Jakaya Mrisho Kikwete (born 7 October 1950) is a Tanzanian politician who was the fourth president of Tanzania, in office from 2005 to 2015. Prior to his election as president, he was the Minister for Foreign Affairs from 1995 to 2005 under his predecessor, Benjamin Mkapa. He also served as the chairperson of the African Union from 2008–2009 and the chairman of the Southern African Development Community Troika on Peace, Defence and Security from 2012–2013.
Jambo lolote ambalo lipo kinyume na katiba ya JMT ni void abnitio
Mgombea urais wa Tanzania anatakiwa kuteuliwa na chama chake mara baada ya bunge kuvunjwa. Hii ni kwa mujibu wa ibara ya 38 (1)(a) ya katiba ya JMT
Kwenye mkutano ule wa kufanya replacement ya Kinana. Mzee Jakaya alipindisha...
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameelezea namna alivyokutana na msanii maarufu duniani, Rihanna. Amesema licha ya kuzungumza naye mambo mengi na kukaa pamoja kwa muda, hakupata picha yoyote akiwa pamoja naye.
Raisi mstaafu jakaya kikwete ni mhimu athibitiwe na wazalendo wa nchi mikakati yake ya madaraka tangu mwaka 1995 hajawahi kuwa na afya kwenye chama na nchi kwa ujumla wote mmeona 2015 na sasa 2025 ni mhimu sasa mtu huyu akemewe hadharani kwani kuna hatari kubwa inakuja mbeleni kwani kundi lake...
Mh Rais wetu Mstaafu Jakaya Kikwete. Uongozi wa kweli haujengwi juu ya ndoto za kifamilia, bali juu ya msingi wa haki, utu na ujasiri wa kusema ukweli hata pale ambapo ukimya ni salama zaidi. Leo hii Tanzania inalia. Tundu Lissu, aliyenusurika kuuawa kwa risasi akiwa mpinzani mkuu wa serikali...
"Unajua huyu kuna kipindi aliteleza, Huyu Kitila Mkumbo alikuwa mwenyekiti wa vijana UVCCM mkoa wa Singida, sijui Mbowe alikuja kudanganya nini yule pale, kwahiyo anayo fanya haya ni ya ki-CCM, anakumbuka kule alikotokea. Na hio siri nimeitoa ili watu wajue kwamba uliteleza kidogo lakini umerudi...
Mzee Kikwete amesema kuongoza Watu million 61 ni kazi Ngumu sana yeye amewahi kuwa Kiongozi hivyo anajua
Wakati anastaafu Urais wake 2030 Rais Samia ataliacha taifa lenye Watu takribani million 70 hivyo ni vema viongozi wa Dini wakazidi kumuombea
Source ITV
Baadhi ya matukio katika Mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi unaofanyika jijini Dodoma tarehe 29-30/05/2025.
Na hao ni baadhi ya makada wazalendo wa CCM wakiendesha baiskeli wakiwa wanaingia ukumbi wa Jakaya Kikwete kushuhudia kila kitu kwenye mkutano huo
Wajumbe ukumbi uko tayari
Ukumbi wa Jakaya Kikwete ukotayari kwa ajili ya mkutano mkuu maalum utakao fanyika kesho tarehe 29. Na tarehe 30 may utakao ongozwa na mwenyekiti wa chama chama cha mapinduzi Samia Suluhu Hassan
Mzee Kikwete akitoa neno katika msiba ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, amesema Mzee Msuya hakuwahi kuitisha waandishi wa Habari na kuanza kuisema Serikali inafanya mambo ya ovyo (Walio msibani wameshangilia sana).
Naona hili jiwe karusha moja kwa moja kwa Mzee Jaji Warioba kwani amekuwa mwiba mkali...
Heshima hujengwa kwa muda mrefu lakini inaweza kuvunjika ndani ya saa 1 tu usipokuwa makini.
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mwenendo wa Rais mstaafu Jakaya Kitwete tangu alipostaafu mpaka sasa kuanzia utawala wa marehemu JPM na sasa Rais Samia. Nakiri Jakaya kuwa ni mwanasiasa mtulivu mwenye...
TAARIFA RASMI | MCHAKATO WA KUANZISHA TAASISI YA KITAIFA YA UZALENDO NA MALEZI TANZANIA (TUMT)
Kwa mujibu wa haja ya dharura ya taifa katika kujenga msingi imara wa maadili, uzalendo wa kweli, na malezi chanya ya kizazi kijacho, Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha imeanza rasmi mchakato wa...
Raisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile anaunga mkono mtekaji unao endelea, Polisi kutokufuata sheria, Mahakama kuwa dhaifu na haki.
Kwenda...
Jakaya Kikwete akiwa na Washindi wa Miss Tanzania mwaka 1995 katika picha ya pamoja.
Mshindi wa Miss Tanzania mwaka huo alikuwa Emily Adolf.
Miaka takribani 30 iliyopita, hapo Mh. Jakaya Kikwete akiwa Waziri wa Fedha, alialikwa kama mgeni rasmi.
Nyakati zinakimbia sana.
NB:
RIP Hasheem...
Ndugu zangu Watanzania,
Mgombea wetu wa Ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika Mheshimiwa Profesa Mohammedi Janabi. Ameendelea kuchanja Mbuga na kupata mapokezi makubwa na heshima maeneo mbalimbali ya Bara la Afrika katika kusaka kura za ushindi wa kishindo na heshima katika uchaguzi...
Kuna wakati aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alitoa hotuba hii kuelezea masuala kadhaa ya demokrasia.
Kama upo Team Lumumba na bando limekuishia usianze kujibu kama video hujaisikiliza.
My Take
Linapokuja Suala la delivery,Samia ni next level,tunae Rais anaeleta matokeo.JK Yuko sahihi
Pia soma Pre GE2025 - Rais Samia na Miaka 4 ya Uongozi wenye Neema, Watanzania Waogelea Kwenye Mafanikio huku Akijenga Dira ya Tanzania Mpya
Msanii wa R&B Juma Jux hatimaye amepata nafasi ya kumtambulisha rasmi mke wake, Prisca ama priscy, kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, pamoja na mke wake Mama Salma Kikwete.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Jux ameweka video hii na kuandika;
"Hatimaye...
Matukio mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.