jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huwezi Mtenganisha MULIRO na Matendo ya kiovu yanayoendelea Nchini. Maelezo yake ynaonyesha pia kuwa Jeshi la Polisi limeshindwa KAZI ya kulinda Taifa

    Huyu Jamaa kama ni Roho mbaya, basi ni Shetani ,amejawa Kiburi, jeuri ya Mamlaka kiasi kwamba Licha ya kua anajua anaongea Upumbavu anaelewa fika hamna wa Kumfanya kitu chochote. Huyu Jamaa kama tutapata Taarifa zake Binafsi za Akaunti za Benki ni wazi atakua na Mabilioni Kadhaa ya Fedha ...
  2. JamiiForums Tanzania Ndio maana wale jamaa unakuta wana mapete mengi vidoleni

    Hata mvae nini, tabu ipo pale pale. Tabu ni asili ya mwanadamu katika dunia hii ya ushindani.
  3. JamiiForums Tanzania Bora Mtu umalize form four na miaka 30 kama yule jamaa ambaye hazeeki kuliko kununua cheti kwakuwa utakuwa na cheti kizuri ila kichwani hamna kitu.

    Wanasiasa Ambao mnavyeti vyamagumashi kiukweli Mnaonekana kuwa hampo vizuri kiutendaji . Mimi nimeona hilo.
  4. JamiiForums Tanzania Kesho hakikisha unaweka Bundle , mtajua mambo mengi kuhusu Super black kunyimwa karatasi , issue ya Mzee wa NRNE , na mauaji ya jamaa mweupe wa Tanga

    Kesho weka bundle Mkuu kuna good news zinakuja . Taifa linaenda kupona Timu zipo tatu -hana deni (Consumers) -NREN -Tubadilishe Striker la sivyo tukose wote . Wabaya zaidi wazee watukose wote wapo wengi na hapa mzee wa NRNE anaenda kujiokotea Dodo Kocha Mchezaji ambaye alipata GPA 2 kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Sijaona Mtanzania mwenye akili kama Lissu jamaa yupo nondo sana

    Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani . MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana . Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
  6. JamiiForums Tanzania Hivi haiwezekani huyu jamaa Sura ya kizee mwili wa kijana akawa amelazimishwa kutem tonge kama super black.

    Wakuu msikimbilie kupongeza kila kitu. Yawezekana Sura ya mzee mwili wa Kijana akawa amelazimishwa kutema tonge. Tujipe muda wakuu.
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Kassim Majaliwa atangaza ghafla kutogombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, mkoani Lindi, baada ya kuliongoza kwa takribani miaka 15 mfululizo tangu mwaka 2010. Soma, Pia: Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mnaoomba Mungu na anawasikiliza uwa mnatumia mbinu gani?

    Kuna watu awatumii nguvu wakitaka mambo yao yanawaendea tu. Ukiuliza wanasema ni kudra za mwenyezi Mungu kwa hiyo dawa ni kumuomba Mungu bila kuchoka. Niwapeni tu mkasa kuhusu maisha yangu. Mimi ni mtu ambaye nna uhakika nimekumbwa na mkosi au gundu. Nna miaka mingi sana najitafuta ili niweze...
  9. JamiiForums Tanzania Nimeona hii picha nikakumbuka wale jamaa wa OYA

    Aisee kausha damu sio cha mtoto🤣🤣
  10. JamiiForums Tanzania Hawa jamaa waliendaga wapi

    Wakuu back then nakumbuka kuna kampuni inaitwa tttr autoupgrades nilikuwa nawafatilia instagram sasa leo naangalia kwenye ig maana ni mda sijawafatilia nakuta last post ni 2019.ni kwamba kampuni ilifungwa .ni nini kilihappen
  11. JamiiForums Tanzania Eti jamaa anatabiriwa kuwa asilimia 44 ya maisha yake ataishi "nchi za america". Tazama video

    Mi naona haina haja ya kulaumu wanabii uchwara maana wanatumia fursa ya waliokubali ujinga kama huu uwatawale
  12. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa huenda ana umri mkubwa kuliko mzee Majaliwa

    Kwa muonekano wake tu huyu jamaa umri wake umeenda namba. Huenda ana umri mkubwa kuliko Majaliwa na Mpango. Jinonee wewe utoe tathimini yako.
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya kumsikiliza John Heche nimegundua ndo anafaa kuwa Rais wa Tanzania jamaa ana akili sana.

