jamii

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mustakabali wa Jamii

    July 30th 2021 MUSTAKABALI WA JAMII Ningependa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwanza kwa kunipa pumzi na fahamu za kuweza kuweka mada hii mbele ya jamii. Naomba aniwezeshe ili niweze kufikia jamii husika kuhusu mada hii mahsusi kwa rika zote, kabila zote, wake kwa waume na dini zote. Naomba...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana wasomi toka familia maskini hupata sana kesi za ubadhirifu na kuishia pabaya. Wazazi, serikali na jamii ni ya kulaumiwa

    VIJANA WASOMI TOKA FAMILIA MASKINI HUPATA SANA KESI ZA UBADHIRIFU NA KUISHIA PABAYA... WAZAZI, SERIKALI NA JAMII NI YA KULAUMIWA. Nawasalimu nyote kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.... leo nimeamua kuandika huu uzi nikiwa na masikitiko makubwa mno nafsini mwangu. Ni suala linalotuhusu vijana wa...
  3. JamiiForums Tanzania SoC01 Maendeleo ndani ya Jamii ni chachu kubwa katika kuinua Uchumi wa Nchi

    Ni Vema tungeanza kwa kutambua maana halisi ya neno MAENDELEO. "Maendeleo ni mabadiliko yanayo onekana kuboresha hali ya binadamu na mazingira kwa ujumla".Kuna ngazi tatu za kimaendeleo; Maendeleo Binafsi,Maendeleo ndani ya Jamii na Maendeleo ya Nchi kiujumla.Aina zote hizi za maendeleo...
  4. JamiiForums Tanzania Walimu na ualimu: Jamii ina mchango mkubwa katika malezi na makuzi ya vijana wetu

    Elimu bora ni hazina ambayo wazazi wenye uelewa hujivunia wanaposhuhudia imewakomboa kupitia kwa watoto wao. Wazazi wa namna hii hutambua ili kufanikisha utume huu, wanajukumu la kuwa walimu wakwanza kwa kuonyesha mfano bora kupitia imani na maisha yao. Katika hali hii watoto wanakuwa ni kioo...
  5. JamiiForums Tanzania SoC01 Funzo kwa Jamii: Jinsi nilivyoacha uraibu wa kamari

    Kwanza kabisa kuacha mazoea fulani katika maisha yako si rahisi kama unavyotamka,unaweza kuacha leo lakini ikachukua muda kuacha kabisa. Leo karibu marika yote na jinsia zote katika jamii ni waraibu wa kamari. Uraibu huu unatokana na matangazo ya kuvutia na zawadi kubwa kubwa pia ile imani...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamii ya Shona imepata uraia wa Kenya baada ya miaka 60 ya kuishi bila Uraia hapa Kenya

    Jamii hii ya Shona ilikuja Kenya mwaka wa 1959 kama missionaries yaani watu wanaoeneza injili. Sasa wameishi Kenya bila uraia kwa miaka 62 na hivi leo wamepata uraia kamili na hata kupata vitambulisho. Hii inafuatia Jamii la Wamakonde kutokea Msumbiji waliopata uraia huo miaka michache...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini 'Video' ya ngono ikivuja jamii haimuangalii vizuri mwanamke aliyeshiriki kwenye hiyo video tofauti na inavyokuwa kwa mwanaume?

    Video ya ngono iki leak mwanamke aliyomo kwenye hiyo video huwa haangaliwi vizr na jamii yake tofauti na mwanaume aliyehusika pia kwenye hiyo video. Mwanamke atataniwa kwa aina ya matusi na utani na sometimes inaweza kumpelekea msongo wa mawazo mwisho kujiua lakini kwa upande wa mwanaume yeye...
  8. JamiiForums Tanzania Tukibadilisha mitazamo yetu nirahisi kuibadilisha jamii

    Tukibadilisha mitazamo yetu nirahisi kuibadilisha jamii. Kila tatizo lina chanzo hatuwezi kufika tuendako kama hatujui tulipo toka historia ya mwanadamu ina mahusiano makubwa na mafanikio ya mwanadamu. Inabidi ifike muda tusimame kwenye ukweli unaojulikana na wachache walio amua kubaki nao...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Hatua za msingi na wajibu katika jamii na Serikali yake ili kujenga taifa endelevu

    Sadoth H. Balilonda ( Mjasiliamali ) sadothhenry250@gmail.com +255756536474/+255676436474 Makala hii inatoa muamko ambao unalenga kuchochea mabadiliko katika nyanja mbalimbali za uchumi kupitia biashara, kilimo, sayansi na teknolojia, afya, maendeleo ya jamii na uajibikaji kwa ujumla. Lengo...
  10. JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi jamii inavyopata athari kwa kupuuza tatizo la Saikolojia

    Wanasaikologia mpo wapi? Na kama mpo mnafanya nini? Jamii inahitaji msaada kutoka kwenu. Wanasaikolojia ni watu ambao ni muhimu sana katika afya ya kila mtu na hapa nchini huwa tunapokea wahitimu wapya kila mwaka wa masuala ya saikolojia lakini mimi sijawahi waona. Hivi kwanini tusiwatumie...
  11. JamiiForums Tanzania Kuongeza ufanisi na tija kwa Magereza ili kusaidia jamii na mazingira kwa ujumla

