jembe

A djembe or jembe ( JEM-bay; from Malinke jembe [dʲẽbe], N'Ko: ߖߋ߲߰ߓߋ‎) is a rope-tuned skin-covered goblet drum played with bare hands, originally from West Africa.
According to the Bambara people in Mali, the name of the djembe comes from the saying "Anke djé, anke bé" which translates to "everyone gather together in peace" and defines the drum's purpose. In the Bambara language, "djé" is the verb for "gather" and "bé" translates as "peace."The djembe has a body (or shell) carved of hardwood and a drumhead made of untreated (not limed) rawhide, most commonly made from goatskin. Excluding rings, djembes have an exterior diameter of 30–38 cm (12–15 in) and a height of 58–63 cm (23–25 in). The majority have a diameter in the 13 to 14 inch range. The weight of a djembe ranges from 5 kg to 13 kg (11–29 lb) and depends on size and shell material. A medium-size djembe carved from one of the traditional woods (including skin, rings, and rope) weighs around 9 kg (20 lb).
The djembe can produce a wide variety of sounds, making it an extremely versatile drum. The drum is very loud, allowing it to be heard clearly as a solo instrument over a large percussion ensemble. The Malinké people say that a skilled drummer is one who "can make the djembe talk", meaning that the player can tell an emotional story (the Malinké never used the djembe as a signaling drum).
Traditionally, the djembe is played only by men, as are the dunun that always accompany the djembe. Conversely, other percussion instruments that are commonly played as part of an ensemble, such as the shekere (a hollowed-out gourd covered with a net of beads), karignan (a tubular bell), and kese kese (a woven basket rattle), are usually played by women. Even today, it is rare to see women play djembe or dunun in West Africa, and African women express astonishment when they do see a female djembe player.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Kangi Lugola: Samia ni jembe si jembe?

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mwibara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Alphaxard Kangi Lugola amepanda jukwaani kuzungumza na wananchi wa Mkoa wa Mara waliojitokeza kumpokea Mgombea Mwenza wa nafasi ya Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi leo Agosti 30, 2025 mara baada ya kuwasili mkoani Mara...
  2. Adaiwa kumuua mwanaye kwa jembe wakizozania chakula

    Hii imetokea Kenya Count ndogo ya Awendo.Majirani zetu watani zetu na ndugu zetu mnaojinasibisha mnajua sana kingereza kuliko sisi mnakwama wapi. Issue kama hii huwezi ikuta Tanzania Kugombea ugali Count ya Awendo ukitoka Isebania unafika Migoro Awendo iko mbele yake. Source Mwananchi Agost 28...
  3. U

    Tunaomba wakili Katuga, jembe la Samia, apewe kesi zote za kimataifa, hatutalipa fidia tena

    Samia na solicitor general wamepata wakili jembe ambaye atatuvusha Tanzania kwenye kesi mbalimbali hasa za kimataifa, sio hizi za mchongo ambazo Rostam alisema mabilionea hawawezi kukubali kutumia mahakama ambazo mtu wa Serikali amelala na mchepuko anampigia jaji kumpa maelekezo namna ya kesi na...
  4. D

    Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime, ushauri kuntu wa wahenga unapoulizwa na 'watoto wa 2000'

    Naona vibwebwe vimefungwa viunoni watu (wamakonde wanaita 'vanu') wakifurahia ugomvi wa jirani...........wanagongeana mikono Huku wakishusha vijineno chochezi ("ndo alivyo huyo!", "apigwe huyo!" n.k) na vicheko (wera wera weraaaaa!!) kama vyote. Katikati ya 'raha' hii ya kushuhudia ugomvi wa...
  5. Afadhali ushike jembe ukalime, kuliko kuomba sala hii

    Utapoteza muda wako bure ukisali hivi: "Bikira Maria Mtakatifu Mkingiwa dhambi ya asili, Mlinzi wa Taifa letu. Utuombee." Sala hiyo haina mashiko kwa sababu zifuatazo: Kibiblia, hakuna sehemu inayoonyesha kuwa Bikira Maria amepewa jukumu la kuwa mlinzi wa taifa lolote. Mungu pekee ndiye...
  6. Maswali ya kujiuliza kutoka kwa Mwalimu wa Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania na Mchambuzi Saleh Jembe

    1. Hivi Yanga SC ingekuwa inaongoza Alama kati ya Sita (6) au Saba (7) hizi Kelele zao za Bodi ya Ligi tungezisikia leo? 2. Bodi ya Ligi ambayo Yanga SC ilikuwa Bingwa kwa Misimu Mitatu mfululizo leo ghafla inaweza kuwa mbovu? 3. Wamesema na kutwa Wanatudanganya wameenda CAS je, wanaweza...
  7. Mchambuzi na Mwandishi Nguli wa Michezo Tanzania Saleh Jembe apiga msumari wa mwisho na pale pale katika Mshono kwa Yanga SC

    "Yanga SC wanawalalamikia Bodi ya Ligi kuhairisha Mechi ya Yanga na Simba mbona na Wao hawalalamikii Makoma wenye Ndoo wao kuzuia Simba SC kuingia Uwanjani kufanya Mazoezi ya mwisho ni jambo la Kikanuni na wale Wahusika wote wanajulikana na walipewa Baraka zote na Uongozi wa Yanga SC? Naomba tu...
  8. Paschal Mayala aepuke dharau dhidi ya Lissu Jembe Letu

