jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. Hakuna mtu duniani amewahi kuwekewa mikono kichwani na wazazi wake wakamwombea jambo bila mafanikio.

    Hello! Mimi ni mtumishi wa Mungu, I know God. Sio mtumishi wa kuenenda kwa hisia. Hata nikimwombea mtu jambo siishii tu kumwambia amini utaponywa au utatendewa. Nitamwombea mpaka nipate jibu kutoka kwa Mungu kuhusu situation yake. Nimegundua jambo ambalo watu wengi wakilichukulia maanani...
  2. P

    Wafamasia kesho mna jambo lenu, kipi Cha kujivunia tiririkeni tunufaike kama jamii

    Wafamasia kesho ndo siku yenu kipi mnafurahia na kipi kinawaboa
  3. Natafuta mtu expert kwenye hili jambo la Hallucination (Hearing voices from invisible cretures)

    Shalom Moja kwa moja kwenye mada. Je, ukiwa unasikia sauti za mtu ambaye unamjua kabisa whether ni Baba au Mama ah hata rafiki yako, kwanini hizi sauti zina tabia ya kukwambia kwamba ukikutana nae kimwili msiongee chichote sababu tayari upp kwenye ulimwengu wa kiroho. Madakari na...
  4. G

    Watoto msiwasasahau baba zenu, mlideka kwa kwa mama lakini huruma sio malezi, Jukumu la baba kuwa kiongozi hapa Afrika sio jambo jepesi.

    Kids tend to lean on their mothers for many things emotionally which give mothers so much power and influence on the kids, kids completely foeget the family is under the leadership and direction of fathers Kwa maisha ya uhalisia yalivyo bongo baba inabidi awe na msimamo wa hali ya juu mno...
  5. B

    Ruto: Kwenye demokrasia, Maandamano ni jambo la kawaida

    Hii clip inajieleza wazi: Tanzania itajifunza lini kuuhusu ukweli huu? Kwanini Kila mtu asipewe haki yake? Kwanini kujipanga kupora haki za wengine? Kulikoni kujipanga kuchuma laana? Uporaji ni laana!
  6. KUNA TOFAUTI KATI YA MURDER na ASSASSINATION: TUTAMBUE JAMBO HILO KABLA YA KUKOSOA NA KUTETEA.

    Baada ya rais kutoa hotuba kuwashutumu mabalozi waliohimiza uchunguzi huru na wa haraka,watu wanaoona mambo kwa rangi zake waliona matundu na kasoro katika hotuba ya rais. Jana,mwenye ID Malcom Lumumba alinyoosha maelezo kwa kina kuelewesha watu ni wapi rais alikosea katika hotuba yake...,na kwa...
  7. G

    Hawa watu 2, ni ndugu?

    Kuuliza si ujinga.
  8. Uzoefu ni jambo muhimu katika Maisha, inakuwaje watu mnawakataa single Mamaz kwenye mahusiano ya ndoa?

    Hakuna ubishi unapoomba kazi moja ya sifa na kigezo kinachozingatiwa ni uzoefu wa kazi how long you work for the position?una yafahamu vyema majukumu yako na kuna impact gani umeifanya katika taasisi yako uliyotoka? Lakini mambo yamekuwa tofauti katika mahusiano hivi kwanini wanaume tunawakataa...
  9. Aliyejaribu kumuua Donald Trump alipigana kwenye vita vya Ukraine. Maswali mengi yaibuka

    Ryan Wesley Routh: Picha na Reuters. Shirika la upelelezi la FBI laendelea na uchunguzi wa jaribio la kumuua mgombea wa kiti cha uraisi wa Marekani bwana Donald Trump katika viwanja vya mchezo wa golf vya Trump internation Golf Course. Mtu aliejaribu kumuua bwana Trump ametambuliwa kwa jina la...
  10. Wanaume wa shoka hawawezi kufanya jambo hili.

    Na Fred Putin. Jambo moja ambalo mwanamume anayejiamini hawezi kamwe kufanya hadi kifo kitakapomchukua : "KUFANYA PUSSY KUWA BWANA NA MWOKOZI WAKE BINAFSI. " Wanaume wanaojiamini hawaabudu nyash, hawaabudu matiti. Wanachoabudu ni kusudi, malengo, furaha, amani, mafanikio na Mungu wao...
  11. Godbless Lema ana PHD ngapi mpaka awe mjuvi wa kila jambo duniani?

