januari makamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Girland

    Je, tutegemee Ridhiwani kuvaa viatu vya baba yake au bado hana ukomavu wa kisiasa?

    Ndugu zangu, Jana usiku tumepokea taarifa kupitia ukurasa wa Ikulu mawasiliano juu ya Utenguzi na Uteuzi. Habari kubwa ni kuhusu kutenguliwa kwa aliyekuwa waziri wa mambo ya nje ndg January Makamba pamoja na Ndg Nape Nnauye aliyekuwa waziri wa mawasiliano na teknolojia ya Habari. Sasa wengi...
  2. S

    VIDEO: Huu ulikuwa mwanzo wa mwisho wa January

    Huenda huu ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho wa safari ya kisiasa ya Mbunge na mwanasiasa machachari toka Chama tawala nchini Tanzania Bw January Yusuph Makamba. Pia soma > Kuelekea 2025 - Makamba: Hata kama hatumkubali Rais Samia, ni wetu
  3. USSR

    Tetesi: Januari Makamba kugombea Uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika

    Kutoka kona za ikulu asubuhi ya leo ni kuwa Mheshimiwa January Makamba atangaza kugombea uwenyekiti wa tume ya umoja wa Afrika (AU) kutoka nje ya Umoja wa Afrika Mashariki na SADC baada ya mgombea wa swali Raila Odinga kuamua kujiunga na Serikali ya Wiliam Ruto kama alivyotangaza wiki iliyopita...
  4. R

    Mbona Jerry Silaa hajadiliwi kama Nape na Makamba wanavyojadiliwa na kukebehiwa katika kutenguliwa?

    Nimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni? Jerry Silaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa/amehamishwa? Amefanya hitilafu gani hapo ardhi?
  5. BLACK MOVEMENT

    Nape na Makamba ni Mada ya kujadili hii wiki yote jumlisha mada ya Yanga na Simba. Sisi ni wajinga sana

    CCM ni wajanja sana, na hii awamu ya Mama wamekuwa wabunifu zaidi na zaidi. Unaambiwa wajinga wape msosi washibe na baada ya hapo watafutia michezo au Mada then waachie hapo watajadilu hadi kufikia kupigana. Mada ya wiki imetoka na hii itakuwa sapoted na mada za Yanga na Simba, huu ndio ujinga...
  6. Technologiest

    Hongera Rais Samia kwa mabadiliko uliyofanya

    Salaam! Kipekee sijawahi kuandika kuhusu Mhe. Rais ila kwa leo naona nimpongeze kwa teuzi na tenguzi alizofanya kipindi hiki. Haya ni moja ya maamuzi bora sana na ya heshima ameyafanya, katika makosa makubwa ambayo yalikuwa yamefanyika ni kuwaweka jikoni watu wenye tamaa ya madaraka hiyo ni...
  7. D

    Kutenguliwa Nape na Makamba: Nampongeza Rais, walishaanza kujisahau

    Nampongeza Rais wangu ni mtu mtulivu, anakupa muda usipojirekebisha anakuchapa, hongera mama. Nnape ana tabia ya kujisahau, alishaanza kibri kauli ya juzi ni ushahidi, ni mropokaji, anajidanganya CCM inamwogopa, inamtegemea. CCM ni tofauti na vyama vingine, CCM haimtegemei mtu, iko juu ya...
  8. Z

    Januari Makamba atapita njia ya Hayati Lowassa katika safari yake ya kisiasa

    Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa. Atajitahidi sana, atakusanya watu, atakuwa kwenye makundi pendwa na hata nyakati nyingine atafika katika 5...
  9. S

    Picha ya Catherine Magige na Januari Makamba ina uhusiano na kauli za Magige?

    Wiki hii huyu Mwanadada Catherine Magige Mbunge wa Viti Maalum CCM ametrend sana kwenye mitandao baada ya kumshambulia Luhaga Mpina kwa tuhuma alizozitaja magige lakini ikavuja hii picha akiwa na Januari Makamba je kuna uhusiano wowote wa hii picha na maneno ya Catherine
  10. M

    Januari Makamba analaumiwa kwa kosa gani?