    John Heche ni hazina kubwa Sana na yupo mbele Sana ya Muda. Huyu ndo anafaa kuwa Rais.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hivi unawezaje, uwe au usiwe CCM, kufurahia Lissu kuwekwa rumande na kuwa mbali na familia na jamaa zake? Labda uwe na roho mbaya ya kishetani sana

    Unajua kitu kimoja ni kwamba kuna mambo na hisia ambayo yanakutambulisha wewe ni mtu wa namna gani. Kuna vitu ambavyo vitakutambulisha wewe kuwa mtu mstaarabu au mwenye roho mbaya ya kishetani sana. Kwa mfano, chukulia kibaka amekamatwa akijaribu kupora simu yako. Watu wenye hasira wanaamua...
  15. JamiiForums Tanzania jamaa kakosa utajili

    Kuna jamaa alienda kutafuta utajiri uko milimani aliekezwa na rafiki ake ambae walisoma wote sasa jamaa alivyo ona mwenzie tajiri nae akatamani akaelekezwa Kufika kwa mganga pale mganga akampa mashariti mengi ila hayo yote aliyaweza ika bado moja ambalo halitakiwa kuingia kwenye iko chumba...
  16. JamiiForums Tanzania Wale jamaa "USHAHIDI: JINSI MKOJO WANGU WA ASUBUHI ULIVYONIPONYA" waliishia wapi

    Watu wakaoga mamikojoo weee🤣🤣, sijui huko wanaendeleaje Mara sijui akashinda bet ya milioni 250 , aisee wabongo 🤣🤣
  17. JamiiForums Tanzania Kuna Jamaa humu ukiwasoma kichwani unaona.... Wanafaa kuwa Wabunge tu maana kwa akili zao hamna jambo la maana wanaweza kufanya

    nafasi ambayo ni rahisi sana kuipata kwa sasa na ambayo haina changamoto yoyote kwa kazi zake. mtu yeyote anaweza fanya ni Ubunge kwa sasa. hii ni nafasi ya kutumikia wananchi kirahisi sana ambayo mtu yeyote as long as anajua kusoma na kuandika anaweza igombea na kupata. kuna watu humu ukisoma...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa ndo the best Mwanasheria/Wakili wa Serikali???? Sasa mbona hata kuongea tu ni shida?

    habari zenu Tanzania? nipo Netherlands nawasalimia sana. Huyu jamaa anayeonekana kwenye Mahakama ndo Mwanasheria/ Wakili Mkuu wa Serikali? mbona anaonekana mzito sana hata kuchambua mambo na kujieleza? hawa watu wanachaguliwa kwa namna gani ? na bado hayupo vizuri katika sheria namwona ana...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanaume mpumbavu ni yule anaye mfukuza binti yake kisa kapata ujauzito au kumlazimisha binti yake aolewe na jamaa aliyempa ujauzito

    Bwana ni mwema wakati wote. Wewe mwanaume mpumbavu unayemfukuza nyumbani binti yako kwa sababu kapata ujauzito akiwa nyumbani nakukumbusha tu kuwa DUNIA HAINA HURUMA. Iwapo wewe mzazi umeamua kumtimua na kumbwaga aende mtaani kumbuka huko ndo ataharibikiwa zaidi na hakika machozi yake...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna jamaa kila nikinunua kitu kwake, ananiongeza, nashindwa kumuelewa kabisa

    Ananifanya niende mbali kufata bidhaa ila nisiende kwake, suala la kuongezana ni kati ya mwanamke na mwanaume, sasa mwanaume kumuongeza mwanaume mwenzio kila akinunua kitu unamanisha nini? Suala la kua bro wako au mteja haimaanishi kua kila nikinunua uniongeze. Huyu jamaa atakua anashida gani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…