Ukiangalia gemu ya jana Yanga anakula vyuma vitatu dhidi ya waAlgeria ni kama Jana Yanga walijisahau wakahisi wanacheza na Pamba ya Mwanza au Lipuli ya Iringa na kusahau wale ni professional players wamekamilika kila idara.
Ukifanya kosa moja tu lazima watakuadhibu na Yanga walifanya makosa...