Jasiri X (born Jasiri Oronde Smith) is a Pittsburgh-based rapper and activist who gained attention for his 2007 song "Free the Jena 6." He is a recipient of the Rauschenberg Artist as Activist award and founder of anti-violence group 1Hood. In 2016, he was awarded an honorary doctorate from the Chicago Theological Seminary.
Wanabodi,
Angalizo la Nyuzi Ndefu
JF ni user generated forum, ina members wa aina zote na kazi yake ni kuhabarishana, kuelimishana na kuburudishana, na kati ya members hao, kila mmoja anashughuli zake za kumuingizia kipato kuendesha maisha yake, hivyo wao wanaandika jf kama past time tuu, mimi...
Watanzania wanaishi katika maigizo makubwa kuliko “Tausi,” “Siri za Familia,” “Jumba la Dhahabu,” na “Bongo Movie” zote zilizowahi kutengenezwa. Maigizo ambayo kila mtu anajifanya haoni, ilhali moshi wa jiko la taifa unafuka hadharani. Kila mtu anasema “Tatizo ni viongozi” kana kwamba viongozi...
Ni kama vile D9 ina baraka zote za kiroho! Na matendo ya kiroho hayapangwi na binadamu
Vibe ni kubwa mno kuelekea D9 lakini kuna uvumi kila mahali kwamba inaweza isifike huko, na ya kwamba mambo yanaweza kuanza mapema kabisa kuanzia tar 5 na tarehe 9 ikawa ni kilele na hitimisho
Hii ni mada...
Wakati Adv Mahinyila akipambana na Polisi, Godbless Lema akajifanya busy anakwenda kwa Msajili wa Mahakama Kuu. Angalia clip hapa:-
Wakati huohuo Elizabeth Mambosho mwanamama mjumbe wa mkutano mkuu CDM aliweza kumuokoa mwananchi kwenye kundi la askari 30. Angalia clip hapa:-
Chuma hiki hapa;-
Habari zenu Watanzania!
Leo mungu amenipa kibari ili niweze kuongea nanyi machache hasa yanayoendelea hapa nchini kwetu
Kwanza kabisa nataka niwakumbushe hasa kuanzia 2015 hadi 2021 march. Hiki ni kipindi ambacho Taifa letu pendwa lilishuhudia mambo ya ajabu na ya kutisha. Ilikuwa miili ya watu...
Uwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango.
Mpaka sasa katika historia ya Tanganyika na Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri kumzidi...
Kwa mshangao mkubwa waliodhani jahazi lake lazama hali imekuwa kinyume kwani chombo chazidi kukata mawimbi kikisonga mbele kwa kasi kubwa. Kwa bahati mbaya ambacho hawakujua Nahodha ni mzoefu mwenye weledi mkubwa. Niwape uhakika muda siyo mrefu Jahazi laingia Pwani likiwa salama kabisa.
Habari za Sabato watu wa Mungu,
Niende kwenye Mada Kwa ufupi Sana,
Nimewaza mengi lakini kubwa huenda Wazee wetu walioasisi hili Taifa letu (Tanganyika) hakuwa JASIRI kama ambavyo tunawasoma kwenye historia.
Kiongozi shupavu haogopi ushindani, kuwajibika na kukubali ukosoaji mfano tangu...
Niseme tuu kuwa matokeo ya mchezo wa jana yalinihuzunisha sana. Miungu ya mpira ilishindwa kumzawadia PSG kombe pamoja na kwamba mchoni pa wengi ndio ilikuwa timu bora. Mpira ni magoli, Chelsea walifunga magoli na hivyo walistahili kushindi mchezo wa jana.
Lakini inakuwaje timu ambayo kwa...
Maneno hayo yana ukweli mwingi. Kujua Katiba ya nchi yako ni muhimu sana kwa sababu:
Inakupa Ufahamu wa Haki Zako – Unapojua haki zako, huwezi kudhulumiwa kirahisi, na utaweza kuzitetea ipasavyo.
Unajua Wajibu Wako – Katiba siyo tu kuhusu haki, bali pia inabainisha majukumu yako kama raia...
Cheki mwenyewe akiongea mbele ya Rais Lazarus Chakwera
https://www.facebook.com/share/v/1BFDLjgATo/
Kwa msiomfahamu Namadingo mchekini hapa kaimba na Mzee Chalamanda
https://youtu.be/G-EIjsp_Wp4?si=GNWhqGbwY_gqM1nq
Rais Trump wa Marekani anatarajiwa kukutana na Rais Zelensky wa Ukraine, siku ya leo, ikulu ya Marekani White House.
Jana, Rais Trump akisubiria ujio wa Rais Zelensky, alimsifia kiongozi huyo kuwa ni kiongozi jasiri, na kwamba anamheshimu sana.
Rais Trump, alipoulizwa kama yupo tayari kumwomba...
Tunazaliwa katika ulimwengu usiokuwa na hofu lakini ulimwengu wenyewe hututia hofu.
Tunakutana na vitu mbalimbali vinavyotutia hofu katika ulimwengu huu. Japo tunakuwa na ujasiri fulani lazima kuwe na vitu vya kuogopa.
Inawezekana ulivyokuwa mdogo ulikua huogopi baadhi ya vitu lakini kadri...
Hellow Tanganyika!!
Miaka Ile palifana sana kuangalia kipindi Cha Mchakato Majimboni,
Jambo hili lilifanya wagombea wa chama tawala kuhudhuria kipindi sababu usingetokea ungepoteza point Kwa wananchi.
Sasa tunataka tena kipindi hiki kurudi, swali ni nani jasiri wa kukirudisha?
Cc:Pascal...
Nchi yeyote ukipumbaza vijana basi utashinda na ndo ccm ilipofanikiwa.
sasa hivi vijana hawa uwezo wa kushinikiza wapate ajira wao wanakomaa na kamari .
psychologically kamari hua inatengeneza matumaini hewa kwamba ipo siku utawin mwisho wa siku unageuziwa kibao
Katika medani ya kimichezo Tanzania, historia ya kuletwa medali ya kwanza katika mshindano ya kimataifa ilitekelezwa na mwanamama Theresia Dismas
Watanzania hatukumjua na hata tukatabiri kwamba mama yetu Theresia Dismas hayupo duniani kama nilivyowahi kuandika katika blog hii.
Ukweli ni...
Huyu mwamba jasiri alikuja kwa kasi ya moto wa nyika ila kapotea ghafula.
Hatumsikii tena akitoa matamko juu ya ukiukwaji wa haki nchini. Mfano utekaji na kuenguliwa wagombea wa upinzani ktk mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Yupo wapiii?
Pamoja na kukalia kiti cha uraisi kwa kipindi kifupi, marehemu Ebrahim Raisi wa Iran aliyekufa kwa ajali ya helkopta atakumbukwa kama mmoja wa viongozi mashujaa wa nchi hiyo.
Katika kipindi chake vitu vingi visivyotarajiwa kufanywa na nchi ambayo haijatajwa kama nchi iliyoendelea kama zile za...
Japo haijatajwa sababu ya kwann umeshushwa kwenye bajaji na ukapandishwa kwenye bodaboda, lkn mtazamo wa wengi ni kwamba uliendelea kusifia jina la bosi wako wa zamani ukalididimiza na kulidhihaki la huyu wa sasa.
Ukataka kujivika ushofeli na umwamba kwa kuyaazima matendo na maneno ya lile jina...