jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye jambo hili,linanitatiza kidogo

    Wasalaam. Hii ni Kwa wanaume wenzangu japo hata akina dada,mama mnaweza toa ushauri. Iko hivi, Juzi, yaani jumamosi, Nilijichanganya kwa kuhisi nimepotelewa na kifaa changu ndani cha muhimu mno,yaani mno. Sasa kumbe kuna mtu aliniazima na Mimi nikasahau kabisa kuwa nimeazimisha Mtu. Basi...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Humphrey Polepole aendelea kuibomoa CCM. Asema 'Huwezi kuridhiana na mwizi'

    Najua CCM ni wachafu ila sijawahi kujua kuwa kumbe ni wachafu kiasi hiki, huyu hapa Humphrey Polopole.... https://www.youtube.com/watch?v=_bT19_syqfY
  3. JamiiForums Tanzania Wanachofanya NASA ni jambo la kijinga sana na linatakiwa kupingwa kwa nguvu zote

    Ni ukweli usiopingika NASA wamefanya mambo mengi sana mazuri ila hili la kutaka kutengeneza mazingira ya MARS hapa duniani na kuwaweka astronauts ili wazoee mazingira yake kwa lengo la kuja-kuwapeleka MARS naamini ni moja ya jambo la kijinga sana na kutaka kutumia shortcut kwenye mambo ambayo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jakaya Kikwete awashukia wanaoshangaa Ridhiwani kutokuwa na mpinzani

    Wakuu naona utaendelea kushaangaana sasa, wa kuondoa mshangao naye anawashangaa wanoshangaa === Jakaya Kikwete amesema anawashangaa wanaoshangazwa na suala la Ridhwan kikwete kupita bila kupingwa/kutokuwa na mpinzani kwani jambo hilo ni la kawaida na amewahi kupita mara kdahaa bila moinzani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kila jambo la aibu kwa mtu wa bara, ni jambo la kawaida sana kwa mtu wa pwani

    Nimeishi miaka flan pwani na waswahili , kuna tabia ambazo nilikuwa naona za ajabu sana toka kwao lakini wao hawakuwahi kuona shida . Mfano unamkuta baba wa familia kaamka asubuhi kavaa msuli kaja kwako kupiga stori chai itapikwa hapo mtakunywa wote na mwingine anakuja na watoto wake kabisa ...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM haina uwezo wa kusema ukweli hata kwa jambo dogo kama hili la kukutana na waandishi wa habari

    Huyu kichwa mviringo Makalla alisoma chuo gani time management? Kama kikao tu cha kuchuja majina kinakaa wiki nzima bila muafaka je vikao vya kujenga bwawa na umeme na Sgr vingechukua muda gani? Je madudu waliyokuwa wanayatetea kwenye mkataba wa Dp world vipi? Alafu wahuni kama hawa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu uteuzi wa wagombea udiwani na ubunge

    Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025 https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza...
  8. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Watanzania tupunguze Kasi ya kuzaliana. Jambo hili kiuchumi lina matokeo hasi - Dira2050

    UTANGULIZI, Akizungumza katika kipindi maarufu cha runinga cha "Mizania ya Wiki" kinachorushwa na Kituo cha Televisheni kutoka Azam Media (UTV) Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila alikuwa na haya ya kusema, Kwanza, Kafulila anaonesha upo uwezekano...
  9. JamiiForums Tanzania VIDEO: Shule Ya Uongozi Ya Polepole Mwaka 2021.. Sikiliza Upate Kujua Jambo

    Sema Huyu MpoleMpole Kuna Kipindi Alikua Anaongea Nondo Sana. Japo Hazina Uthibitisho Wa Kimantiki, Hivyo Zinabaki Kua Ni Habari Fikirika Tu
  10. JamiiForums Tanzania CCM tunaomba kuwekana sawa kwenye hili Jambo

    CCM naomba kuwambia jambo moja makosa na udhaifu wa wanachama wenu mnayajua vizuri, na ni bora mkawawajibisha au kuwafukuza kabisa ili kulinda heshima ya chama chenu mapema, kabla wao hawajaamua kufunguka mabaya yanayoendelea ndani ya chama chenu. Yahani ni mara mia mkaa kimya kuliko kuwajibu...
  11. JamiiForums Tanzania Kampeni Ya Kataa Ndoa Ilitabiriwa Zamani Itakuja Nyakati Za Mwisho

    Kama utabiri utatolewa alafu usitimie huo utabiri bila taarifa za uhakika kutoka kwa Mungu, utakuwa utabiri wa uongo. Kama kile kimeandikwa kwenye biblia kisiwe kama kilivyosemwa, tutakuwa hatuna haja kuendelea kujivunia neno la Mungu. Tunajivunia neno la Mungu(biblia) kwa sababu ilituambia...
  12. JamiiForums Tanzania NI UONGOZI UPI KWENU ULIWAFAA NYIE WALALAMISHI WA KILA JAMBO

    Nyerere ooooo Mwinyi oooo Mkapa oooo Jk blaaaaa Jpm blaaaablaaa Suluhu blaaa and out Yupi aliwapa ahueni.
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo la baadhi ya wafuasi wa Chadema , huwa wanakosea sana katika kuelezea mambo ikiwemo swala la kutaka Mbowe kuongea jambo kuhusu wanayoyapitia.

