janabi

Emad Khudhayir Shahuth al-Janabi (Arabic: عماد خضير شهوته الجنابي) (born c. 1965) was an Iraqi blacksmith detained in Abu Ghraib prison where he alleges he was abused by American military personnel and defense contractors.

View More On Wikipedia.org
  1. Poppy Hatonn

    Prof Janabi anaweza kushinda nafasi ya WHO Africa?

    What is happening ni kwamba Wamarekani waliiahidi Serikali ya Tanzania kuipa chanjo za magonjwa mbali mbali kwa masharti kwamba Tanzania lazima ikubali genetic experiments zifanyike on the Tanzanian population. Yaani hizi genetic experiments zifanyike with no or limited monitoring by our own...
  2. G Sam

    Nataka Profesa Janabi ashindwe kiti cha Ukurugenzi wa WHO

    Huyu Prof. Janabi nataka ashindwe hicho kiti cha Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Nataka ashindwe maana anawakilisha nchi isiyoheshimu utawala kwa kufuata haki zilizo kwenye katiba. Pamoja na katiba yetu hii mbovu lakini bado utawala wa CCM umeshindwa kuifuata na kuzidi kudidimiza haki. Hivyo...
  3. C

    Team ya kampeni ya Prof Janabi ipewe ndege ya ATC kusafiria

    Ili kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
  4. Knock life

    Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .

    Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
  5. and 998 others

    Nafasi ya Janabi kushinda WHO ni finyu

    Mwamba kwenye CV yake hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
  6. J

    PreGE2025 Mbeya Mjini ni vigumu sana Wasafwa kupata Ubunge, ni Jimbo la wageni kama Arusha Mjini

    Watu wengi wanaamini Wenyeji wa Mbeya Mjini ni Wanyakyusa na Wasafwa kwao ni Mbeya Vijijini Lakini ukweli ni Kuwa Mbeya Mjini na Vijijini kote ni Kwa Wasafwa ila inasemekana Wasafwa ni Watu wataratibu sana wasiopenda kabisa mambo ya siasa Wao wamejikita zaidi kwenye mambo ya Dini hasa Misikiti...
  7. Allen Kilewella

    Hivi marehemu Ndugulile alipigiwa Kampeni kama hizi anazopigiwa Profesa Janabi?

    Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana. Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea? Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
  8. and 998 others

    Janabi apewe hadhi ya Ubalozi kisha ateuliwe Waziri itainua CV yake huko WHO

    Mwamba apewe; 1. Hadhi ya Ubalozi, 2. Ateuliwe Ubunge [viti maalum], 3. Apewe Uwaziri hata kwa siku chache tu, hili litainua CV yake huko WHO. **Vinginevyo mchuano ni mkali na kule huwezi kuiba kura. ***Kura zilindwe na Polisi wetu, kisha mshindi atangazwe usiku wa manane.
  9. L

    VIDEO: Rais Samia amuombea kura za Ukurugenzi wa WHO Mohammedi Janabi

    Ndugu zangu Watanzania, Nashindwa niandike nini ,nashindwa niseme nini ,nashindwa nieleze vipi juu ya uwezo mkubwa wa kiakili alionao na aliojaliwa kuwa nao Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Rais Samia ni Mpango wa Mungu,ni chaguo la Mungu na kapewa akili nyingi na...
  10. Tlaatlaah

    Prof. Mohamed Janabi ana nafasi kubwa zaidi ya kuchaguliwa kua mkurugenzi mtendaji wa who kanada ya Afrika

    Licha ya kua ana sifa zote, vigezo na masharti tajika ya kitaaluma kulingana wajibu anaoelekea kuutwaa, uzoefu usio na shaka wa Prof.Janabi katika kazi za kada ya Afya kitaifa na kimataifa ni wa kuaminika. Lakini pia umahiri, bidii na ubobevu wake katika masuala ya tiba na tafiti mbalimbali za...
  11. GENTAMYCINE

    Huu Uzi wangu wa kuhusu hiki alichosema Profesa Janabi umefutwa kwa sababu gani labda?

