jamiiforums

About Jamii Forums
logox.png

JAMII FORUMS (JF) is a Non-Governmental Organization that advocates and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. It has helped Human Rights Defenders to remain safe online, enhance digital skills for various CSOs and using content engagement in amplifying their work on its platforms across Social Media.

JF operates JamiiForums.com, Tanzania’s famous digital content platform with its Social Media pages, well known for Stories of Change with a proven track record in public engagement around critical social issues reaching over 3,000,000 people daily. JamiiForums.com was found in March 2006.


Focus Areas
  • Amplification of Citizen Voices
  • Access to the Right Information
  • Data Privacy and Protection
  • Digital Rights Advocacy
  • Promotion of Stories of Change
  1. M

    The JamiiForums Case: High Court Clears Way for Landmark Digital Rights Trial in Tanzania

    March 25, 2026 DODOMA, TANZANIA – In a major victory for digital freedom advocates across Africa, the High Court of Tanzania has dismissed a series of government attempts to block a constitutional challenge against the 90-day suspension of JamiiForums. The ruling, delivered on March 16, 2026...
  2. Maxence Melo

    Shiriki Katika Kudumisha Ubora na Usalama wa JamiiForums, tumia REPORT button

    Wakuu, Salamu nyingi kwenu, wanachama (wana JF) na wageni wote mnaotembelea JamiiForums! Tunayo furaha kubwa kuendelea kuwa nanyi katika jukwaa hili muhimu ambalo limekuwa kitovu cha fikra, maarifa, na uhuru wa kutoa maoni kwa staha. Ili kuendelea kufurahia mijadala yenye tija na kuhakikisha...
  3. Manyanza

    🌺 Happy Women’s Day kwa wanawake wote wa Jamiiforums!

    Kwa wanawake wote wa Jamiiforums 🌸🌸 Leo tunasimama kuwapongeza na kuwashukuru kwa nguvu, hekima, na mchango wenu mkubwa katika jamii. Ninyi ni chanzo cha upendo, ujasiri, na mabadiliko chanya kila siku. Mwanamke si wa kusherehekewa leo tu, bali anastahili kuthaminiwa siku zote 365 za mwaka...
  4. Boss la DP World

    Rais Donald Trump karibu sana Tanzania. Tunataka JamiiForums ifunguliwe bila masharti

    Mzee wetu Donald Trump karibu utusaidie kuifungua JamiiForums kwa kumteka aliyeamuru ifunguliwe. Mchukue uende naye hatumtaki. Turudishie waliotekwa ukifanya hivyo bandari zote za tanganyika nilizopewa bure nakupa wewe uziendeshe kwa sharti la kulegeza masharti ya kupata VISA ya marekani kwa...
  5. N

    JamiiAi: Nimeuliza hii Ai swali dogo tu na fupi kuhusu jamiiforums ni nini nimepewa majibu yote historia nzima

    Haya ni majibu ya swali dogo tu la "Jamiiforums ni nini ? hakuna kitu ulicho kiacha nyuma imefunguka kila kitu. Picha ni JamiiAi Screenshot Picha ya pili 2 1re Picha ya tatu 3 Picha ya nne 4 Picha ya tano 5 picha ya sita 6 Muhimu: Ikumbukwe JamiiAi imejengwa kwa teknolojia...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums kuna wanawake wazuri sana, nimeshawahi kukutana na Wana JF warembo kuliko malaika, wazuri kuliko hela♥️😍

    It was not a date, just a few minutes meeting. Mara ghafla anatokea msichana , mdada, mzuri hadi naogopa, huyu ni jini au ni malaika? Otea alikuwa ni nani kati ya hawa? Miss Natafuta, Nakubusu , Evelyn Salt Jemima Mrembo, au @mamdenyi? Hapo hujakutana na FaizaFoxy, mtu mwenye maruhani wake...
  7. Superbug

    Je ukiitoa JamiiForums kuna media yoyote ya ndani imeripoti kuhusu tuzo ya tyrant of the Year?

    Najiuliza kwanini hii tuzo adhimu haijatangazwa na media za ndani? Be it tabloids au tv stations naomba kujua au wameogopa?
  8. Hance Mtanashati

    JamiiForums tegemeeni tamko kutoka kwa Makonda muda sio mrefu.

    Ni suala la muda tu , makonda anakuja kutoa tamko kuhusu jamiiforums. Tutegemee zaidi uhuru wa habari ukiminywa chini ya uongozi wake.
  9. Genius Man

    Inamaana jf bado imefungiwa na haijui nani ameendeleza kufungia kwani data zinaonesha ni nani kama sio mamlaka haramu isiyo heshimu haki za watu

    Inamaana jf bado imefungiwa na haijui nani ameendeleza kufungia kwani data zinaonesha ni nani kama sio mamlaka haramu isiyo heshimu haki za watu. Hali hii sio solution na haivumiliki nchi imevamiwa na matapeli na wapumbavu hii.
  10. Pakome