    Hivi majuzi nimesoma post ya mtu anayeitwa Julius Mtatiro (siku indie Mhe DC ama majina yamefanana) amepost hio post huku pembeni yupo Godbless Lema Mbunge Mstaafu wa Arusha. Baada ya kuisoma post hiyo nikajipa assignment kufuatilia platforms zote za Mbunge Mstaafu wa Arusha, nikajikuta nastuka...
  12. Kabla ya Ijumaa jioni litatengenezwa bonge la movie ili kufunika jambo

    Kwa uzoefu wangu nina uhakika 100% kuwa kabla watu hawajalala siku ya Ijumaa tayari movie itakuwa ishatoka. Ni mwendo wa movie tu. Movie hii itatolewa kufukia jambo. Watanganyika msitolewe kwenye reli kwa aina yoyote ya movie hata kama hiyo movie itahusisha kutolewa watu uhai. Akili yangu...
  13. Taja kitu au jambo ambalo unaamini linafanyika Tanzania tu

    Kitu au jambo gani ukilisikia tu au kuliona unajua linafanyika Tanzania hakuna sehemu nyingine. Naanza na mimi Kuunga kifurushi cha wiki kikaisha ndani ya siku moja
  14. Jambo lililopotoshwa sana, kuliko mengine

    CHUKIZO LA UHARIBIFU NI UTENDAJI WA MAMLAKA YA KIBINADAMU KUPINGA AMRI NA MAMLAKA YA MUNGU Unabii wa utendaji wa Chukizo la uharibifu lililonenwa na nabii Danieli umeandikwa katika Danieli 7, 8 na 9. Ni vipindi vitabu tofauti tofauti vya kihistoria ambavyo kanisa la Mungu lingelikabiliwa ma...
  15. Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi.

    Wanabodi Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA CPA Paul John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi. Watch https://www.youtube.com/live/BwSqvxL7YVw?si=q1MXVglKZ3cZTPdF Walalaze amekumbusha mwezi September ni mwezi wa kulipa awamu ya tatu ya kodi...
  16. S

    Jicho la tatu: Tundu Lissu kuwa makini, huenda kuna jambo linapangwa dhidi yako na usidhani anakukubali

    Bi. Mkubwa akiwa huko kwao, katumia jina lako kwa namna ambayo inaweza kuonekana ni ama kukutania au kukupa heshima fulani au anaku-admire. Binafsi, nakushauri uwe makini sana huenda hii ni hadaa tu ili watapofanya yao, basi yeye asihusishwe kwasababu ameonekana kukubali kumbe wana agenda...
  17. Nahitaji ufafanuzi wa hili jambo nitaelezea kidogo ufahamu wangu

    Habari hii picha inamaana nitaelezea ila naomba ufafanuzi kwa anayejua zaidi. 1. Nitaanza na sunlight kwamba jua lina vitamin muhim kwanhiyo ni vema wkt flan kufurahia uwepo..wake na sio kukaa ndani muda wote. 2. Kupunzika. Baada ya kazi ni vema kupata muda wa kutosha upunzishe mwili na...
  18. Ni jambo gani ambalo mpenzi wako analifanya, linakukwaza lakini yeye hajui?

    Ni jambo gani ambalo mpenzi wako analifanya, linakukwaza lakini yeye hajui kama linakukwaza. Tupa jiwe gizani ujumbe ufike
  19. M

    Mwenye majibu kuhusu jambo hili anisaidie nami nipate uelewa

    Mfumo wa demokrasia hapa nchini ulianzishwa rasmi mwaka 1992 chini ya Rais Mwinyi akiwa ndiye mwenyekiti wa chama mapinduzi CCM, na ndio kilikuwa chama pekee cha siasa kabla ya hapo kutokana na mfumo wa siasa wa wakati huo. Najua suala la maamuzi ya kuruhusu mfumo wa mabadiliko ya kisiasa...
  20. Msaada wa mawazo kwa hili jambo

    Amesimuliwa wife akiniomba ushauri nikaona nami nililete humu nipate msaada wa MAWAZO Kwan JF ni kisima cha maarifa HATUSHINDWII Wife anafanya Kaz kwenye taasisi moja inayoshughulika na watoto, Sasa Kuna mtoto wa kike mmoja kamsimulia yanayomsibu ipo hivi huyo mtoto wa kike tumuite Jane(sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…