jakaya kikwete

Jakaya Mrisho Kikwete (born 7 October 1950) is a Tanzanian politician who was the fourth president of Tanzania, in office from 2005 to 2015. Prior to his election as president, he was the Minister for Foreign Affairs from 1995 to 2005 under his predecessor, Benjamin Mkapa. He also served as the chairperson of the African Union from 2008–2009 and the chairman of the Southern African Development Community Troika on Peace, Defence and Security from 2012–2013.

View More On Wikipedia.org
  1. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete kazi ya kulinda tunu ya nchi imemshinda

    Kwa sasa Tanzania hakuna mtu mwenye jukumu la kuilinda Tanzania kama ‘Jakaya Kikwete’ ndio supremo wa mfano. Wengine ni retired security officers, yaani previous CDF, DGIS, IGP’s, Magereza na uhamiaji. Hawa watu wanajukumu la kuhakikisha Tanzania inabaki kama walivyoikuta na wengine mbele yao...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia alivyomkumbatia kwa furaha Kikwete mara baada ya Uapisho kukamilika

    Rais Samia alivyomkumbatia kwa furaha Rais mstaafu Jakaya Kikwete mara baada ya shughuli ya Uapisho kukamilika.
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Miye mzima, Afya yangu nzuri wanaoniombea mabaya watatungulia wao

    Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amesema kuwa yeye ni mzima na Afya yake ni nzuri. Ameyasema hayo leo Oktoba 10, 2025 aliposhiriki kwenye mkutano wa Kampeni za Urais za Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, Bagamoyo mkoani Pwani. Pia Soma:Baada ya kimya...
  4. Criss

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mzee Kikwete ni dharau kubwa sana kwa Taifa

    Heshima ya Rais mstaafu hupaswa kuwa ni ya kiwango cha juu sana kwenye Taifa lolote alilowahi kulitumikia na kimataifa kwa ujumla . Lakini kwa ile kauli ya Kikwete iliyotolewa jana akiwa huko Pwani inadhihirisha siyo tu ameshindwa kuheshimu thamani ya demokrasia na vilio vya watu waliyonyimwa...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutajenga uwanja mkubwa wa michezo Msoga kumuenzi Kikwete

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa serikali yake itajenga uwanja mkubwa wa michezo katika eneo la Msoga, Chalinze, mkoani Pwani iwapo atapata ridhaa ya wananchi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Wabunge wote wa Pwani bunge lijalo watatoka CCM, hatuko tayari kuchanganya pumba na mchele

    Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Mhe Dkt Jakaya Mrisho kikwete amesema kuwa anaamini Bunge lijalo wabunge wa Pwani wote watakuwa wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na pia anaamini hiyo itakuwa Kwa Nchi nzima. Dkt. Jakaya ameyasema hayo Leo Sept 28,2025 Kiwanja Cha Sabasaba Kibaha Mkoani Pwani Kwenye...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Nchi yetu ina umoja na utulivu, maendeleo ya kiuchumi na kijamii yanapatikana

    "Nchi yetu ina umoja. Nchi yenye makabila 120 wa rangi mbalimbali, waumini wa dini mbalimbali, lakini hakuna ugomvi wa kikabila, hakuna ugomvi wa kidini, wala hakuna ugomvi wa maeneo." - Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete kwenye kampeni Kibaha mkoani Pwani
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jakaya: Gari lililopata ajali kwenye msafara si langu

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (JK), amekanusha taarifa zilizodai kuwa gari lililoanguka katika msafara wake lilikuwa gari lake binafsi, akieleza kuwa yeye hakuwepo ndani ya gari hilo. Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Sitamzuia Mke wangu kufanya kazi ya Siasa

    Rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete, amesema hana pingamizi lolote kwa mkewe, Salma Kikwete kuendelea kufanya kazi za uwakilishi bungeni Amewataka wananchi wa Jimbo la Mchinga, lililopo mkoani Lindi, kumpigia kura ili aendeleze alipoishia katika kipindi kilichopita. Salma amelitumikia jimbo...
  10. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Kuna siku watanzania watakuja kumshukuru Mh. Kikwete kwa kuwa mstari wa mbele katika kushauri viongozi walio madarakani

