jana

Jana Sena or Jana Sena Party (JSP) (People's Army Party) is an Indian Regional political party based in Andhra Pradesh and Telangana, India. It was founded by Tollywood actor and politician Pawan Kalyan on 14 March 2014. Jana Sena means "People's Army" in Telugu. The motto of the party is "fight for the rights of each and every common person".

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Lissu Inatakiwa Afunguliwe Mashtaka Mapya Kabisa na kufanya Uchunguzi Juu ya Kauli zake zilizotolewa Mwaka jana kabla ya Uchaguzi.

    Ndugu Zangu Watanzania, Lissu inatakiwa Afunguliwe Mashtaka Mapya Kabisa na kuanza kufanya uchunguzi wa kauli zake ambazo alikuwa akizitoa Mwaka jana kabla ya Uchaguzi. Ikumbukwe lissu Alitoa kauli za Uchochezi sana ambazo kwa kiasi kikubwa zilikuwa zinajenga hofu kwa watu na kuleta...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo ndege inavyoanza safari Leo na kufika Jana.

    Je, umewahi kusikia kuhusu mtu anayepanda ndege leo, lakini akatua mahali anapoenda tarehe ya jana yake? Inaonekana kama muujiza au filamu ya kubuni, lakini huu ni ukweli halisi unaotokea kila siku katika usafiri wa anga ulimwenguni. Siri kubwa haitokani na kasi ya ajabu ya ndege, bali...
  3. JamiiForums Tanzania Tulia uko wapi mbona husemu neno?. Mwakalenga jana katapeliwa

    Wakuu kwema? Asee jana nilipata wasaa wa kucheka na kulia kwa pamoja. Pamoja na taarifa kusambazwa na kujadiliwa kila.mahala bado kuna watu wanaendelea kutapeliwa na hawa jamaa wa mikopo online. Tulia trust mikopo wamemtapeli jamaa mmoja muendesha bulldoza hapa Unguja jana. Kalipa laki 3 na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ujambazi mkubwa umefanyika jana Katoro. Maduka ya M-pesa yameporwa pesa. Milio ya bunduki ilirindima watu wakajifungia uvunguni

    Inasemekana Majambazi yakiwa na bunduki yamevamia maduka ya fedha maarufu kama M pesa na kupora mamilioni ya fedha. Tukio hili limetokea Katoro hapo jana siku ya tar 10 majira ya saa mbili usiku. My take; Majambazi yanapalia timing Katoro sababu ya watu wa katoro kujionyesha kuwa wana hela na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Najaribu kupiga bajeti ya tume ya jana kutoka Namibia, Uganda na Tanzania

    Hypothetical budget Makamishina 6. Kila mmoja posho zooote....ie siting allowance, per diem, "salary "trànsport etc etc... yaani kama wabunge wanavyokula posho na mshahara......combine all.......1,500 USD per day per head Siku 150 x 1,500 per day x 6= 9,000,000 USD Roughly 9,000,000 USD for the...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Jana NMB wamenitumia Trion 10 Kwa makosa

    NMB plz msiniingize majalibuni na Sina tamaa Kwa pesa ambayo siyo haki yangu na jasho langu,kuweni makini mtakuja kukosea Kwa vishoka hatimae kiwe kilio kwenu. Jana mmenitumia TZS 10,024,061,002,406 = Shilingi trilioni 10.024 (takribani) na sikutoa hata mia ndani ya dakika 45 hivi ndo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lucy Komba: Naomba msamaha kwa maandamano ya mwaka jana

    Mwigizaji wa zamani wa maigizo lucy Komba ameomba msamaha kwa Serikali na wananchi wa Tanzania kufuatia mjadala ulioibuka baada ya kuwa moja ya watu waliowahi kuzua kauli tata za maandamano Mwaka Jana. Baadhi ya wananchi na watumiaji wa mitandao ya kijamii wanamtuhumu Lucy Komba kuwa alikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kuna bus zilizokua na Aura kama Sauli Luxury 2018-2024 Mikoa ya nyanda za Juu kusini?

    Salaam.. Naam kama Heading inavyojieleza hapo, hizi bus zimetuachia kumbukumbu nyingi tamu katika miaka hapo tajwa kwa wasafiri wa Nyanda juu kusini. Mkurugenzi wa hizo bus Hayati Solomon Mwakadabila sijui alizipa maelekezo vyuma vilikua masaa muda wote hakuna kupoa upande yoyote ilimradi iwe...
  9. JamiiForums Tanzania Etwege wa leo sio Etwege wa jana. Kweli Ukombozi umefika kwa watu wake Mungu

    Nimemusoma uku machozi ya furaha yakinibubujika. Ukombozi umekaribia kabisa upo mlangoni maana waliokua vipofu sasa wanaona na kuutanbua ukweli wote bila kubakiza kitu WATU WA MUNGU WTARUDI KWAKE NA WASHETANI WATABAKI KUWA WAKE SHETANI SIKU ZOTE.Huyu alikuwa mtu wa Mungu amerudi kwa mola ake...
  10. JamiiForums Tanzania CENTCOM imekiri kuuliwa kwa baadhi ya wanajeshi wa kimarekani kadhaa nchini Jordan baada ya mashambulizi ya makombora balistiki ya Iran usiku wa Jana

