jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa ni halali akimbilie Marekani

    Kwahii michano ya Roma mkatoliki kwenye hii Ngoma aliyoshirikishwa na izzo bizness ya Mr Xmas Ni halali jamaa akimbilie marekani maana ni noma Kuna watu wamechanwa humo na hawaelew kama wamechanwa Em cheki Hapa
  2. JamiiForums Tanzania Usifanye haya Mambo unapodeal na mwanamke kama hutaki wakupande kichwani, kinyume na hapo mtalia sana Jamaa zangu!!

    Enyi Vijana wa kiume, ninachokiandika hapa, pengine mnaweza kukitafasiri mjuavyo, pengine mkasema hayana fomula!!. Kwa juu juu hata wanawake wenyewe hapa wanaweza kusema "Mwandishi sio Mwanaume Bora". Nawahakikishieni, hayo ni Maneno yao tuu lkn Moyoni ndivo wanataka waendeshwe. 👉Ni kosa...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi huyu jamaa anajiita Chief Godlove kwani hakuna sheria inayokataza kutukana mitandaoni? Yeye Kila siku Ni kutukana watu wasio matajiri

    Huyu jamaa mda wote ni kutukana watu wote wasio na kipato kama yeye. Kazi ni kupost magari na nyumba anazopigia picha. Anakera sana. Sio uungwana kama ni fedha ni zako sie zinatuhusu nini?
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli wa pisi kali, kuliwa na jamaa boya!

    Watu wakubwa Habari zenu, Nisipoteze muda, kuna bandiko moja nilisoma jamaa analalamika pisi kali kuliwa na Bodaboda. Na kwenye comment watu wengi wana support haiwezekani mtu boya kula au kuoa Pisi kali. Kwanza ijulikane bodaboda sio Boya kuna watu nawafahamu ni bodaboda ila wanamiliki...
  5. JamiiForums Tanzania Anataka nijue kipato chake kwa lazima au ni wivu wangu tu?

    Habari wakuu,natumaini mnaendelea vyema na mapumziko ya weekend! Kuna jamaa ni rafiki yangu ana lodge hapa mjini ya vyumba saba(7). Kwenye hiyo lodge amemweka mdogoake kama msimamizi au manager kwakuwa yeye ni muajiliwa wa serikali hivyo muda mwingi anakuwa kwenye majukum ya kazi yake jambo...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mandonga ametua Kenya, huyu jamaa huchekesha sana

    Jamaa amepata mashabiki Kenya kimzaha mzaha, tambo zake yaani, huwa namfatilia sana. Mandonga mtu kazi tuko nawe kwenye hili, uzalendo pembeni, ukipigwa ni kama umepiga. ================ Amekuja na ngumi inaitwa Sugunyo ambayo imetoka Ukraine kwa mlipuko wa mabomu. Tanzanian boxer Kareem...
  7. JamiiForums Tanzania Putin ajisahau na amuwakia waziri hadharani, jamaa ana msongo sana

    Mzee wa watu keshachanganyikiwa, kama amepagawa vile... For several minutes he accused Denis Manturov of bureaucratic delays in ordering civilian and military planes. "Too long, it is taking too long," said the Russian leader, who has never been one to hold back in criticising top officials in...
  8. JamiiForums Tanzania Malawi: Akamatwa akichomoa mipira ya drip za wagonjwa ili wafe auze masanduku

    Za mchana wakuu, Hii imetokea huko nchini Malawi, jamaa mmoja muuza masanduku anaeishi karibu na hospital fulan ya umma aliingia katika hospital hiyo kinyemela na kuanza kuchomoa mipira ya drip walizowekewa wagonjwa wa kipindupindu ili wafe na yeye apate nafasi ya kuuza masanduku yake...
  9. JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa kazi, nimetengwa na Ndugu, jamaa na marafiki!

