jamii

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zijue athari zitokanazo na hizi Bahati Nasibu zilizoibuka katika Redio mbalimbali kwa Watu/ Jamii

    1. Kuongeza Umasikini kwa Kubahatisha 2. Moyo Kudunda sana kwa kuwaza kama utashinda au hapana 3. Uwizi wa Fedha Kwingineko ili ucheze hizi Bahati Nasibu kila mara au kila Siku 4. Wivu na Chuki Kuongezeka kwa Walioshinda 5. Kumkufuru Mwenyezi Mungu kama Mmoja anacheza mno ila hafanikiwi na...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nilichoamua kufanya baada ya kugundua sina uwezo wa kipesa wala akili za kiubunifu za kuikomboa jamii

    Naipenda sana jamii yangu Nilitamani sana kuwa mwenye mchango katika jamii lakini bahati mbaya mpaka naingia utu uzima sikufanikiwa kutoka kimaisha na kuweza kuifanyia jambo la maana. Niliangalia shughuli niifanyayo, kwa mifano hai ya waliotangulia kuifanya kabla yangu, HAKUNA KUTOKA...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Fahamu ushoga na usagaji ulivyo na unavyozidi kuenea nchini, sababu na athari zake katika jamii

    Leo tunakutana tena kuzungumzia jambo ambalo si geni kwenye maskio ya walio wengi japo halifahamik sana chanzo,sababu na athari zake kwa jamii. Tuondoe dhana ya kusema kuongelea dhambi ni kufanya dhambi na haifai na kujiweka nyuma katika kufatilia mambo kama haya ndio chanzo kingine cha huu...
  4. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuwalipa wasanii pesa inayowawezesha kuishi bila kujichanganya na jamii

    Msanii ni kioo cha jamii na jamii ina watu wenye uwelewa tofauti na hupokea ujumbe katika mapokea tofauti. Mfano tamdhilia ina kipengele cha mama wa kambo mtesi wa watoto. Nia ya sanaa ni kuweka wazi matendo yanayoendelea katika jamii lakini kuna watakao pokea na kumchukia yule msanii hasa...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Mkakati wa kupunguza uhalifu kupitia Polisi Jamii

    Jukumu la kupunguza uhalifu na wahalifu ni jukumu la jamii nzima. Mkuu wa Jeshi la polisi aliye maliza muda wake CPF (CHIEF OF POLISI FORCE) marufu kama IGP (INSP GERAL OF POLICE), SIMON NYANKORO SIRRO, ALIPELEKA WAKAGUZI WA SAIDIZI WA POLISI kwa kila kata katika kata zote nchini Tanzania. Ili...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mtu hayuko pensionable, haya mashirika ya hifadhi ya jamii yanakuwa na uhalali gani wa kushikiria hela za mwanachama?

    Tuliambiwa kuwa mashirika ya hifadhi ya jamii yataunganishwa lakini mpaka sasa Jambo Hilo halijafanyika.kila shirika linajiendesha kivyake. Jambo hili mimi naona limeleta usumbufu mkubwa. Ili mtu aweze kupata mafao ya kustaff anatakiwa awe amechangia miaka 15 . Tangia 2019 tuliambiwa kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini waume wa Marais wa kike hawapewi kipaumbele na jamii?

    Ruto kashinda Urais Kenya tunaoneshwa picha zake za zamani akiwa na MKE WAKE. Nakumbuka pia Obama alishinda Urais tukaona picha zake za zamani akiwa na MKE WAKE.. Na Mara hizi zote nimeshuhudia watu wakisifu kuwa hawa wanawake "walivumilia sana maisha ya waume zao na kuwasaidia kufikia ndoto...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Fikra huru kaa la moto kwa jamii?

    Fikra huru, kuwa na mawazo yako kuhusu mambo mbalimbali hasa kwenye mambo ya dini na siasa na sio kukubali tu kama vilivyowekwa, kuzoeleka au kufundishwa. Kuwa na fikra huru kumewaletea matatizo watu hawa kwasababu tu wamekuwa tofauti na vilivyokuwa na mizizi na kuzoeleka. Baruch De Spinoza...
  9. JamiiForums Tanzania Kanuni Mpya ya Mpya ya TFF, Shindano la Jamii Ngao ya Jamii Kushirikisha Timu 4

    Kwa mujibu wa Barua iliyotumwa kwa vyombo vya Habari, Kupitia kwa Bodi ya Ligi, Bodi imeboresha kanuni ya Ngao ya Jamii ambapao kwa kwa kanuni mpya kutakuwa na shindano la Ngao ya jamii ambalo litashirikisha timu 3 za juu kwenye ligi, ambapo ikiwa timu ni mshindi wa kombe la FA na ipo kwenye...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jamii na Teknolojia katika kubadilisha maisha yetu