    Njia rahisi ya kumaliza changamoto inayowasumbua JamiiForums ni mamlaka kuwajibisha watumiaji wanaovunja Sheria za Mitandao ya Kijamii na sio mtandao

    JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria Ili kuweka usawa ni kuwajibisha wale watumiaji wanaovunja Sheria huku wanaotii wakibaki salama Hatuwezi...
  11. Manyanza

    Karibu Jamiiforums tena — mijadala irudi, hoja zijadiliwe, Taifa lijengwe. 🇹🇿✍🏽

    Hongera Jamiiforums Kurudi Hewani Ushindi wa Uhuru wa Kujieleza 👏👏👏 Nawapongeza kwa dhati uongozi wa Jamiiforums kwa ujasiri, uvumilivu na ukomavu mkubwa mliouonesha katika kipindi chote ambacho mtandao huu pendwa ulifungiwa leseni ya uendeshaji. Pamoja na kupewa nafasi ya kukata rufaa...
  12. M

    Nahofia sana siku kina Mange kimambi wakianzisha website kama Jamiiforums, Ni balaa linaloweza kuwa zaidi ya instagram.

    na kuhusu kuufungia huo mtandao itakuwa kazi bure, siku hizi hadi kina bibi wanaijua vpn.
  13. Ponjoro wa Kinondoni

    Mwanachama wa JamiiForums Mwigulu Nchemba njoo hapa

    Ndugu mwigulu nchemba naomba dola lakimoja chap. Guys akiniwekea hiyo hela ndio aje sasa aseme ni nani aliyemchagua, guys huyu hana sifa ya kuwa hata diwani wa kata.
  14. M

    Wakristo wa jamiiforums As-salamu alaykum, Waislam wa Jamiiforums Tumsifu Yesu Kristo

    Wakristo wa Jamiiforums Assalam Aleikum, msimu wa Christmas Mubarak unakaribia, INSHALLAH tutaalikana na kuufinya pamoja wali mchafu kama ilivyokuwa Eid kwa miaka mingi sana.
  15. Pakome

    Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano TCRA, ruhusuni JamiiForums kwasababu kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika kupitia habari

    Maendeleo makubwa hayawezi kuja pasipo kufahamu changamoto zinazozuia mafanikio JamiiForums kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika hasa katika maswala yanayoigusa jamii kwa ujumla kupitia habari, jambo lililokuwa likisaidia Serikali kuona changamoto za Wananchi wake na kutatua...
  16. Ma mbwa

    Je, JamiiForums itafunguliwa Tarehe 6 Desemba?

    Wakuu kama mna kumbukumbu ni kwamba tarehe 6 sept 2025 mamlaka ya mawasiliano iliifungua JF kwa siku 90 kutokana na makosa walioona wao kuwa JF wamekiuka. Na kwa siku 90 ni kwamba zinaisha kabla ya tarehe 6 DEC. Je, kwa fukuto hili la Dec 9 mamlaka watairudisha kweli hewani JF yetu pendwa?
  17. britanicca

    Kutoka UN City: Jinsi mchango wa JamiiAfrica na JamiiForums unavyotambulika kimataifa mwakilishi Maxence Mello

    Kutoka UN City: Jinsi mchango wa JamiiAfrica na JamiiForums unavyotambulika kimataifa - JamiiAfrica imewakilishwa na Mkurugenzi Mtendaji, Maxence Melo katika mkutano huu wa siku 2 (Novemba 11 - 12, 2025)
  18. 888I

    🧐Magari ya Rais Samia: Msaada JamiiForums! Hizi Range Rover za Misafara Zina Sifa Gani Hasa?

    Ndugu Zangu Wanajukwaa! Mimi si mtaalamu wa magari kabisa, nimeona Range Rover hizi nyeusi, ndefu katika misafara ya Rais Samia Suluhu Hassan hasa baada ya kuapishwa kwake. Nimejaribu "ku-Google" (gugo huko!) na nimejifunza mambo machache. Ninaomba mnisaidie kufafanua kwa wale wenye ufahamu...
  19. Its Tesha

    JamiiForums ndio sehemu salama zaidi kwa sasa watu kufanya siasa, usalama unakuwa kwa asilimia 100 kuliko Instagram N.K

    Wana JF kama kuna kitu mmegundua ni usalama wetu members yaani tunafanya vile tunataka like tupo katika nchini ambayo uhuru upo wakutosha kama nchi ya ahadi hao wanaohamisisha maandamano waje huku tufanye mazungumzo ya siri kuliko huko instagram ambapo ukisema tu Nywinywi unatekwa kama kuku...
  20. baz kaiza

    GE2025 Rais nataka nikuombee kura hapa Jamii Forums. Lakini nami nina Maombi yangu kwako

    Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Amirijeshi mkuu. Naomba nikuombee kura hapa Jamii Forums hii ni platform kubwa huwezi kuimbeza. Ila na mimi nina Maombi yangu kwako Mama kama manne hivi maana ninachokiomba kiko ndani ya Uwezo wako. Mama kama unakumbuka kuna kipindi mitandao...
Back
Top Bottom