Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.
Huyu jamaa alifika kazini akawa anajiona yeye ndo yeye. Kazi anaipenda sana kuliko sisi wengine. Basi ikawa kila mfano mzuri boss anamsema yeye. Kila jambo jema mfano yeye.
Jamaa akaanza kupewa pewa safaris nyingi sana. Akawa anapewa bonus kila mara, yaani kiufupi jamaa alianza kupendeza. Akawa...
Rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukatili, lugha kali na kuwadhalilisha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa.
Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana. Kwa tamko hili jeneza la legacy Sasa imepigiliwa misumari ya kijerumani.
Habari!
Mwaka jana nilizungumza kitu kuhusu hawa comedians jinsi wanavyotisha. Wachekeshaji wetu waache kupoteza muda kuropoka.
Mimi wachekeshaji wetu wanabiboa, kazi yao ni kuropoka majukwaani tu, wakizidi zaidi basi wataiga kazi za wenzao. Hawana ladha kabisa.
Soko lao linaishia ndani tu...
za leo wakuu
kuna jamaa yangu mmoja alinipa hifadhi home kwake maana niliingia mjini mambo hayajakaa sawa. sasa juzi kanambia kuna manzi anakuja ili wainjoy sikukuu so nicheki utaratibu na mahali pa kukaa, sijajua ataondoka lini huyo demu. Ila jamaa ana chumba na sebule na mi nilikuwa naangusha...
Oya wana kibaha eeeh!! Em njooni apa.
Hivi hii ndio finest yenu?
Yani kibaha nzima hakuna msanii wa maana mkaamua mtuletee huyu maarifa??
Ana maarifa gani? Anaimba utumbo gani?
Kuna mtu anamuelewa kabisa huyu jamaa wa kujiita maarifa?
Waziri Mkuu amemuonya mtumishi wa umma kuacha kucheza kamari kwa kuwa muda wote ataliwa tu. Atachukua mikopo benki na bado ataendelea kuliwa ambapo ataingiwa na msongo wa mawazo.
Amempata kazi mtumishi mwingine kumfuatilia mtumishi huyo
Mmiliki huyo mpya wa Twitter amewatumia Barua Pepe Wafanyakazi wake ikiwa na masharti mapya ya utendaji huku akiwataka wanaokubaliana nayo kujaza fomu maalum hadi kufikia Nov. 17, 2022 jioni
Musk amesema "Ili kwenda mbele, kujenga mafanikio ya Twitter 2.0 na kufanikiwa katika Ulimwengu unaozidi...
Kariakoo ni kituko sehemu kama ile ningefikiria ndiyo iwe focal point ya ukusanyaji wa mapato lakini nenda duka lolote kariakoo ukanunue kitu alafu omba risiti uwone.
Kwanza wana kali moja hiyo, wanakuambia bila risiti bei inapungua, mbili, ukiwa unachukua mzigo mkubwa unapeleka mbali...
Huyu bwana namfuatilia Sana he is awesome. Sio mkorofi historia ya maisha yake mpaka response to critic anapata humu.
Huyu MTU UMUGHAKA angesima angekuwa daktar mzuri sana.
Kuna muda baadhi ya watu tukubali kuwapa heshima zao tu
Viongozi watanzania huwa hawajali. Hata mfe mamia au maelfu kwenye ajali moja hawawezi katisha safari zao, sembuse makumi.
Shida huwa hakuna uwajibishaji.
Utawasikia wapiga tarumbeta wao wakikwambia kwani akifupisha ziara, atakuja kuwafufua wafu? Au wewe bwege wajua faida ya ziara?
Tuna...
Hii itakuwa kazi ya Hamis Kigwangala. Huyu ndiyo alimchonga mjomba wake akaja kutuambia ni Hayati Baba Wa Taifa J.K Nyerere. Alipoonesha watu kwa mara ya kwanza wakawa hawaelewi anawaonesha sanamu ya nani.
Ndiyo mmoja mtu mzima mwana CCM kindaki toka miaka ya 70 akauliza hiyo sanamu ya nani...
Kasim Kasim Kasim Kasim Majaliwa nimekutaja mara nne , Una mapungufu yako ya kuwa obdient sana kwa aliyekuchagua yeyote Ila kazi yako naikubali sana
Naona Cross broad ya Kikwete na Mkapa !!!!
May be one day nitafufua uzi huu mwaka 2030 Mungu atuweke ,
Wewe na Hussein Mwinyi mnakubalika zaidi...
Hii ndiyo hali anayokumbana nayo msanii
Kanye West baada ya kuwagusa "wenye dunia yao"(Wayahudi)! Jamaa alitoa kauli hii
“I’m a bit sleepy tonight but when I wake up I’m going death con 3 On JEWISH PEOPLE The funny thing is I actually can’t be Anti Semitic because black people are...
Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Jamaa alikwenda baa jana akanywa na kulewa. Ila aliweza kurudi nyumbani akiendesha gari lake na kweza kuliegesha kama inavyoonekana; sasa ameshindwa kulitoa anaomba msaada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.