    Kazi Nilikuwa nafanyia kwenye moja ya taasisi kubwa za kimataifa. Wiki iliyopita kuna changamoto ilitokea ghafla Sasa kwa sababu Mimi ndiye nilikuwa team leader nikafukuzwa kazini! Taarifa zilienea kwa Kasi ya Moto wa msituni na Baada ya muda Mfupi nikatengwa na Ndugu jamaa na marafiki...
  10. JamiiForums Tanzania Jamaa kutoka kahama katisha Sana na huu wimbo

    Jamaa ana ujumbe mzuri sana, Japo kachanganya na kilugha huu wimbo ni elimu tosha. Sema tu binadamu wagumu. Kuelewa.
  11. JamiiForums Tanzania Jamaa kamweka mwenye Kampuni (Mkurugenzi Mkuu) Kiganjani. Hakohoi Kampuni kama yake

    Namfahamu huyu jamaa sababu nliunganishwa naye kufanya naye deal flani ya kupiga pesa. Si unajua ukiwa Serikalini inabidi ule na washika dau. Sekta binafsi. Mimi ndo maeneo yangu hayo. Jama ni dereva na ndo mshauri mkuu wa Mmiliki wa Kampuni Mhindi mmoja hivi Town. Yaani jamaa ni mchawi...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanachama humu amenikumbusha nilivyomfanyia jamaa mmoja aliyekuwa anajiona kafika kazini

    Huyu jamaa alifika kazini akawa anajiona yeye ndo yeye. Kazi anaipenda sana kuliko sisi wengine. Basi ikawa kila mfano mzuri boss anamsema yeye. Kila jambo jema mfano yeye. Jamaa akaanza kupewa pewa safaris nyingi sana. Akawa anapewa bonus kila mara, yaani kiufupi jamaa alianza kupendeza. Akawa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwa tamko la leo la Rais Samia, 'legacy' ya yule jamaa imezikwa rasmi

    Rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukatili, lugha kali na kuwadhalilisha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa. Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana. Kwa tamko hili jeneza la legacy Sasa imepigiliwa misumari ya kijerumani.
  14. JamiiForums Tanzania Hawa jamaa ndio wameongozwa kutazamwa Facebook 2022 kiulimwengu. Wachekeshaji wetu wajifunze kitu kutoka kwao

    Habari! Mwaka jana nilizungumza kitu kuhusu hawa comedians jinsi wanavyotisha. Wachekeshaji wetu waache kupoteza muda kuropoka. Mimi wachekeshaji wetu wanabiboa, kazi yao ni kuropoka majukwaani tu, wakizidi zaidi basi wataiga kazi za wenzao. Hawana ladha kabisa. Soko lao linaishia ndani tu...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu anasema kuna demu wake anakuja, nimpishe kidogo

    za leo wakuu kuna jamaa yangu mmoja alinipa hifadhi home kwake maana niliingia mjini mambo hayajakaa sawa. sasa juzi kanambia kuna manzi anakuja ili wainjoy sikukuu so nicheki utaratibu na mahali pa kukaa, sijajua ataondoka lini huyo demu. Ila jamaa ana chumba na sebule na mi nilikuwa naangusha...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke andika neno BLUETOOTH, mwanaume reply CONNECTED, mwanamke kama umemwelewa jamaa reply SUCCESSFFULLY

    Tutapata date za kumalizia mwaka, haya twende kazi... Sema JF Bluetooth ziko chache sana
  17. JamiiForums Tanzania Moja ya mashujaa wanoishi

  18. JamiiForums Tanzania Hivi huyu jamaa wa kujiita maarifa anaimba nini?

    Oya wana kibaha eeeh!! Em njooni apa. Hivi hii ndio finest yenu? Yani kibaha nzima hakuna msanii wa maana mkaamua mtuletee huyu maarifa?? Ana maarifa gani? Anaimba utumbo gani? Kuna mtu anamuelewa kabisa huyu jamaa wa kujiita maarifa?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Gaming Act inaruhusu watu wazima kucheza kamari. Sasa mbona Waziri Mkuu anamzuia huyu jamaa?

    Waziri Mkuu amemuonya mtumishi wa umma kuacha kucheza kamari kwa kuwa muda wote ataliwa tu. Atachukua mikopo benki na bado ataendelea kuliwa ambapo ataingiwa na msongo wa mawazo. Amempata kazi mtumishi mwingine kumfuatilia mtumishi huyo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…