    Naomba watanzania wenzangu mnisaidie jambo moja kila siku nikiamka kwenye mitandao nakutana na mijadala mbalimbali inayomkosoa Januari Makamba lakini mpaka sasa najiuliza Makamba amewafanyia nini watanzania hadi mumchukie kiasi hicho? Kosa lake ni nini hasa? kama ni Wizara ya Nishati tayari...
  11. Erythrocyte

    Mvua zinazonyesha haziingizi Maji kwenye Mabwawa ya Umeme, acheni kulaumu kuhusu Mgawo

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza...
  12. Huihui2

    Ushauri kwa Waziri Dotto Biteko: Kama Makamba Ametolewa, Basi na MD wa TANESCO na Bodi nayo itoke

    Kwa hili linaloendelea kuanzia last week linalohusu mgawo wa umeme ambao Maharage Chande anasema haupo bali kuna ratiba ya umeme ni dhahiri matarajio ya Rais Samia aliyoweka kwa Waziri Makamba, Bodi ya Wakurugenzi na MD wao YAMEFELI. Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa...
  13. J

    Kutokea Mambo ya Nje Mkapa na Kikwete walifanikiwa kuwa Rais wa JMT, Salim Ahmed Salim, Migiro na Membe Walifeli. Makamba Jr atafaulu?

    Tunakumbushana tu Kwani hadi sasa Wizara ya Mambo ya Nje ndio inaongoza kwa kutoa Marais Wawili waliongozana hayati Mkapa na mzee Kikwete Lakini MFA inatamba sana kwenye 3 Bora za Kura za Maoni Je, Safari ya CCM kumpeleka January Makamba Ikulu ndio imeanza? Mungu wa mbinguni awabariki sana!
  14. S

    Tetesi: Mwigulu Nchemba na Januari Makamba wakutana kikao cha dharura baada ya Bunge kutoa mwongozo wa Luhaga Mpina

    KUNA tetesi kuwa baada ya Spika wa Bunge leo 28/6/2023 kumtangaza bungeni Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuwa alikuwa sahihi kuhusu kutotekelezwa kwa maagizo ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. Mawaziri Mwigulu Nchemba na Januari Makamba wamekutana kwa kikao cha dharura kujadili uamuzi huo wa...
  15. R

    Januari Makamba hajatoa rushwa kwa Spika wala Wabunge

    Kumekuwa na kelele nyingi wiki hii kwamba Januari Makamba ametoa sijui bilioni 3 kuwahonga Wabunge ili wapiteshe Bajeti yake na kutumia sijui milioni 700 kuhonga Vyombo vya Habari vyote ili visiripoti Michango ya Wabunge wanaokosoa Utendaji wa Wizara. Hizo tuhuma ni za uongo na hazina...
  16. ChoiceVariable

    Bashe usitetereke kama Mwigulu, Januari na Nape. Wamekuona tishio kwenye malengo yao ya Siasa ndio maana wamekushikia bango

    Natoka tahadhari Kwa Bashe, Waliokuwhikia Bango Kwa hoja za kizushi na upuuzi ndio hao hao waliokuwa wamemshikia Bango Mwigulu, January na Nape. Sasa wanaona kabisa unaenda kuwa threats Kwa ambions zao za Kisiasa Kwa vile una deal na sekta ambayo inakufanya kukutana na kucheza na maslahi ya...
  17. saidoo25

    Aweso apanda bodaboda kukagua vyanzo vya maji, wenzake wanatumia Chopa

    WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso kijana wa watu asiye na mbeleko anahangaika kwa usafiri wa bodaboda ili mradi afike ajionee mwenyewe changamoto za maji zinazowakabili wananchi. Wengine watoto wa wakubwa wanatumia Helkopta kukagua vyanzo vya maji vilivyokauka kwa ukame na kusababisha mgao wa umeme...
  18. saidoo25

    "Hatuangalii sura mtu tunataka umeme upatikane katika Bwawa la Mwalimu Nyerere" Mbunge Manyanya

    MBUNGE wa Jimbo la Nyasa, Injinia Stella Martin Manyanya ameweka wazi kutoridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere na kuweza wazi msimamo wake kuwa Tanzania lazima tujitambue na hatutaangalia sura ya mtu bali umeme upatikane Bwawa la Mwalimu Nyerere. "Na...
  19. saidoo25

    Gerald Hando amuuliza Januari, Dkt. Kalemani aliweza vipi umeme haukukatika?

    MTANGAZAJI MAHIRI nchini Tanzania, Gerald Hando amemuuliza Januari Makamba kwanini alipoingia kwenye Wizara hiyo umeme ukaanza kukatika hovyo kwanini asimuulize Kalemani aliwezaje. "Januari Makamba tumuulize swali moja dogo sana Kalemani amekaa miaka 6 umeme haujakatika yeye ameingia tu umeme...
  20. saidoo25

    Kwanini CGTN Africa imempa kisogo January Makamba mradi JNHPP?

    Kitendo cha Televisheni ya Kimataifa ya CGTN Africa kuacha kumpa nafasi Waziri Januari Makamba kwenye ripoti yao kuhusu Bwawa la Nyerere ina maana gani? Pascal Mayalla hii kitaalam mnaitaje Waziri Mwenye dhamana kukosa nafasi ya kutoa taarifa ya mradi.
Back
Top Bottom