    MAKALA HII IMEANDALIWA NA: TRIPHONY RAYMOND MASONDA PROFESSIONAL: IT specialist -Ili jamii zistawi na kustawi, uvumbuzi wa kiteknolojia umekuwa wa lazima, wakati huo huo utamaduni, maadili na matarajio ya jamii za wanadamu yameunda jinsi ustaarabu huo ulivyounda, kufaidika, na kuzuiwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Ni Jukumu la Kila Mmoja Kuhakikisha Watoto Wote Wanaishi Salama Katika Jamii

    Ukatili unaotekelezwa dhidi ya watoto unaweza kuwa wa aina nyingi. Unaweza kuwa wa kimwili, kihisia au kingono. Unaweza kufanyika katika mazingira yoyote kama vile nyumbani, katika jamii, shule na mtandaoni. Ukatili dhidi ya watoto unajumuisha aina zote za ukatili dhidi ya watu walio chini ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Andiko la mabadiliko chanya katika jamii kwenye nyanja mbalimbali zikiwemo za elimu, uchumi, kilimo,utawala, afya, sayansi na teknolojia

    Mabadiliko chanya katika Elimu; Kumekuwa na fikra hasi katika jamii zetu kwenye swala la elimu vijana wengi fikra zao kwa sasa katika elimu zinatokana na ukosefu wa ajira ama ajira zisizotosheleza idadi ya watu waliopo, Hivyo basi vijana wengi wanaona hakuna umuhimu wa kupata elimu ikiwa ajira...
  13. JamiiForums Tanzania Fanya Mambo haya ili uheshimike katika Jamii

    1. Heshimu wengine,wakubwa kwa wadogo.Ukitaka heshima toa heshima. 2. Epuka kuwa mmbeya,fanya mambo yako. 3. Heshimu sheria na taratibu zilizowekwa maeneo mbalimbali. 4. Kuwa jirani mwema. Hujui leo na kesho. 5. Fikiri kabla ya kuongea chochote mbele za watu. 6. Jizuie kuweka ahadi ambazo...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Bima ya Afya ya Jamii

    BIMA YA AFYA YA JAMII 🇹🇿 UTANGULIZI; Salamu Watanzania wote. Ni muhimu kwa nchi hasa zinazoendelea, kuwa na dira/sera ambayo ndio muongozo wa utoaji na usimamizi wa huduma na maendeleoya nchi husika. Ili nchi yoyote isonge mbele kiuchumi, inahitaji jamii yenye Afya Bora ili...
  15. JamiiForums Tanzania Ustawi wa Jamii walivyoharibu maisha yangu, no# 1

    Habari za jioni ndugu na jamaa humu ndani leo nimeona nizungumzie jambo moja ambalo linaathiri Jamii yetu bila kujua na limekuwa ni tatizo ambalo katika maisha ya watu wengi. Wapo waliouza nyumba zao, waliokimbia miji, pia wapo ambao mpaka sasa naandika huu Uzi wapo jela, japo hawana hatia...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Sababu saba (07) zinazopelekea mtoto wa Kitanzania ashindwe kupata elimu bora

    Picha. Chanzo: Mwananchi (12/08/2022) UTANGULIZI Nchi masikini na zinazoendelea zina changamoto nyingi kama vile; changamoto za umasikini, utandawazi, na kielimu. Changamoto za upatikanaji wa elimu bora ndio kubwa zaidi. Tanzania kama moja ya nchi zinazoendelea pia ina changamoto kadhaa...
  17. JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu: Kikosi cha Simba kinachotakiwa kuanza dhidi ya Yanga kwenye Ngao ya Jamii

    Habari wakuu, Kuipata First eleven ya Simba ni pasua Kichwa. Kichwa kinauma, uanze na nani, nani umuweke wapi nk. Kwa Ufundi kabisa, ningepata nafasi ya kuchagua kikosi ama kulishauri benchi ningeenda kama ifuatavyo. 1. Aishi Manura. 2. Shomari Kapombe. 3. Mohamed Hussein. 4. Enoch...
  18. JamiiForums Tanzania Utabiri wangu mechi ya ngao ya jamii kati ya Yanga na Simba

    Yanga 🐸 2 - Simba 🐏 1 🐸 dakika ya 19 🐏 dakika ya 52 🐸 dakika ya 81 (Majina ya wafungaji nitaweka siku ya mechi baada line up kutoka)
  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Unyanyasaji au Uonevu wa Kimtandao (Cyberbullying) umekuwa tatizo kubwa kwenye Jamii yetu

    Unyanyasaji wa kijinsia ni dhana pana sana ambayo ina ainanyingi sana ambazo kwa namna moja au nyingine zina muathiri mwanaume au mvulana Pamoja na mwanamke au msichana katika jamii zetu na kuna aina tofauti tofauti za unyanyasaji wa kijinsia ambazo ni ; Unyanyasaji wa kingono, Unyanyasaji wa...
  20. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Sensa na Vifo Vinavyozuilika Kwenye Jamii

    Na Kevin Lameck Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa mwaka 2015 zilipitisha Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs). Lengo la tatu la ajenda hiyo lililenga afya bora na ustawi. Tangu wakati huo, WHO imekuwa ikisaidia mipango ya nchi na kufuatilia maendeleo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…