    Lema alikuwa hana sababu ya kuongea kuhusu Mbowe . Ikiwa mtu hayupo upande wenu Ila nyie mnasapotiwa na mamilion ya watu ambao wanawasikiliza , na kutoa sapoti zao sasa Mbowe yeye ni nani ?. Nafikiri mtaji mkubwa katika siasa ni watu . Ukizungumzia mapito msijifikirie nyie Ila mjue kuna watu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe inawezekana kuachia ofisi bila kukabidhi? Mwenyekiti mstaafu na Balozi wametufunza jambo

    Salaam, Mwenyekiti mstaafu hakuwahi kukabidhi ofisi, na aliyekabidhiwa ilibidi anyamaze tu, maana sasa utasema nilikuta hilli na hili halikuwepo, nani shahidi? Jambo Hilo Hilo limejitokeza kwa aliyekuwa balozi huko jirani na kwa akina Trump, ameachia ofisi bila kufanya makabidhiano, Sasa...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Balozi Humphrey Polepole aungwe mkono ana jambo zuri kwa watanzania. Tunasubiri kwa hamu kusikia hotuba yake hapo 17-07-2025.

    Balozi mstaafu wa Tanzania nchini Cuba ndugu na comred Humprey Polepole anatarajia kuzungumza na umma hapo kesho 17-07-2025. Sina uhakika atatumia platform gani ila jambo hili ni kubwa na tunalisubiri kwa hamu. Huu sio wakati wa kuangalia sana madhaifu ya comred Polepole bali ni wakati wa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya barua ya kujiuzulu, Polepole atambue kwamba Press Conference ina jambo moja kwake, akisimama nchale akikimbia nchale

    Wengi wetu, walio na wasio wanachama au mashabiki wa CCM, tumeiona barua ya kujiuzulu ya Polepole, na sababu za yeye kujiuzulu. Kuna waliompongeza na kumwona shujaa wa Tanzania, na kuna waliomlaani na kumwona msaliti na mnafiki kwa CCM na Tanzania. Na ni wazi kwamba CCM watakuwa wamemfikia kwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Jambo nina uhakika nalo ni kwamba kuna team imeundwa iko busy kutafuta namna ya kumchafua Polepole, usishangae ukisikia kaiba fedha za ubalozi Cuba!

    Hawa CCM na serikali yao siku hizi wamekuwa predictable sana. Baada ya hii barua ya Polepole ya kujiuzulu na kuukosoa uongozi wa Raisi Samia hadharani, utakuta kuna team maalum imewekwa kutafuta namna ya kumchafua. Sasa hivi utaona statements zikianza kutolewa kuhusu maovu aliyofanya...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Nchi ni kama haina uongozi. Kwa hali hii ya kisiasa, kuna jambo baya laweza kutokea wakati

    https://youtu.be/pbWyJh60zWk?si=arsKsXtmfdkBEJf- Huyu mzee amewahi kuwa kiongozi Mwandamizi wa serikali ktk awamu za u Rais wa Nyerere, Mzee Mwinyi na mpaka awamu ya Mkapa na anachokisema hapa ni wazi anakijua, habahatishi Anashangaa kuwa, kuna watu (viongozi) ukiwaona wamevaa suti au kanzu...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Azam Marine: Kuna udalali wa tiketi na vyoo ni vichafu!

    Azam kwanini mmeruhusu biashara ya udalali wa tickets kushamiri. Je, mnajua kuna watu wanashirikiana na watu wenu wa ndani kujua taarifa kama tiket zimeisha kisha wananunua tuseme zimebaki 100, kisha wanaziuza kwa elfu 70 badala ya 35. Pia Azam boresheni vyoo vyenu; vimechoka kama vyoo vya...
  20. JamiiForums Tanzania Kutegemewa kila siku siyo jambo zuri kwenye familia

    Wakati Wizkid alipoanza kupata pesa, aliwaita kaka na dada zake wote kwenye kikao. Akawauliza kila mmoja anataka kufanya nini. Kila mmoja alitoa mpango wa biashara, naye akawapa mtaji mara mbili ya waliyoomba, kisha akawatakia kila la heri. Wizkid alijua kwamba yeye ni mtu mwenye shughuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…