jaji

  1. R

    JamiiForums Tanzania Neno Mh Rais alilotumia Jaji Mkuu ni kumhusu Rais wa TLS Mwabukusi na si vinginevyo

    Salaam! Mh Jaji Mkuu hakukosea, na hakuteleza alliotamka neno Mh Rais. Mh Rais aliyetajwa hapo ni Mh Rais wa TLS ndugu Mwabukusi . Sasa wenye data za kuungaunga waangaliapo video,tafadhali msipotoshe umma kwa makusudi. Mh Mwabukusi ni Rais halali kabisa na alishinda kihalali kabisa. Nj hayo tu.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande aliyekushauri kuzima mtandao wa so called tume yako amekupoteza. UNAFICHA NINI? UNAFICHA UKWELI AU UONGO?

    Sasa ndiyo huaminiki kabisa kabisa. Zile tuhuma kuwa huwezi kumchunguza aliyekuteua ndiyo umezidhihirisha! Kitu gani hutaki watu wakisikie na kukiona? Kwa sababu ipi? Labda kwa vile hii si TRUTH AND RECONCILIATION COMMISSION unaweze kuiendesha unavyotaka au waliokuteua wanavyotaka!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye anwani ya huyu jaji

    Kuna ndugu zake wanamtafuta kama unajua anapoishi tuma pin au anwani yake
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: ACT Wazalendo, ilikutana na Tume ya Jaji Chande na wakaomba isipigwe picha?

    Nimepewa hii habari na mtu alie karibu sana na mmoja wa wa viongozi wa ACT Wazalendo, na nimeileta kama tetesi ingawa nimehakikishiwa kwamba ni ukweli kwa asilikia 100, akaniambia Viongozi walisha kutana na tume ya Chande ila shariti kubwa ni walitaka isipigwe picha, na alie shinikiza ni Katibu...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Jaji Warioba asiwe na chuki kwa viongozi waliopo, tunakuheshimu, staafu vizuri

    Katibu Mwenezi wa CCM, Kenani Kihongosi amemwomba Jaji Mstaafu, Joseph Warioba asiwe na chuki kwa viongozi waliopo bali awashauri kwa hekima badala ya kulalamika mtandaoni. Akizungumza na wanahabari jijini Dodoma siku ya Jumamosi, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Jaji Chande yakutana na Jaji Warioba kujadili matukio ya Uchaguzi wa 2025

    TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Joseph Warioba. Mkutano huo wa Tume na Mzee Warioba, ambaye pia ni Jaji mstaafu ulifanyika...
  7. JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Jaji Mkuu hatakiwi kuomba ulinzi, polisi wanawajibika kwake

    Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka, ameshangazwa na majaji kulalamika mbele ya Rais kuhusu usalama wao, akisisitiza kuwa kisheria, vyombo vya ulinzi na usalama ni vyombo vya Dola na si mali ya Rais au Serikali pekee. Akizungumza na Jambo TV leo, Januari 14, 2026, Madeleka amefafanua kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Masaju nae halijui hili?

    Kama Jaji na hakimu wakiamua kesi kwa haki na haki imeonekana ikitendeka mbele ya jamii, kazi ya Jaji na hakimu itakuwa kazi kama kazi nyingine tu. Hakuna haja ya hofu kwa majaji. Ujira mdogo hauathiri utoaji haki kwa majaji na mahakimu tu bali hata kwa wafanyakazi wa fani zote. Huwezi kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu anaomba maslahi mazuri toka kwa Rais Samia, Mahakama zitakuwa huru? Kwanini asiombe katiba ibadilishwe ili awe anajipangia fungu lake?