    Kutumia nguvu kazi ya Magereza zote nchini kuwapa kazi ya kukusanya taka na kutumia taka hizo kwa uzalishaji wa Biogas kwa ajili ya kupikia. Kusambaza Magereza zilizopo katika Sehemu Tofauti ili kupata nguvu kazi hio (wafungwa wengi wafanye community service ya kusafisha mazingira / kukusanya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Makuzi ya watoto ni wajibu wa jamii nzima

    Kila mara tumekuwa tukishuhudia na kusikia matukio ya ukatili na unyanyasaji wa watoto yakiongezeka na kuripotiwa nchini Tanzania. Kutokana na ongezeko hili, jitihada mbalimbali zimechekuliwa na serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kupunguza ukatili na unyanyasaji wa watoto. Kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tuachane na ushirikina, uchawi tupate maendeleo

    Lengo la makala haya ni kuonesha kwamba kuendekeza ushirikina au uchawi na waganga wa kienyeji (wapiga ramli) kunaathiri maendeleo ya jamii. Tuachane na hiyo imani maana badala ya kutusaidia kusonga mbele, tunajenga chuki, uadui na moyo wa kulipiza kisasi kwa kuwadhania wengine ndio vyanzo vya...
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Mateso ya Binti wa Shule yaliyopuuzwa na Jamii

    Katika familia nyingi za kiafrika hasa ndani ya nchi yetu ya Tanzania, kuzaa watoto inachukuliwa kama baraka kubwa sana na hasa watoto hao wakiwa wa jinsia zote mbili, watoto wa wakiume na watoto wakike. Na hata inapotokea familia imepata watoto wote wa jinsia moja, wazazi huiona kama...
  15. JamiiForums Tanzania Njia sahihi za kuwakwamua wazazi wasiwe wategemezi kwako siku za mbeleni

    Wazazi wetu ni watu muhimu sana ambao hakuna ambae aliwaomba wamlete hapa duniani,kila mmoja alikuja duniani kwa sababu wazazi wake walitamani mtoto hivyo tumekuja duniani kwa mapenzi ya wazazi na sio mapenzi yetu. Katika siku za karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya vijana tunaotafuta...
  16. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Changamoto za Vijana katika Jamii kuelekea kwenye maendeleo

    Vijana ndio nguvu kazi ya jamii na taifa kwa ujumla, kundi hili la vijana ndilo linategemewa katika uzalishaji mali na nguvu kazi katika jamii. Ni kwanini tunasema vijana ndio nguvu kazi namba moja katika jamii ?' - Ni kundi lenye watu wengi zaidi ukilinganisha na makundi mengine ambayo ni...
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Namna fikra bora na uhuru wa kusema vitavyochochea mapinduzi ya kiuchumi kwa jamii ya Watanzania

    Mada yangu itajikita zaidi kuonesha namna uhuru wa fikra na kusema unaweza kuwa ni chachu ya kuleta mapinduzi ya maendeleo ya kiuchumi kwa jamii, hususani ya watanzania. Hivo, natoa pia fursa kwa mada nyingine katika uwanda huu wa ‘uhuru wa fikra na kusema’ na namna zinavoweza kuleta mapinduzi...
  18. JamiiForums Tanzania Wamjua kiongozi aliyeliliwa na jamii baada ya kuiletea maendeleo?

    •MAENDELEO ni MAFANIKIO Jambo ambalo mtu anapambana ayafikie. •Hamu na shauku ikoje ya kupata maendeleo? Harakati zote za mwanadamu kuwa na maisha mazuri na wakati mwingine tumeyatafsiri mtu akipata chakula cha kutosha,chombo cha usafiri(baiskeli,Pikipiki,gari n.k), nyumba nzuri n.k...
  19. JamiiForums Tanzania SoC01 Kataa na Pinga Unyanyasaji, Ubaguzi na Ukatili Wa Makundi Maalumu Katika Jamii

    Katika jamii zetu yapo makundi Mbalimbali ambayo yanakumbwa na unyanyasaji, Ubaguzi pamoja na ukatili. Licha ya kuwa wapo watu wengi ambao wankumbwa na hali hiyo ila nitajikita katika makundi maalumu. Makundi hayo yapo katika mgawanyo huu: Makundi haya kila kundi linachangamoto yake na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI MSAADA WANA JAMII FORUM WENZANGU

    Message…MIMI SIYO MGENI SANA HUMU JF. LAKINI SINA UTAALAMU WA KUTOSHA KATIKA MATUMIZI SAHIHI YA HUU MTANDAO. INGAWA NINAWEZA KUCHANGIA MADA KATIKA THREAD YA MTU MWENGINE. LAKINI MIMI BINAFSI NINAPATA CHANGAMOTO KATIKA KUANZISHA THREAD YANGU. NA HASWA KULE KATIKA JUKWAA LA "STORY OF CHANGE"...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…