janabi

Emad Khudhayir Shahuth al-Janabi (Arabic: عماد خضير شهوته الجنابي) (born c. 1965) was an Iraqi blacksmith detained in Abu Ghraib prison where he alleges he was abused by American military personnel and defense contractors.

View More On Wikipedia.org
  1. ngara23

    Profesor Janabi asisitiza kuzingatia ulaji sahihi kipindi cha sikukuu, hasa kuepuka pilau na nyama

    Mkurugenzi wa shirika la afya duniani ( WHO) ukanda wa Africa, Professor Janabi Amesisitiza wananchi kuepuka pilau na nyama Kwakuwa ni Milo yenye madhara kiafya Pia ameshauri watu kuacha kutumia soda na beer 🍺 siku hiyo Badala yake ameshauri watu wale matunda, mboga za Majani na maji mengi
  2. JamiiCheck

    SI KWELI Prof. Janabi dawa ya ugonjwa wa presha

  3. Medecin

    Tangu mwaka umeanza nimeishi kama anavyotaka Prof. Janabi, leo asubuhi nimeanguka kwa njaa

    Habari za leo wakuu Mimi ni kijana wa makamo, wakati fulani nilikuwa nikimsikiliza sana Prof. Mohamed Janabi kuhusu ulaji na mtindo Bora wa maisha, awali nilikuwa nakula kutwa mara tatu sana sana vyakula vya mafuta na sukari nyingi ikiwemo ngano na ugali lakini baada ya kusikiliza ushauri wa...
  4. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yatoa zawadi kwa watoto Muhimbili, yamuaga Profesa Janabi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akimkabidhi zawadi Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Profesa Mohammed Janabi kumtakia utumishi mwema wa majukumu anayoenda kuyaanza hivi punde. Hafla hiyo fupi ilifanyika katika Hospitali ya Taifa...
  5. Waufukweni

    Mke wa Prof. Janabi alivyosimamishwa Wabunge wamuone

    Wabunge wameibua shangwe baada ya kutambulishwa kwa Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, pamoja na Dk Magdalena Lyimo, mjane wa Dk Faustine Ndugulile. Tukio hilo limefanyika leo Juni 2, 2025, wakati wa kikao cha Bunge jijini Dodoma, wakati Waziri...
  6. Just Pray

    Spika Tulia amtaja Janabi, asema ni kwa juhudi za Rais Samia Tanzania imepata viongozi katika taasisi za kimataifa na sio juhudi binafsi za wahusika

    "Mh. Rais umewezesha watanzania wengi kupata nafasi za uongozi katika taasisi za kikanda na kimataifa. Mfanao ya hao viongozi mmojawapo ni Prof. Mohammed Janabi aliyechaguliwa kuwa mkurugenzi wa shirika la afya (WHO) duniani kanda ya Afrika. Aidha leo hii mimi nimesimama mbele yako pamoja na...
  7. OLS

    Kampeni za kumfanya Janabi awe Mkurugenzi wa WHO zinaweza kuwa sababu ya kuondosha ndoto hiyo

    Nimekutana na andiko linalokosoa kampeni zilizomfanya Janabi ashinde, andiko hili sijaona muandishi wake lakini lina mashiko kwa namna moja au nyingine. Ikumbukwe Ndugulile alishinda bila kampeni kama zilivyokuwa kwa dr Janabi, yaani wanasema kinachohitajika ni discreet diplomacy. Makosa...
  8. funaku

    CCM Yatoa pongezi kwa Mkurugenzi Mteule wa WHO kanda ya Afrika Dr. Yakub Janabi

    CCM Inamtakia mafanikio mema katika majukumu yake mapya.
  9. Stephano Mgendanyi

    Cheers Prof. Janabi for WHO Afro Director Election Trust!

