jana

Jana Sena or Jana Sena Party (JSP) (People's Army Party) is an Indian Regional political party based in Andhra Pradesh and Telangana, India. It was founded by Tollywood actor and politician Pawan Kalyan on 14 March 2014. Jana Sena means "People's Army" in Telugu. The motto of the party is "fight for the rights of each and every common person".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Muhogo mchungu kweli... Kama wizara mngekemea madudu ya TFF na bodi ya ligi kwa mechi na Simba mngejua hakuna lawama mechi ya jana

    Nimeshangazwa kama sio kusikitishwa na andiko la Naibu Waziri Kilocho nishangaza Naibu Waziri anashangaa na maamuzi ya mwamuzi , lakini katika Ligi yake ya ndani maamuzi kama hayo yamekuwa yakifanyika na Simba amekuwa amekuwa kimyaaaaa , Mechi ya mashujaa inatosha kabisa kuonesha kuwa huyu...
  2. JamiiForums Tanzania Mh rais huyu Razaro Twenge wa TANESCO sisi watu wa kiruvya kisarawe tumemkosea nini tangu jana hakuna umeme.

    Mh Rais Samia suluhu Hasan nakupa hongera kwa kusimamia utekelezaji wa ilani hasa suala la upatikanaji wa umeme wa uhakika ila kuna tatizo pia . Tangu huyu DG mpya aingie ofisini na kuapa sisi wakati wa kiruvya, kisarawe, kwa omar,kwa sumaye ,makulunge hadi kwa masista hatuna umeme tangu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kaniacha kisa jana nimelala lock up.

    Wakuu Chemistry ya wanawake inanishangaza sana. Well saivi me ni jobless tu niko kitaa naunga unga maisha baada ya kuzinguana na aliyekua mwajiri wangu. Sasa jana mtaani kwetu sikujua kama kulikua na operation ya police kukamata wazururaji na watu wanaokunywa pombe muda wa kazi. Me kwenye saa...
  4. JamiiForums Tanzania Matokeo niliyoyaona jana usiku Simba SC 🆚 Rs Berkane

    Jana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco. Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali yajibu akaunti kudukuliwa jana, wasema mifumo iko salama

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema kuwa baadhi ya akaunti za mitandao ya kijamii za taasisi za Serikali zilidukuliwa kutokana na udhaifu wa taratibu za kiusalama katika usimamizi wa akaunti hizo. Akizungumza bungeni jijini Dodoma leo Jumatano Mei 21, 2025, Waziri...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugu wa Yahya Sinwar na Mohamed Sinwar Zacharia Sinwar naye Jana aliangamizwa!!!

    Mdogo wa mwisho wa Yahya Sinwar na Mohamed Sinwar Zacharia Sinwar ambaye alikuwa Professor katika chuo kiislamu huko Knan Younis naye jana alilazimishwa kuwafuata ndugu zake walioangamizwa na majeshi ya Israel. Zacharia Sinwar aliuwawa jana na mashambulizi ya ndege yaliyofanywa huko Khan...
  7. JamiiForums Tanzania Kisa Simba tovuti ya CAF jana ilitembelewa na watu bilioni 1.3

    Haijawahi kutokea katika historia ya mpira wa Africa tovuti kutembelewa na watu wengi kwa wakati mmoja kama jana Baada ya CAF kutoa tamko la kubadili uwanja ,tovuti yao ilitembelewa na waru zaidi ya bilioni 1.3 Kweli Simba ni brand kubwa
  8. JamiiForums Tanzania Wanafamilia wa JF, Jana tarehe 13 mimi na shemeji yenu tumefanikiwa kuijaza Dunia kwa mara nyingine

    Asante mama la mama kwa ZAWADI hii ya kidume #no reform no election
  9. JamiiForums Tanzania Jana nimelala geto kwa demu wangu huko mbagala leo nimeamka hivi, nisaidieni kujua hii ni condition gani?

    Wakuu! Jana nimelala geto kwa demu wangu huko mbagala leo nimeamka hivi, nisaidieni kujua hii ni condition gani?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Jana Nusu Fainali Inter Milan vs Barcelona pale Giussepe Meaza

    1. Kama hukuangalia gemu ya jana baina ya Inter Milan vs Barcelona basi umekosa raha ya dunia, it was a real outstanding kama alivyokuwa akisema commentator.Gemu ya kasi sana, uwezo, ufundi, ujuzi na mbinu za hali ya juu zilizopelekea gemu kwenda extra time. 2.Nimejifunza kuwa timu hata...
  11. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Askofu Ruwaichi: Unajua kuwa NSSF, DCI, DPP na PCCB wanatumia Msimbazi Center kama "Kidnapping Center" ya wadeni wa NSSF tangu jana?

