana na ndugu zao. Chama kimesema kitendo hicho ni kinyume cha sheria na Katiba, kikitoa wito kwa Polisi kuwapatia wanachama hao haki za msingi...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi limejipanga na viashiria vyovyote vya vurugu, "Tukiona moshi unafuka hatutasubiri moto uwake tutachukua hatua "

    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP David Misime amesema Jeshi la Polisi nchini limejipanga na viashiria vyovyote vya vurugu nchini "Tukiona moshi unafuka hatutasubiri moto uwake tutachukua hatua " Misime ameyazungumza hayo kwenye Mkutano wa Wadau wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali na Polisi Kilimanjaro mnataka mauaji yatokee Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai ndio mje kutoa salamu za rambirambi?

    Hofu kubwa imetanda kwa Wananchi wa Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro kutokana na uvamizi unaofanywa na wafugaji wa Kimasai kwa Wakulima Maskini wa kijiji hiki huku uongozi wa kijiji hasa Mwenyekiti ukishutumiwa kupokea rushwa kutoka kwa hawa wafugaji ambao ni wageni eneo...
  6. JamiiForums Tanzania Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi waazimia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 unafanyika katika hali ya amani

    Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Nchini wameazimia kuhakikisha kuwa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 unafanyika katika hali ya amani, utulivu na usalama na kwamba hawatamuonea muhali mtu yeyote atakaye jaribu kuvunja amani ya nchi. Azimio hilo limefikiwa baada ya kukamilika kwa Mkutano Mkuu wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded GEITA: Kuna Kijana ameuawa kwa kupigwa risasi na Askari wa Hifadhi ya Pori la Kigosi, TFS na Jeshi la Polisi mbona mpo kimya?

    Kuna tukio limetokea huku kwetu Kijiji cha Msonga Kata ya Runzewe, Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita, kama tutaendelea kubaki kimya hakuna kitakachofanyika na hatua hazitachukuliwa. Kuna kijana amepoteza maisha kwa kupigwa risasi na Askari wa Hifadhi ya Hifadhi ya Msitu Kigosi ambayo inasimamiwa...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Makamu wa Rais asisitiza jeshi la polisi kushirikiana na TAKUKURU kudhibiti vitendo vya rushwa uchaguzi mkuu

    Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amelitaka jeshi la polisi kushirikiana na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) ili kupambana dhidi ya vitendo vya rushwa wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Dkt.Mpango ametoa kauli hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, leo Agosti 11, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=WyoacouIms0 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango anafungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Agosti 11, 2025 Shule ya Polisi Tanzani- Moshi. Maafisa mbalimbali wakiwasili katika Viwanja vya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi

    Wakuu tufuatilie hii live inaendelea sasa Mgeni Rasmi akiwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango https://www.youtube.com/live/Gt5cxeNI90U?si=IYfVYZ27diQ2bosr Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camillus Wambura: Mkuu wa jeshi la polisi nchini Camillus Wambura amesema jeshi hilo halitovumilia...
  11. JamiiForums Tanzania Je, huu ndio utendaji wa Jeshi la Polisi? Polisi anajisifia kufanya harassment?

    Je, huu ndo utendaji wa Jeshi la Polisi? Polisi anajisifia kufanya harassment? Hata siamini.. Naomba Neema asipotezwe.
  12. JamiiForums Tanzania Nini kimemkuta msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime?!

    PICHA YA CHINI NI MIEZI KADHAA NYUMA PICHA YA JUU NI YA LEO
  13. JamiiForums Tanzania Bashungwa alikumbusha Jeshi la Polisi kukomesha matukio ya utekaji nchini

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuendelea kuzingatia maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha linashughulikia masuala ya jinai ikiwemo kukomesha matukio ya utekaji nchini. Mbali na hilo, ameliagiza jeshi hilo kudhibiti...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanga linawasaka waliotelekeza boti lenye shehena ya dawa za kulevya aina ya Mirungi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawatafuta watu wawili ambao bado majina yao hayajafahamika baada ya kutoroka na kutelekeza boti ambayo ilibeba shehena ya dawa za kulevya aina ya mirungi kutoka nchini Kenya kuja Tanzania kupitia Bahari ya Hindi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa watano (5) kati ya (7) wanashikiliwa na jeshi la Polisi kwa kosa la kumvamia na kumpora mzungu raia wa kigeni

    Watuhumiwa watano (5) kati ya saba (7) wakamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kumvamia na kumpora raia wa kigeni ambaye mpaka sasa haijajulikana ni raia wa nchi gani. Tukio lilitokea wiki iliyopita eneo la Banda la ngozi barabara ya Nyerere road karibu na Lifemate Funiture, raia huyo wa kigeni...
  16. JamiiForums Tanzania Gwajima aelimishwe juu ya wajibu wa Jeshi la polisi wa kulinda usalama wa raia, mali na makazi na sio ujenzi wa barabara au uchimbaji visima vya maji

    Afundishwe vyema pia kwamba hakuna namna nchi inaweza kuacha jambo muhimu sana kama la ulinzi wa Taifa, watu, mali na makazi yao likafanywa na makampuni binafsi ya ulinzi, kwasababu tu eti jeshi la polisi liko na shughuli au tenda nyingi za ujenzi wa barabara na uchimbaji visima vya maji...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku Jeshi la polisi kutangaza habari za mauaji, ubakaji na ulawiti, hizo habari hazina afya kwa jamii zinachochea zaidi jinai

    Sasa hivi ni kawaida kukuta habari mtandaoni za makamanda wa polisi wakiongea na vyombo vya habari kuwa wamekamata mtu aliyefanya kosa la jinai kama vile mauaji, ubakaji, ulawiti n.k Habari kama hizi hazina afya kwa jamii sababu akili ya binadamu ni kama shamba lenye rutuba ambalo unaweza...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Tunamshikilia Leonard Josephat Magere wa CHADEMA kwa tuhuma za jinai zinazomkabili

    Jeshi la polisi nchini limesema linamshikilia Leonard Josephat Magere,kutokana na tuhuma za jinai zinazomkabili na anaendelea kushikiliwa kwa mahojiano ili kukamilisha Ushahidi ambao ulishakusanywa. Soma Pia: Leonard Magere (CHADEMA) adaiwa kuzuiwa na mamlaka ya Uhamiaji kusafiri Uingereza...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe imetoa elimu kwa bodaboda kuepeuka kutumika vibaya kipindi cha uchaguzi

    Katika kuhakikisha Uchaguzi Mkuu 2025 unafanyika kwa usalama na amani Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kupitia watendaji wake wa kata limeendelea kutoa elimu kwa makundi mbalimbali katika jamii, wakiwemo wasafirishaji wa abiria kwa kutumia Pikipiki maarufu kama bodaboda, kuhusu umuhimu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…