jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Jeshi la Polisi: Utapeli wa "Ile fedha tuma kwenye namba hii" umeshuka kwa kasi

    TAARIFA KWA UMMA TAHADHARI KUHUSU VITENDO VYA UTAPELI. Hali ya Usalama nchini inaendelea vizuri kutokana na jitihada za Jeshi la Polisi zinazo saidiwa na ushirikiano mkubwa kutoka kwa wananchi katika kubaini na kuzuia uhalifu. Pamoja na ushwari huo, yapo matukio mengine yanatendeka kutokana na...
  2. M

    Askofu Msonganzila: Imefika wakati tufanye mabadiliko ndani ya jeshi la Polisi

    Askofu Michael Msonganzila ametoa pendekezo hilo wakati akizungumzia kitendo cha jeshi polisi kuwashambulia bawacha eneo la kanisani --- Askofu wa Jimbo Katoliki la Musoma, Michael Msonganzila amelaani tukio la Jeshi la Polisi kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanachama, wafuasi na...
  3. Travis Kitengo

    TRA NA JESHI LA POLISI BUNDA MNA HABARI KUHUSU HUYU JAMAA ANAYEUZA STICKER FEKI ZA TRA?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.Kati ya maandiko yangu ya siku zilizotangulia niliwahi kugusia bwana mmoja maarufu kwa jina Baraka wasila ambaye ni muasisi wa kuuza dhahabu feki hapa bunda mjini.Niliwahi pia kueleza kwamba licha ya kuwa muuza dhahabu feki mjini aliamua kufungua...
  4. R

    Katibu Mkuu BAWACHA, Pamela Maassay: Jeshi la Polisi halina mamlaka kutoa tafsiri ya kimahakama, tunampango kwenda Musoma kuadhimisha siku ya wanawake

    "Jeshi la Polisi halina mamlaka ya kutoa tafsiri ya kimahakama au kujichukulia hatua zozote bila kupewa maelekezo na mahakama. Wanawake nchi nzima tumejiandaa tunampango wa kusafiri kwenda Musoma katika Maadhimisho ya siku ya Mwanamke Duniani, tunajua hatujavunja Sheria." Amesema Pamela...
  5. M

    Akwezo: Waliniambia nitoe milioni 147 na kuzipaka mafuta ili Malaika azichukue ili zikirudi ziwe nyingi, kumbe walikuwa matapeli

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linawashikilia watuhumiwa watatu waliokuwa wakijiusisha na shughuli za utapeli maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma na Mikoa Jirani. Akizungumza kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamishna Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Marco G. Chilya Februari 23,2026 katika...
  6. Q

    Boniface Mwabukusi: Iundwe Tume huru ya kulichunguza Jeshi la Polisi

    Polisi makao makuu waliunda Kamati kuchunguza kutekwa kwa Mdude mpaka sasa kimyaa japo afisa wao alitajwa bayana. Mzee Kibao uchunguzi unaendelea, Soka na wenzake Mahakama ikaamuru Polisi wa chunguze hadi leo kimyaa labda bado wanaichunguza amri ya mahakama. Soka na wenzake uchunguzi...
  7. Roving Journalist

    Jeshi la Polisi lawakamata Watu watatu wakiwa njiani kutorosha Punda 21 kwenda Nchi jirani

    Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Nchini (STPU) Kwa kushirikiana na Shirika lisilokuwa la kiserikali la ASPA limefanikiwa kuwakamata Watuhumiwa Watatu waliokuwa wakitorosha Mifugo aina ya Punda 21 kwenda Nchi jirani pasipo kuwa na kibali. Kamanda wa Kikosi hicho, Kamishna...
  8. Carlos The Jackal

    Nililionya Jeshi la Polisi kuhusu ukamataji bila kufuata taratibu kwakuwa unaacha 'Loophole' kwa Magenge kufanya Utekaji na Mauaji Unrecognizable

    Wakati tukiendelea Kushuhudia Matukio ya Utekaji na Mauaji yanayoendelea nchini, Mimi binafsi nilitumia Akili yangu na kipawa KIKUBWA nilichojaaliwa cha kutizama mambo kwa UPANDE wa pili, na nikushauri JESHI LA POLISI LIKAMATE WATU KWA UTARATIBU NA MAFWELE ADHIBITIWE kwakua anavuruga Security...
  9. McLaren

    Mwananchi: Musoma ukikutwa kwenye baa usiku unakamatwa. Tuacheni tule pesa msitukamate

    Wakuu, Hebu njooni hapa tujadili huyu jamaa sanamu lake tulijenge wapi === POLISI TUACHENI TULE BATA Haya yamesemwa na miongoni mwa wananchi wa mji wa Musoma katika mkutano wa Mbunge wa Musoma mjini akiwasilisha kazi alizozifanya kipindi Cha siku 100 mara baada ya uchaguzi wa October 29...
  10. Carlos The Jackal

    Maelezo ya Mashahidi wa Jamhuri dhidi ya Lissu yanaonyesha, tuna jeshi la Polisi lisilo na Weledi, Elimu na Lisilojua PGO yake !!.