    Nahisi kama tangu tumepata uhuru huyu atakuwa Jaji mkuu ambae yupo linked na siasa. Analialia kuwa yeye na mahakimu wake wana hali mbaya kimaslahi hivyo anaomba waongezewe posho. Hapa mahakama zitakuwa huru? Mimi nilitarajia aombe mabadiliko ya sheria ambayo yatamfanya awe na mhimili ambao...
  10. JamiiForums Tanzania Makinda alimkatalia Mnyika, Leo hii Jaji Mkuu analalamika

    John Mnyika akiwa ni mbunge na Anna Makinda Spika wa bunge, kuliendeshwa mjadala wa ama ni sahihi wakuu wa Wilaya na mikoa kuwa mamlaka ya nidhamu Kwa mahakimu au si sahihi. Mjadala ule ulioendeshwa mpaka zaidi ya saa nne usiku Mnyika alipinga kabisa wakuu wa mikoa na wilaya kuwa mamlaka ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu, Kwahiyo shida ya mahakama zetu ni Kiswahili? Is this a pressing need of our judiciary?

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali atakapokuwa amekamilisha tafasiri ya matoleo ya kisheria kwa lugha ya Kiswahili, tutaanza pia kuandika hukumu kwa Kiswahili. Nimeambiwa yuko katika hatua za mwishoni, na sheria tayari ilishatungwa inayosema lugha ya Mahakama itakuwa ni ya Kiswahili." - George...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Alichosema Jaji Mkuu hutasikia Mganga Mkuu wa Serikali anakisema kwa niaba ya wadau wake

    Yote aliyosema Jaji mkuu yanaakisi Mmomonyoko wa uwajibikajo kwa taasisi nyingi na Baadhi ya Sekta na Wizara,, hususa Wizara ya Afya na Sekta ya Afy. Nchi imekua na utendaji mbovu kutokana na watumishi kutopewa stahiki zao, kubadilishiwa Miundo ya Mishahara kulingana na hali ya kiuchumi...
  13. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Masaju: Majaji na Mahakimu wawezeshwe kuishi maeneo salama na yenye hadhi kama ilivyokuwa zamani

  14. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Masaju: Majaji na Mahakimu wanapaswa kujitosheleza kimamlaka na kiuchumi

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju akizungumza wakati Rais Samia Suluhu kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  15. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Mahakama haiwezi kuwa huru kama Watendaji wake hawana uhakika wa mishahara na mazingira bora ya kazi

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amezungumzia kuhusu maslahi ya Watendajiw a Mahakama mbele ya Rais Samia Suluhu ambaye anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  16. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Mahakama kuanza kuandika hukumu kwa Lugha ya Kiswahili

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amesema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, tarehe 13 Januari...
  17. K

    JamiiForums Tanzania ITV: Waliopigwa risasi na kuuwawa mnamo tarehe 29 Oktoba 2025 hawakuwa waandamaji - Tume ya Jaji Chande

    Nipo hapa napata Moja baridi na Moja baridi nchi jirani huku nikofuatilia ITV HABARI kupitia YOUTUBE, huyu mtangazaji wa ITV anayeitwa Asiraji Mvungi, ameripoti Kwamba Tume ya Jaji Chande imekutana na wahanga na waathirika wa vurugu baada ya uchaguzi, na waathirika hao wamemwambia Jaji Chande...
  18. JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kutuma ushahidi kwa inayoitwa "Tume Huru ya Uchunguzi ya Jaji Othuman Chande" achukuliwa na 'wasiojulikana'

    NB: Anayetaka kuthibitisha hili, aende pale Mabibo zilipo Hostel za wanachuo wa UDSM aulize steshenari aliyokuwa anauza Dada Devotha. Watakuambia hajui alipo zaidi ya wiki sasa.... Shetani yuko kazini jamani kulinda himaya na utawala wake ktk Tanganyika akiwatumia mawakala wanadamu wenzetu...
  19. JamiiForums Tanzania Utekaji ulianza mwaka 1989, Jaji Warioba akiwa Waziri Mkuu

    Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare. Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna. Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais...
  20. JamiiForums Tanzania Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba kuhusu vifo vya Oktoba 29 ni uongo na uchochezi wa kisiasa

    Wanakumbi. Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba Kuhusu Vifo vya Oktoba 29 ni Uongo na Uchochezi wa Kisiasa. Katika Vita ya Kagera (1978–1979), takwimu zinazokubalika kitaifa zinaonesha wazi kuwa Wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha walikuwa 373 Askari wa Kikosi cha Ukombozi cha Uganda (UNLA)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…