Jakaya Mrisho Kikwete (born 7 October 1950) is a Tanzanian politician who was the fourth president of Tanzania, in office from 2005 to 2015. Prior to his election as president, he was the Minister for Foreign Affairs from 1995 to 2005 under his predecessor, Benjamin Mkapa. He also served as the chairperson of the African Union from 2008–2009 and the chairman of the Southern African Development Community Troika on Peace, Defence and Security from 2012–2013.
Hii ilikuwa kwenye msiba wa Bob Makan ambae na yeye alikuwa mmoja wa Waasisi wa Chadema na yeye alikuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania.
Jeneza la Bob Makani lilifunikwa bendera ya Chama mwanzo, mwisho.
Hata Kikwete akiwa Rais alitoa heshima za mwisho jeneza likiwa limefunikwa bendera ya...
SWALI KWA KIKWETE: KAMA AMANI YA KUDUMU SIO TUNDA LA HAKI WATANZANIA TUNATOKAJE OKTOBA 2025 NA KUFIKA KWENYE UFALME WA HAKI NA AMANI TUNAKOPASWA KWENDA?
Mpendwa Jakaya Kikwete,
Rais wa Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Tangu 21 Desemba 2005 hadi 5 Novemba 2015.
Nakuandikia tena...
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akitoa sifa za Dkt. Fatma mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akizindua jengo la Taaluma na Utawala, pamoja na Bweni la Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Januari 08, 2026...
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam(UDSM) ambaye ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amempongeza Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Mwigulu Lameck Nchemba kwa kazi anayofanya akieleza kuwa chuo hicho kinajivunia nafasi aliyonayo kwani naye ni mhitimu wa chuo hicho.
Dkt...
Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa Qatar kwenye Mkutano unaofahamika kama Doha Forum alizungumzia masuala anuai yanayohusu vijana ikiwemo elimu, uchumi, na mustakabali wa Afrika.
Baada ya mkutano huo alichapisha ujumbe kwenye mtandao wa X akiwa amefunga comment, ambapo maoni ya watumiaji wa mtandao...
Hakuna ubishi. Desemba 9 inakaribia. Wote tunajua kitakachotokea ingawa wengine wanajiridhisha kuwa hakuna kitakachotokea.
Mie ni mwanafunzi siku zote. Wakati wengi wakiwazodoa Gen Z kuwa wasingekinukisha kikanuka Oktoba 29, mie nilisema watakinukisha kama walivyokinukisha Tanzania, kisiwa cha...
Katika kumbukumbu December 3 2012 raia mstaafu Jakaya Kikwete akiwa Rais wa Tanzania wakati huo aliwahi kutamka maneno haya akimrejea Hayati baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere.
Samia na Kikwete kuweka watoto wao serikalini ni kutu tukana wataanzania.
Hakuna nchi ya kidemokrasia duniani iliyofanya vitu kama hivi vya matusi, kuna watu wamejimilikisha hii nchi hatutakubali.
Mzee huyu Kwa kutanguliza mbele tumbo lake ameliharibu taifa. Kikwete amekuwa election observer katika nchi mbalimbali za Afrika, aliona chaguzi zenye staha kama uchaguzi wa Kenya, na Ghana.
Kikwete alinukuliwa live anasema uchaguzi wa Kenya ni huru na Haki Kwa Hali ya juu.
Uku kwetu bila aibu...
Taarifa ya DW swahili iliyosoma na Bakari Ubena wamemtaja Mtoto wa Rais Abdul kama mshauri Mkuu wa Rsis, Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa asiye Rasmi na Mtu aliye nyuma ya Mateso ya Mauaji ya Waandamanaji na Msuka mikakati nyuma ya Mama yake asiye rasmi.
Abdul Anatuhumiwa kuwa ndiye Msuka...
Kwa sasa Tanzania hakuna mtu mwenye jukumu la kuilinda Tanzania kama ‘Jakaya Kikwete’ ndio supremo wa mfano.
Wengine ni retired security officers, yaani previous CDF, DGIS, IGP’s, Magereza na uhamiaji.
Hawa watu wanajukumu la kuhakikisha Tanzania inabaki kama walivyoikuta na wengine mbele yao...
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amesema kuwa yeye ni mzima na Afya yake ni nzuri.
Ameyasema hayo leo Oktoba 10, 2025 aliposhiriki kwenye mkutano wa Kampeni za Urais za Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, Bagamoyo mkoani Pwani.
Pia Soma:Baada ya kimya...
Heshima ya Rais mstaafu hupaswa kuwa ni ya kiwango cha juu sana kwenye Taifa lolote alilowahi kulitumikia na kimataifa kwa ujumla .
Lakini kwa ile kauli ya Kikwete iliyotolewa jana akiwa huko Pwani inadhihirisha siyo tu ameshindwa kuheshimu thamani ya demokrasia na vilio vya watu waliyonyimwa...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa serikali yake itajenga uwanja mkubwa wa michezo katika eneo la Msoga, Chalinze, mkoani Pwani iwapo atapata ridhaa ya wananchi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025...
Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Mhe Dkt Jakaya Mrisho kikwete amesema kuwa anaamini Bunge lijalo wabunge wa Pwani wote watakuwa wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na pia anaamini hiyo itakuwa Kwa Nchi nzima.
Dkt. Jakaya ameyasema hayo Leo Sept 28,2025 Kiwanja Cha Sabasaba Kibaha Mkoani Pwani Kwenye...
"Nchi yetu ina umoja. Nchi yenye makabila 120 wa rangi mbalimbali, waumini wa dini mbalimbali, lakini hakuna ugomvi wa kikabila, hakuna ugomvi wa kidini, wala hakuna ugomvi wa maeneo." - Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete kwenye kampeni Kibaha mkoani Pwani
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (JK), amekanusha taarifa zilizodai kuwa gari lililoanguka katika msafara wake lilikuwa gari lake binafsi, akieleza kuwa yeye hakuwepo ndani ya gari hilo.
Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo...
Rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete, amesema hana pingamizi lolote kwa mkewe, Salma Kikwete kuendelea kufanya kazi za uwakilishi bungeni
Amewataka wananchi wa Jimbo la Mchinga, lililopo mkoani Lindi, kumpigia kura ili aendeleze alipoishia katika kipindi kilichopita. Salma amelitumikia jimbo...
Mzee Kikwete kawa mstari wa mbele katika kuhakikisha taifa la Tanzania linakuwa tulivu kwa kushauri uongozi uliopo madarakani kama mstaafu wa taifa hili.
Wengi wanabeza ushiriki wake katika Serikali iliyopo madarakani kama mstaafu lakini hawajui ni muhimu kiasi gani alieyekuwa Raisi wa nchi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.