    Mzee Kikwete kawa mstari wa mbele katika kuhakikisha taifa la Tanzania linakuwa tulivu kwa kushauri uongozi uliopo madarakani kama mstaafu wa taifa hili. Wengi wanabeza ushiriki wake katika Serikali iliyopo madarakani kama mstaafu lakini hawajui ni muhimu kiasi gani alieyekuwa Raisi wa nchi na...
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete akizungumzia mtandao

    Hii nimeikuta mahali Jakaya Kikwete akizungumzia mtandao wao akimtaja Edward Lowassa, Samuel Sitta na Rostam Aziz. 👇 Jee kwa maelezo haya nani alianzisha matumizi ya neno mtandao kwenye kundi lao?
  12. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

    Miongoni mwa atakayozungumza: 1. Biashara za Rostam Aziz 2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam 3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki 4. Wezi wanakoficha pesa 5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini 6...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo

    Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho amesema, "Najua kulikuwa na maneno eti utaratibu umekiukwa na mimi nililaumiwa kwa jinsi nilivyosema kwenye Mkutano Mkuu, lakini waliokuwa wanasema hayo ama hawafahamu utaratibu...
  14. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Jakaya Kikwete alisema ni muhimu mgombea urais 2015 awe na umri usiozidi miaka 60. Kulikoni leo aone sahihi kwa Samia mwenye miaka 65?

    "Mimi natamani rais wetu ajaye awe na umri kama wangu wakati nilpoingia madarakani wakati ule,..,umri wa miaka miaka 55..kwa sababu hizi kazi zinachosha sana ukiwa na umri mkubwa" Hayo ni maneno ya rais mstaafu Jakaya Kikwete katika uwanja wa majimaji ,Songea mwaka 2015 kabla ya dirisha la...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kumbukizi: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete "Hakuna Udikteta Nusu"

    Mtazamo wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuhusu Udikteta vs Demokrasia. "Hakuna Udikteta Nusu" Haliyasema hayo July 23, 2023 Rais mstaafu J Kikwete anaeleza kuwa hakuna udikteta nusu au udikteta wenye ubinadamu, Udikteta ni udikteta tuu. Udikteta ni kuwanyima watu fursa ya kutoa maoni, wewe peke...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Kikwete wewe una sehemu kubwa kuifanya nchi iende vizuri au vibaya. Mungu akutumie kuweka nchi katika reli

    "Mrisho Jakaya Kikwete wewe unasehemu kubwa kuifanya nchi iende vizuri au vibaya, wewe ndiye Rais mstaafu ulibaki uliokuwa madarakani uliye hai kila unachokifanya kinatafasiri mwelekeo wa nchi, kwahiyo nakushauri sana Mungu akutumie kuweka nchi katika reli". - Amesema Askofu Gwajima Soma pia...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete ungeachana tu na mambo ya siasa. Haitapendeza siku ukitutoka watu wafanye sherehe

    Umeifanyia mengi nchi hii Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
  18. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Kikwete aliposema Mzee Kisebengo anaweza kuzuia mvua isinyeshe ilikuwa kweli au masihara?

    Katika hotuba yake pale Kwala wakati wa uzinduzi wa bandari ya nchi kavu miongoni mwa mambo aliyoyasema Mzee JK ni kuwa aliulizwa na Mh Rais kuwa huku kwenu hakuna wazee wanaoweza kuzuia mvua? Rais Mstaafu JK akasema alimjibu Mh Rais kuwa yuko Mzee mmoja maarufu jirani pale anaitwa Mzee...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI | Ipe maneno video hii ya Jakaya Kikwete

    Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete kwa bashasha akaomba TOT Band waimbe wimbo maarufu wa hamasa "Chama Cha Mapinduzi... CCM No. 1!" Agosti 4, 2015 Makao Makuu ya Chama hicho, Lumumba.
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jakaya Kikwete awashukia wanaoshangaa Ridhiwani kutokuwa na mpinzani

    Wakuu naona utaendelea kushaangaana sasa, wa kuondoa mshangao naye anawashangaa wanoshangaa === Jakaya Kikwete amesema anawashangaa wanaoshangazwa na suala la Ridhwan kikwete kupita bila kupingwa/kutokuwa na mpinzani kwani jambo hilo ni la kawaida na amewahi kupita mara kdahaa bila moinzani...
Back
Top Bottom