    Ukifatilia hii kesi, Yale Maelezo waloandikishwa Hawa wanaoitwa Mashahidi wa Lissu, na maelezo wanaotoa Mahakamani ni vitu Viwili tofauti kabisa. Sijui ni hizi Elimu za Darasa la Saba kwa hiyo wanafanya kazi za mazoea, sijui ni kutokujua chochote kuhusu PGO. Mmekamata Lissu , mmekaa naye MIEZI...
  11. A

    Kesi ya Mchongo ina dhalilisha Jeshi la Polisi, Offisi ya mwendesha Mashtaka, Mahakama, Majaji na Watanzania wote kwa ujumla wetu

    Kesi ya Mchongo ambayo ulioanza labda ilionekana ina mashiko, lakini jinsi inavyo endelea, inaonyesha jeshi letu la polisi ni watu wasio jua kupambanua taarifa na matukio, pia Offisi ya mwendesha Mashtaka, kama ilivyo kwa jeshi la Polisi na Mahakama zetu kutumika vibaya, na pia Kwa sababu hao...
  12. Genius Man

    Nimepitia baadhi ya picha nimeona vijana wanaoongazana na Mafwele hawafai kuwa Askari wa Jeshi la Polisi...

    Nimepitia baadhi ya picha nimeona vijana wanao ongazana na mafwele hawafai kuwa askari wa jeshi la polisi wamekaa kijambazi jambazi. Weredi wa kuajiri askari umpengua sana inatia wasiwasi mkubwa na hofu ya usalama wa raia Ikumbukwe huyu jamaa mafwele anadaiwa kuhusika na utekaji na mauwaji ya...
  13. Chizi Maarifa

    Anachofanya Tundu Lissu ni Udhalilishaji mkubwa sana kwa Serikali na Jeshi la Polisi. Azuiwe asiendelee

    Baada ya kuwa namsikiliza Tundu Lissu kwenye hii kesi yake. Nimegundua mambo mengi sana. Nimeona huyu jamaa sasa ndo anafanya Uhaini na Ugaidi live kabisa. Yaani Serikali yote anaivua nguo. Yote kuanzia Juu kabisa mpaka hapo anaonesha kuwa majority hawana akili na ni vilaza sana. Inashangaza...
  14. H

    Pongezi na Mapendekezo kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Napenda kutoa pongezi la dhati kwa jeshi la polisi Tanzania kwa kazi kubwa, ngumu, na yenye hatari mnayoifanya kila siku katika kulinda amani na usalama wa wananchi. Huu ni ushuhuda wa jitihada zenu, uvumilivu, na dhamira ya kutekeleza majukumu yenu kwa uadilifu. Hata hivyo, napenda kutoa...
  15. Parabolic

    Jeshi la Polisi linaendeleza hofu ya utekaji nchini

    Tukio la kukamatwa kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Malori Tanzania (TATAMATA), Godlove Materu limerejesha hofu ya utekaji nchini, kutokana na mtindo wa ukamataji unaofanywa na Jeshi la Polisi nchini. Materu Materu (45), ambaye ni mkazi wa Chapwa, Mji wa Tunduma, Wilaya ya...
  16. Genius Man

    Mwabukusi: Jeshi la polisi lichunguzwe kwa uhalifu wa wazi na uvunjaji wa sheria .

    JESHI LA POLISI LICHUNGUZWE KWA UHALIFU NA UVUNJAJI WA KATIBA. kwa barua hii sasa ni uthibitisho kwamba kuna hitajika uchunguzi maalum kwa Jeshi la Polisi. Huu ni Uharamia na Uvunjwaji wa Sheria .Sheria inataka unapo mkamata mtu moja ya haki ni kuwasiliana na Ndugu zake au mwanasheria wake au...
  17. Travis Kitengo

    DOKEZO Jeshi la Polisi Wilayani Bunda chukueni hizi dondoo

    Jana nimetumia ukurasa huu kulipongeza Jeshi la Polisi wilayani bunda kwa operation iliyofanyika majuzi ambayo ilifanikisha kukamatwa kwa wahalifu watatu waliokuwa wakikabiliwa na tuhuma nyingi za uhalifu. Hao ni sehemu ndogo tu ya wahalifu ambapo kwa makisio ya haraka 90% ya vijana...
  18. Genius Man

    Mafwele amendelea kutuhumiwa na utekaji

    Kutoka na ripoti na Kwa taarifa za kuaminik zisizo na mashaka kutoka BBC afisa wa juu wa jeshi la "Mafwele" ameendelea kutuhumiwa na utekaji
  19. Waufukweni

    Katibu wa CHADEMA Rungwe, Award Karonga akamatwa tuhuma za uchochezi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Award Karonga, ambaye ni kiongozi mwandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za uchochezi na makosa mengine ya kijinai. Award Karonga, ambaye ni mkazi wa Katumba, anashikilia nyadhifa za Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Rungwe...
  20. Travis Kitengo

    DOKEZO Jeshi la polisi Bunda itazameni ITKata ya Bunda Mjini kwa jicho la tatu

    Nimekuwa nikiandika makala nyingi sana kuhusu kuwepo kwa ongezeko la vijana katika magenge ya kihalifu wilaya ya bunda hasa kata ya bunda mjini. Kwa kifupi kata ya bunda mjini inaundwa na mitaa ya nyerere,posta na sabasaba.Mitaa hii ipo katikati ya mjin wa bunda. Hawa vijana wamejikita zaidi...
Back
Top Bottom