    Profesa Janabi: Kama hutoi haja kubwa (hunyi / huukweki) mililita 800 au lita 2 za Nnya (Kinyesi) kwa Siku una tatizo kubwa la Kiafya. Na chanzo cha Taarifa hiyo niliitoa GlobatvOnline.
  12. milele amina

    Professor Janabi is set to compete with other candidates in a debate for the position of Director of the WHO Africa Region on April 2,2025

    Professor Janabi is set to compete with other candidates in a debate for the position of Director of the WHO Africa Region on April 2. I feel a sense of sympathy for him, as many Tanzanians are often hesitant to engage in debates like this. This fear can be attributed to several factors that...
  13. C

    Kenya wanampambania Nduta asinyongwe Vietnam Vs TZ tupambanie Janabi ashinde WHO Africa

    1. Kama Taifa twende na Professor Mkuu Janabi (PhD) ili ashinde huko WHO Africa (baada ya Dr Ndugulile kufariki dunia) Diplomasia yetu ikue. 2. Tujifunze kwa majirani wao wamempambania Odinga Africa Union na sasa Nduta asile kitanzi huko Vietnam.
  14. Kabende Msakila

    Watanzania tufanye nini ili kusaidia ushindi wa Prof. Janabi?

    Watanzania, Salaam! Ndugu yetu prof Mohammed Janabi amekuwa mstari wa mbele kujitoa kwa ajili ya afya na maisha yetu. Huu ni upendo na uzalendo wa hali ya juu. # Amekuwa Mwl mzuri; # Amekuwa kiongozi mwema; # Amekuwa mwakilishi mwema wa kundi la utabibu. Kutokana na mchango wake kwetu tuna...
  15. C

    Jenista Mhagama jitokeze kumnadi Prof Janabi ashinde WHO

    1. Waziri mwenye dhamana jitokeze kumnadi Mgombea wetu huko WHO. Akishinda Prof tumeshinda Tanzania nzima (bila kujali kabila wala Dini) 2. Nenda G20, AU, ECOWAS , COMESA, IGAD, EAC, Vatican na tumia network yako mliosoma nao Harvard University. 3. Mwijaku, Babalevo na Steve Nyenyere...
  16. GENTAMYCINE

    Profesa Janabi: Kama humsamehi yule aliyekukosea jiandae Kuugua Presha na Kisukari kwa pamoja

    Profesa Janabi Mimi GENTAMYCINE nipo tayari Kuugua vyote ila kuna Wapumbavu fulani kamwe sitowasamehe abadani. Na uzuri ni kwamba kila baada ya miezi mitatu napima haya Magonjwa yako tajwa na namshukuru Mungu nipo salama.
  17. Just Pray

    Makonda: Nyama tuliyochoma Arusha haina uhusiano wowote na mafundisho ya Dkt. Janabi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametania kuwa nyama choma ya Arusha haina uhusiano wowote na mafundisho ya Dkt. Janabi kuhusu masuala ya afya. "Mhe. Rais, sherehe zetu zilihitimishwa jana na ulaji wa nyama... Nyama ya Mkoa wa Arusha haina uhusiano na mafundisho ya Dkt. Janabi. Sisi...
  18. P

    Dr. Janabi hujaliona hili? chuo chetu kikuu hakiruhusu wanachuo kuingia na maji ya kunywa maktaba

    Kuna taratibu zingine ukizikuta unaanza kujiuliza hawa waliwaza nini? Kwa aina ya viongozi waliopo pale chuoni kwetu sina shaka wote wanajua umuhimu wa kunywa maji kila wakati ili Ubongo ufanye kazi vizuri. Sasa inakuaje mwanafunzi anaingia maktaba anakatazwa kubeba maji ya kunywa na kule...
  19. Just Pray

    Prof. Janabi: Kula mlo mmoja hurefusha maisha

    “Wale watu wanaokula mara nyingi, wanaokula mara kwa mara wanakuwa hawana muda wa kuunguza mafuta. Wanaofunga muda mrefu wanakuwa na muda mrefu pia wa kuunguza mafuta ya Mwili. Kuna magonjwa mengi yanayosababishwa na ulaji wetu wa mara kwa mara. Ukitaka kinga ya mwili iwe juu na kurefusha...
  20. B

    Kugombana na mwenzio inapunguza Kinga za mwili: Profesa Janabi

    MKURUGENZI WA MNH: UGOMVI NA MWENZA WAKO UNAWEZA KUPUNGUZA KINGA YA MWILI Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Mohammed Janabi, ametoa ufafanuzi wa kitaalamu kuhusu athari za ugomvi na mwenza kwenye afya ya mwili, akibainisha kuwa hali hiyo inaweza kupunguza kinga ya...
Back
Top Bottom