Sina uhakika ila kila nikiwaza naona kama matrix inaegemea kwa Makamba Junior.
JK, Luten Makamba na Luten Nauye wazazi wa Ridhiwan, January na Nape. Wazazi wamekuwa wote pale Chuo cha Jeshi Monduli na Mzee Kinana.
January personal secretary wa Rais Jakaya, mbio za Urais 2015 kaingia tatu bora...