Victor Mhagama, mtoto wa marehemu Jenista Mhagama, amejitosa kuwania kurithi nafasi ya ubunge ya Peramiho iliyoshikiliwa na mama yake kwa zaidi ya miaka 20 kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Hatua hiyo inamfanya Victor kuingia katika orodha ya watoto wa vigogo kadhaa wa siasa ndani ya chama...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
MAKAMU WA RAIS AONGOZA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA MAREHEMU JENISTA MHAGAMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza waombolezaji kwenye Mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista...
Jenista mhagama amezikwa leo Disemba 16,2025 katika makaburi ya Parokia ya Ruanda ambapo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Emmanuel Nchimbi ameongoza mazishi hayo.
Pia Soma: Mwili wa Jenista kuzikwa karibu na kaburi la Mume wake
"Mkuu wa Mkoa uko hapa, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi upo hapa na Nyota Mtoto wetu yupo hapa. Nafikiri nikisema hivyo mmenielewa. Mmenielewa?
Nyota ya mtoto wetu yupo hapa, nawashukuru sana Familia. Dodoma niliwaambia mshikamane, mpendane. Hiki ni kipindi kigumu kwenu."
Spila wa Bunge la...
Achana na lile vibe la msiba la waombolezaji, kwikwi na vilio vya chinichini, simanzi na majonzi wakati wa ibada.. Hayo mambo jana hayakuonekana kabisa
Kilichoonekana jana ni mambo ya kutisha sana
Ukimya usio wa kawaida
Hofu ya dhahiri nyusoni
Taswira zilizohamanika na kukosa utulivu kabisa...
Baraza la Wazee wa Mila na Desturi mkoani Ruvuma limetangaza uamuzi wa kuisimamisha mvua isinyeshe kuanzia leo Desemba 13, 2025 hadi Desemba 16, 2025, siku ambayo aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, atazikwa.
Uamuzi huo umefikiwa kufuatia mvua iliyonyesha asubuhi ya leo, Desemba 13...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema aliyekuwa Waziri wa Afya na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama alikuwa mstari wa mbele kuwatumikia Wananchi, Mwalimu wa uongozi na Mtu mwenye hofu ya Mungu na kwamba yeye alimuita kiraka kwakuwa kila Wizara aliyomuweka aliifanya kazi yake...
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ameomba familia ya marehemu Jenista Mhagama kuendelea kuwa wamoja, kushikamana na kuepuka kusikiliza maneno yoyote ya kuwagawa, akisisitiza umuhimu wa upendo na mshikamano katika kipindi hiki kigumu cha msiba.
Zungu ametoa kauli hiyo leo Desemba 13, 2025...
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Baraka Leonard, amethibitisha kuwa kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, marehemu Jenista Mhagama, kimesababishwa na maradhi ya Moyo.
Akizungumza wakati wa Ibada ya Misa ya Kuuaga Mwili wa marehemu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki...
Rais Samia akiwaongoza waombolezaji kwenye ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho na waziri wa zamani aliyeongoza wizara mbalimbali, Jenista Mhagama, katika Kanisa Katoliki Kiwanja cha Ndege, jijini Dodoma, leo Desemba 13, 2025.
Jenista alifariki dunia Desemba 11, 2025, jijini...
Mheshimiwa Jenista Mhagama alikuwa ni kiongozi anayehakikisha kazi anazofanya zinakuwa na matokeo - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.
📍Dodoma.
🗓️Desemba 11, 2025.
Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa, amefichua kuwa licha ya jitihada kubwa zilizofanywa na madaktari wa Hospitali ya Benjamin Mkapa kuokoa maisha ya aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, hali yake ilikuwa mbaya sana alipowasili hospitalini hapo na baadaye alifariki dunia.
Akizungumza...
Ratiba rasmi ya mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Joakim Mhagama, imetangazwa, ikionyesha utaratibu wa maombolezo na ibada zitakazofanyika kuanzia Desemba 12 hadi Desemba 16, 2025.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Bunge la Tanzania, maombolezo yameanza leo...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Taifa limepata pengo kuondokewa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma, marehemu Jenista Mhagama ambaye alikuwa kiongozi aliyeheshimika na kutumikia nchi katika majukumu mbalimbali ya...
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama. Ninatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu, wananchi wa Jimbo la Peramiho, familia, ndugu, jamaa na marafiki.
Kwa miaka 38...
Mgombea wa Ubunge katika Jimbo la Peramiho (Ruvuma) kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Jenista Mhagama Oktoba 25, 2025 wakati aliposhiriki kwenye Bonanza la Afya, wilaya ya Songea vIjijini llilofanyika katika uwanja wa Tamasha, Peramiho, alitoa wito kwa vijana ifikapo Oktoba 29, 2025...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kitaendelea kusimamia ubora wa elimu katika Jimbo la Peramiho na kuongeza miundombinu ya vyumba vya madarasa 255 ili kuwezesha wanafunzi kupata elimu katika mazingira bora zaidi
Hayo yamebainishwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Peramiho, Bi. Jenista Mhagama...
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Peramiho Jenista Mhagama ameahirisha shughuli za kampeni kwa muda wa saa 2 ili kuungana na wananchi wa Kijiji cha Mdunduwalo katika Kata ya Maposeni kushiriki kwenye ibada takatifu ya ndoa ya Bw. Edwin Haule na Maria Bura iliyofanyika katika Parokia ya Mdunduwalo...
Mama huyu anapenda kupiga magoti sana! kwenye kuomba jambo lake, maana si mara ya kwanza kupiga magoti akiwa katika harakati zake za kisiasa za uchawa
Je hadi mumewe anampigia goti akimkosea au unafiki wake huku nje? :D :D :D
===============
Mgombea Ubunge Jimbo la Peramiho Jenista Mhagama...
Wakuu,
Huyu anazungumzia wapinzani gani? Kwa maana mimi kwenye uchaguzi huu sioni upinzani wowote
Mgombea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Peramiho kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jenista Mhagama amesema atawashangaa wananchi wa jimbo la Peramiho wakatao wapigia kura vyama vya upinzani huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.