    Cheers Prof. Janabi for WHO Afro Director Election Trust! I ‘m humbly writing this congratulatory massage to eagerly create a lasting impression of the same on your desk! I sincerely reiterate my proudly congratulation yet, extremely welcoming the trust WHO Afro member states bestowed on...
  10. meningitis

    Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO

    Hii ni taarifa ya hivi punde. Prof. Mohamed Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili amechaguliwa kuongoza Shirika la Afya Duniani ukanda wa Africa. Pongezi nyingi kwake na watanzania. =============== Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa...
  11. Kusini pride

    Baada ya janabi kushinda naona taasisi za kiislamu zinampongeza tofauti na alivyoshinda ndungulile

    Hii umenisgangaza sana sijajua kwanini wakuu labda wengine mnifafanulie naona baada ya kushinda janabi kuwa mkurugenzi wa WHO africa naona taasisi nyingi za kiislamu zinampongeza tofauti na ushindi wa ndungulile naona taasisi nyingi za kiislamu zilikaa kimya ila taasisis za kikiristo ndizo...
  12. Dr Adam Francis

    Hongera Prof. Mohammed Janabi, Mkurugenzi WHO Afrika

    Hakuna jambo linafurahisha kama kuona mtanzania mwenzetu anapata mafanikio makubwa kimataifa. Sisi watanzania wazalendo tumeupokea taarifa za kuchaguliwa kwako kuwa mkurugenzi wa WHO Afrika matumaini makubwa. Nafasi aliyoipata Prof. Janabi ni ushindi wetu watanzania kama Taifa. Katika hili...
  13. The introvert

    Tanzania itanufaika vipi na uteuzi wa Prof. Janabi WHO

    Kwanza napenda kumpongeza Prof. Mohamed Yakub Janab kuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kipindi cha 2025–2030. Napenda kufahamu sisi kama watanzania pamoja na nchi kwa ujumla tutanufaika vipi na uteuzi huu. Naomba kuwasilisha The introvent ✍️ Soma...
  14. L

    Ushindi Wa Professa Janabi Wanibubujisha Machozi Ya Furaha nikiwa Nimepiga Magoti Mbele Ya Picha Ya Rais Samia Kumshukuru kwa Ushindi huu aliotupatia.

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ni Ushindi wa kihistoria,Ni Ushindi wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini...
  15. Ojuolegbha

    Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika

    Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika unaofanyika leo Jumapili Mei 18, 2025 akijinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Bara la Afrika na kuwaomba kumuunga mkono
  16. L

    Moshi Mweupe Wafuka Juu Ya Bendera Ya Tanzania Geneva Uswisi. Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea

    Ndugu zangu Watanzania, Moshi Mweupe Wafuka Juu ya Bendera Yetu ya Tanzania Geneva Uswisi. Yatabiliwa Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea kwa mara nyingine tena katika kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika. Hii ni kutokana na uungwaji mkono mkubwa...
  17. Kijakazi

    WHO inamuita Janabi pia profesa?

    kwa wanaofwatilia mgombea wa tanzagiza huko geneva, ningependa kujua huko who officialy wanamtambulishaje? je, wanamuita profesa Janabi pia kama sisi tanzagiza au wanamtambulishaje?
  18. Roving Journalist

    Kikao Maalum cha Pili cha Kamati ya Kanda ya WHO kwa Afrika. Prof Janabi anamwaga sera

    https://www.youtube.com/live/vVff21KwD50?si=4cn52B2JbabvDOdb The second special session of the WHO Regional Committee for Africa will be held in a virtual format on 18 May 2025 under Special procedures for the conduct of the virtual special session of the Regional Committee for Africa. The...
  19. SSH2025_2030

    Janabi akishindwa WHO itakua aibu kwetu, apikwe kijadi pia

    Mheshimiwa Janabi akishindwa huko WHO aibu inarudi kwetu. Tafadhali apelekwe Mlingotini apikwe kijadi pia. Siku ya kupiga Kura hao wapigaji Kura waone jina lake tu.
  20. C

    Profesa Janabi atambulishwe rasmi bungeni

    1. Ingependeza Prof atambulishwe rasmi kama Mgombea wa nafasi ya Mkurugenzi wa WHO Africa ili kuongeza hamasa. 2. Pia, akabidhiwe ilani na bendera ya Chama.
Back
Top Bottom