    Askofu Jude Thadeus Ruwaichi, JImbo Kuu la Dar es Salaam kilipo Kituo cha Msimbazi Nchini Tanzania, utekaji haramu ni kosa la jinai chini ya kifungu cha 253 cha Sheria ya Makosa ya Jinai, Sura ya 16, Toleo la 2022. Kifungu hiki kinasema kwamba: “Mtu yeyote ambaye anamteka mtu mwingine kinyume...
  12. JamiiForums Tanzania Jana Mbunge wa Kenya kauliwa na huku kwetu kiongozi wa kidini kavamiwa. It makes you wonder kwamba je wewe mpambanaji wa kawaida what worst can happen

    Aisee, Amani na Utulivu ndio tumaini la mwisho katika ubinadamu ila kwa bahati mbaya kwa baadhi ya watu sio kitu cha thamani kwao. Nawatakia Amani ndugu zangu.
  13. JamiiForums Tanzania Ni kweli Kipa Camara tunampenda na Katusaidia sana, ila aambiwe Ukweli kuwa Jana ilibakia kidogo tu angetugharimu hasa Kinidhamu

    Aina ya ule upotezaji wake wa Muda kuna mahala ulikuwa unaonekana kabisa kuwa alikuwa akiitafuta ama Kadi ya Njano au Nyekundu kwa lazima ili labda Timu idhoofike au asicheze Fainali ya CAFCC kama Timu ingefuzu au labda huku Kusifiwa kwingi Kwake kumeshamharibu na anajiona Peter Shilton wa zama...
  14. JamiiForums Tanzania Je, kwa kilichotokea Jana pale Durban hasa kwa Stellenbosch FC kukosa Haki zao katika Matukio Mawili ya VAR tunaamini kuwa BAHATI ipo Maishani?

    Mimi ni Simba SC damu damu ila labda tu uwe ni Mpumbavu, Mshamba na huujui Mpira na wala hujaucheza pia ndiyo yo utaweza Kukataa kuwa yale Matukio yote Makubwa mawili yaliyopelekea Mwamuzi kutumia VAR kuyaamua yalikuwa ni sahihi ila ni BAHATI tu na NYOTA ya Siku ndiyo viliibeba Simba SC yetu...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna zile IDs za wana Simba SC ziliiombea mabaya Jana kwakuwa tu Rais Samia aliipa Simba SC Ndege, chonde naziomba ziendelee kuiombea mabaya Simba SC

    Kuna Watu hapa JamiiForums ni Wapumbavu (Mapopoma) hadi basi. Hivi unajijua kabisa Wewe ni mwana Simba SC na unajulikana hapa lakini kwa CHUKI ZAKO TU ZA KISIASA (za CHADEMA na CCM) unaiombea Simba SC mabaya huko Afrika Kusini katika Mechi yake ya Jana dhidi ya Stellenbosch FC na hadi Kuilaani...
  16. JamiiForums Tanzania Vikosi vya Al-Qassam:Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na maafisa wa Jeshi la Israel

    Wanaukumbi. BREAKING: Al-Qassam Brigades: Yesterday, we successfully sniped four soldiers and officers of the Israeli occupation army, killing and wounding them east of the town of Beit Hanoun. ================ BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam: Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Irresistible logical conclusion kutokana na matendo yaliyofanywa jana na polisi kwa wafuasi wa Chadema ni ipi?

    1. Naration za waathirika lo makao makuu ya Chadema 2. Waliokwenda kuwa damped ni kule kule ambako maiti nyingi zilionekana miaka yote ya nyuma 3. Aina ya mateso na alama ambazo maiti zinazookotwa coco beach na Ununio ni identcal na za jana! CONCLUSION; matukio yote ya kupotea kwa watu...
  18. JamiiForums Tanzania Matendo ya polisi Mahakama ya Kisutu jana, yanafanana kundi la vichaa waliopewa marungu na kuachiwa watembee mitaani kumpiga kila waliyekutana naye..!

    Polisi kiuhalisia kazi ya kubwa ni "ku - mantain law and legal orders" ambayo imewekwa ktk lugha rahisi ya "kulinda usalama wa raia na mali zao..." Katika ku - maintain law and orders, moja ya jukumu lao la kwanza kabisa ni kuzuia uhalifu usitokee kwa kudhibiti visababishi.... Ikitokea kuna...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa tukio la jana la Mahakama ya Kisutu, bado uongozi wa chadema haujawaelewa G55 kwamba ni vigumu kuzuia uchaguzi kwa maandamano?

    Wahenga wanasema, shetani akitaka kukusababishia majanga, kwanza lazima akupe kiburi cha kukataa kila ushauri. Kama unaumwa, kwa makusudi unakataa kwenda hospitali, kama mto umejaa maji, unaambiwa usivuke, kwa kiburi unavuka. Kama ilikuwa ni ku-test theory, jana chadema wameona. Wana chadema...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ya Jana yameshapita, tugange ya tarehe 27 na ushauri wangu kikosi kiwe hivi ili kuiondosha Stellenbosch

    Stellenbosch atakufa kwa kikosi hiki tu na sio vinginevyo 1. Camara 2.Kapombe 3. Nouma 4.Che Malone kama amepona 5.Hamza 6.Kagoma 7.Kibu 8.Okajepha 9.Ateba 10.Mavambo 11. Mpanzu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…