    Paschal Mayalla I. UTANGULIZI Makala ya Paschal Mayala katika gazeti la Nipashe, toleo la Jumapili, tarehe 23 Februari 2025, imenikumbusha matukio ya kisiasa ya mwaka 2022. Tarehe 20 Mei 2022 viongozi wa Chadema walikwenda kwenye kikao cha majadiliano ya kuimarisha demokrasia na hali ya...
  9. Video: Saleh Jembe, Saleh Jembe, Saleh Jembe. Nimekuita mara tatu. Jiangalie

    Msikilize mwenyewe. Hii Nchi ishakuwa ngumu sasa.
  10. N

    Andika kauli au msemo mmoja unaoukumbuka kutoka kwa hayati Magufuli

    Andika msemo au kauli moja kutoka kwa raisi wetu kipenzi cha watanzania Pombe Magufuli ambao unaukumbuka. Andika msemo huo mpaka msomaji akisoma asisimke ausome msemo huo kwa sauti ya Magufuli. Mie naanza " Mimi nataka kama ni kunipenda, mnipende kwa ajili ya kazi. Kama ni kunichukia mnichukie...
  11. Sex mpaka ndoa

    Kama tayari ameshampa hamis, sheby bodaboda, frank, Qboy, dj dully, pius, zero iq, devi, jembe, chid, rasta, baba kevi, george, cadabra n.k iweje akuambie wewe sex mpaka ndoa.! No room to that nonsense condition like SEX MPAKA NDOA, the moment she broke her virginity she has lost right to that...
  12. B

    Enzi za Hayati Magufuli Wafanyabiashara wasingejaribu kugoma. Imekuwaje leo?

    Enzi za uhai wake angesema.....Hiiiiii! Maweee! Yaani enzi za Jembe unajaribu kutingisha Sharubu za Mfalme? Ungejuta. Wafanya biashara waache dharau wao sio muhimu sana kuzidi makundi mengine ya wananchi. Lazima wakubali kufata sheria za nchi na walipe kodi kama ambavyo wengine anafanya...
  13. Picha: Jembe liliokubalika hayati Magufuli ambalo Mafisadi na vibaraka wa Mbowe wanalichukia

  14. PreGE2025 Mrisho Gambo anachekelea sana vita ijayo, baada ya kuletewa Jembe!

    Itakuwa ni rasmi, baada ya trh 04.04.2024 jembe PCM anatinga chuga city, maskani ya machalii wa afrikani Geneva. 'Wasiempenda kaja' wenye roho mbaya naye huyo hapo anaingia mjini, iwe kashushwa cheo au kapanda ila ndiye yeye, mara mama kakosea, wengine huko wanasema ooh kamalizwa na msoga gang...
  15. Usije na jembe mjini

    Wakati fulani katika kijiji kimoja, mtu mmoja aliwatangazia wanakijiji kwamba angenunua nyani kwa Sh. 10,000. Wanakijiji, waliona kwamba kulikuwa na nyani wengi karibu. Wakatoka mpaka msituni na kuanza kuwakamata.........Mtu huyo alinunua maelfu kwa Sh. 10,000 na usambazaji ulipoanza...
  16. PreGE2025 Tuwakumbushe: Mch. Gwajima ulitoa ahadi. Je, greda jembe kati lipo wapi?

    Video inajieleza. Watu wa Kawe wanauliza greda uliloahidi kununua mara tu baada ya kichaguliwa lipo wapi? Je baba Mchungaji, utakuja na uongo upi tena mwaka 2025? Tuanze kukumbushana ahafi za uongo zilizotolewa kuhadaa wapigakura 2019/2020
  17. F

    Njia sahihi ya kufanya mazoezi - Shika jembe toa jasho kwishaa

    Ukiwa na ratiba ya kufanya kazi za mikono/Physical activies kama vile kulima, yani unachukua jembe unalima unatoa jasho unakuwa umepata faida mbili kwanza unakuwa umelima bustani ya matunda au mboga au garden na hapo unakuwa umechoma burn calories mwilini. Aliwahi kusema Dr. Howard Tucker...
  18. Picha: Jembe linalokubalika kwa Watanzania kupinga uonevu likiwaaga Wanachato

  19. Mapinduzi ya kilimo hayataletwa na jembe la mkono

    Leo kwenye pitapita zangu mtandaoni nimeona post ya viongozi kugawa majembe ya mkono kwa wakulima huku mkuu wa wilaya akiwataka vijana wakachukue utajiri kwenye kilimo. Binafsi nimeona hilo tukio ni la kisiasa sana na lingepaswa kufanywa mwaka 1880 kabla ya mkutano wa Berlin. Kwa nyakati hizi...
  20. Mbeya: Bibi ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Mtoto wa mwaka mmoja kwa kumkata kwa jembe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia bibi mmoja aitwaye MALOGI LUOBELA [75] Mkazi wa Kijiji cha Ikoho Wilaya ya Mbeya Vijijini kwa tuhuma za kumuua mjukuu wake aitwaye VISION ERICK mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi mitano kwa kumkata kwa jembe. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…