    Wanajeshi wawili waliokuwa wanatumikia jeshi la Marekani chini Jordan, wameuwawa kwa makombora ya balistiki ya Iran yaliyovurumishwa usiku wa jana kwenye kambi kadhaa za Marekani Mmoja wa wanajeshi hao haonekani alipo mpaka muda huu Ikumbukwe, jeshi la ulinzi la Jordan ilisema lilifanikiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Aibu ya Kuzomewa Jana, Leo Ma CCM hayajaonekana BSS

    Millennials na GenZ Shikamooo 🤣🤣🤣
  12. JamiiForums Tanzania Tukio la Jana Lisigeuze Mgawanyiko

    Tukio la jana lisigeuzwe kuwa mtaji wa kuongeza mgawanyiko. Kuna nyakati ambazo taifa hujaribiwa si kwa ukubwa wa tukio lililotokea bali kwa namna tunavyoamua kulitafsiri. Tukio la jana linaweza kuonekana tofauti kwa watu tofauti. Wapo watakaoona ni ishara ya uhuru wa maoni wapo watakaoona...
  13. JamiiForums Tanzania Ni furaha ilioje jana watu weusi wameshinda. Nimelala kwa furaha sana

    Jana team yetu weusi imeshinda dhidi ya weupe. Kiukweli nliombea sana hilo litokee sababu sikupenda wale weupe wapate ushindi. Mbape, Dembele hawa asili yao ni huku huku kwetu nimefuatilia kumbe Kylian ni Mnyakyusa kabisa. KYLIAN MWAMBAPE na Dembele ni Mnyamwezi. Nikaona hawa ndo wenyewe...
  14. JamiiForums Tanzania Jana bwana Hiyo nikapata demu watatu wakanipeleka jakuzi

    Nimechelewa kuamka mgongo unauma sana Mbaga Jr ninafuata ushauri wako ni kuwala tu 😀 Baada ya mechi ya ureno nikawa na mademu tumezoena sikutumia hata mia Jana wao ndo walinunua, wakanipa na pizza za free kumbe washaambizana kwamba huyu ni Hatari wanataka ku test ice cream nyeusi dadek! Kwanza...
  15. JamiiForums Tanzania Jana ilikuwa Hatari mademu kama wote

    Ndo narejea home sasa , hizi tatu sum kwenye majakuzi Hatari ni Hatari Nitoe hangover niwape mkasa, ukijisahau wanakanya balls 😀
  16. JamiiForums Tanzania "Gaidi" wa jana anaweza kuwa shujaa wa leo? Historia ya Israel ambayo wengi hawaijui

    Kila mara tunaposikia kuhusu Mashariki ya Kati, jina la Hamas huibuka haraka na mara nyingi hufuatwa na neno ugaidi. Lakini historia ina ukurasa ambao watu wengi hawaujui au hawapendi kuuzungumzia. Kabla ya Israel kuzaliwa mwaka 1948, harakati za Kizayuni nazo zilikuwa na makundi ya "kigaidi"...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna member mzanzibari mwenye asili ya asia nae alifariki mwaka jana mwezi wa tano au sio wasita, tumuombee nae

    Huyu mzanzibari alikua kama anko wangu nadhani jamii forum ndo iliyo tufanya tuwe kama ndugu, mi nilikua nimeajiriwa na mdogo wake wa kike, ndo tulipo fahamiana hapo. Alikua anafanya kazi smz kama si ardhi, basi mambo ya ujenzi sijui sikumchinguza sana, alikua akiishi stone town, mwaka Jana...
  18. JamiiForums Tanzania Hahahaha ndo nimejua kumbe internet ilizimwa na serikali 29/10/2025, Grid ya Taifa ilizimwa na heche na wenzake ili walipindue Taifa Jana?🤣🤣🤣🤣

    Naanza kuwajua WABAYA wa Taifa letu taratibu Sasa Umeme ni kitu MUHIMU saa kwa ulinzi wa Taifa letu😅 Internet ni MUHIMU sana kwa wapinzani wakitaka kupindua inji yetu ya Tanzania. Naelewa Sasa kumbe gridi ya Taifa Jana ilizimwa na heche na wenzake wakina Tundu Lissu ili walipindue inji yetu...
  19. JamiiForums Tanzania Unakutana na jamaa kapiga suti imekaa yupo kiheshima, kumbe hajala toka jana usiku

    Hapana lazma upate vidonda vya tumbo siku Wanawake watatumia mgodi waliopewa bure na Mungu Wale wanaume wasiojua kukaza ndo tunawapoteza kabsa kundini, wanahamia upande wa umamani Wale wabishi ndo tunaenda kaz ngumu na kuacha elimu na aibu za kijinga pemben Wale wachagua kaz pia wanaamia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Leo Hispania atajua kuwa jana siyo leo!!: Go Cape/Cabo Verde Go!!

    Kama kuna maajabu nahisi dunia itayashuhudia leo ni Cape Verde kumkomalia Hispania!! Ķuna uwezekano mkubwa sana (90%) Cape Verde akaibuka kidedea mechi ya leo kombe la dunia!! Huu uzi ukisinzia nina uhakika utaamshwa baada ya kipyenga cha mwisho!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…