jaji mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taarifa ya makubaliano kati ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) na Jaji Mkuu wa Tanzania

    TAARIFA YA MAKUBALIANO Kati ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) Na Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George M. Masaju Tarehe: 11 Agosti 2025 Kufuatia ahadi iliyotolewa mnamo Aprili 2025 ya kufika mbele ya Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, uongozi wa TLS...
  2. M

    Agizo la Jaji Mkuu George Masaju ladaiwa kuharibu kesi za polisi mahakama za Mwanzo

    Ni agizo alilolitoa mapema mwaka huu baada ya kuapishwa kuwa watuhumiwa wa makosa ya jinai mahakama za mwanzo waww wanajidhamini wenyewe Tatizo limekuja kuwa gumu baada ya wanaojidhamini mahakamani kutorudi tena na kutokomea kusikojulikana. Ingawa alielekeza kuwa kesi ziendelee upande mmoja...
  3. GE2025 Jaji Mkuu Masaju ndio atamuapisha Rais Dr SSH kuongoza tena 2025-2030

    Endeleen kupiga makelele ya Wagombea wawe watatu, Mmoja au wawili ila ni Mheshimiwa Jaji Mkuu Masaju atakayemuapusha Mheshimiwa Dr SSH kuwa Rais wa JMT 2025-2030 baada ya ushindi mnono. Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable FaizaFoxy Mpwayungu Village
  4. Jaji Mkuu, mahakama za Moshi Arusha zinatesa sana wananchi kwenye kesi za mirathi

    Mh. Jaji Mkuu, Kwanza nikupongeze sana sana sana kwa kuchaguliwa kuwa Jaji wetu Mkuu wa Tanzania. Wakati huu unaingia, tunakumbuka kuwa Jaji wetu mstaafu alikuwa akisisitiza sana sana haki na utawala bora. Mungu ambariki. Pamoja na haya, wapo baadhi ya mahakimu wanaosumbua sana wananchi, hasa...
  5. Z

    Jaji Mkuu wa Tanzania George Masaju apendekeza kuwepo kwa mahakama za rufaa katika mikoa yote ya Tanzania

    Jaji Mkuu ameyasema hayo leo mara baada ya kula kiapo. Amepend2keza kuwepo kwa Mahakama ya Rufaa kwa kuanzia na Mikoa ya DSM, Mbeya na Arusha ili kurahisisha upatikanaji wa haki kwa wakati kuliko ilivyo sasa hadi majaji kutoka Dodoma watembelee jambo ambalo linachelewesha haki za wananchi...
  6. Kwanini Rais Samia anapenda kufanya kazi kwa ukaribu na watu kutoka mkoa wa Mara?

    Jaji mkuu mstaafu Prof Ibrahim Juma ni mwenyeji wa mkoa wa Mara, Jaji mteule Maseju nae ni mwenyeji wa mkoa wa Mara. IGP mstaafu Simon Sirro ni mtu wa Mara, IGP wa sasa pia ni mtu wa Mara. ADC wa Rais Samia nae ni mtu wa Mara, pia nimedokezwa hapo ikulu kwa sasa wasaidizi wengi wa mheshimiwa...
  7. M

    Hongera Jaji George Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania, nakuomba pokea ushauri huu ambao mtangulizi wako aliukataa

    Hongera sana Jaji George Masaju, sina shaka kabisa na wewe kuhusu utendaji wako wa kazi, umeandaliwa vizuri, ulikuwa mwanasheria mkuu wa serikali na kazi ilionekana, ukaenda kuwa mshauri wa Mhe Rais na kazi imeonekana, sasa piga kazi sisi vijana wako tunaounga mkono serikali hata kama hatuko...
  8. Z

    Jaji Mkuu George Masaju baada ya kuapishwa anza na mambo yafuatayo;-

    Kwanza nampongeza Jaji Masaju kwa kuaminiwa na Mhe. Rais na kumteua kuwa Jaji Mkuu mpya wa Tanzania. Mara baada ya kula kiapo tunashauri aanze na mambo yafuatayo;_ 1. Ondoa uonevu na upendeleo ndani ya muhimili wenyewe, jenga umoja na mshikamano. tenda haki kwa watumishi wote bila upendeleo...
  9. Jaji mkuu alishatoa mwongozo kuwa hakuna mtuhumiwa kupandishwa kizimbani mpaka upelelezi ukamilike. Kwa nini Hakimu huyu anaegemea upande wa Jamhuri?

    Mwongozo upo wazi kabisa na ulitolewa na Jaji mkuu wa Tanzania. Hii ilikuwa ni kupunguza mrundikano wa mahabusu. Sasa kama Jamhuri haikamilisha upelelezi kwa nini Lissu alikamatwa na kupandishwa mahakamani. Kama makosa ni kuchapisha maneno na kutamka maneno ya uchochezi na uhaini upelelezi...
  10. R

    Jaji Mkuu nitakukumbuka kwa kuziondolea mamlaka ya kutoa hukumu Ward Land DisputeTribunals maana walikuwa wanakula rushwa na kuharibu kesi za watu

    Naomba nikushukuru kwa hilo. Rais alisema you are soon exiting. Hili kwangu ni jambo jema maana lilikuwa linaleta kuuana huko vijijini.
  11. A

    Maneno ya Jaji Mkuu wa India juu ya Katiba na Mihimili 3 ya nchi. IPO kwa KiingerezaConstitution is supreme, not us': CJI Gavai urges harmony between

    Constitution is supreme, not us': CJI Gavai urges harmony between judiciary, executive, and Parliament | India News - The Times of India In his first public address since assuming office, Chief Justice of India B R Gavai on Sunday asserted that it is not the judiciary, executive, or Parliament...
  12. R

    Jaji Mkuu tafadhali pitia marekebisho ya sheria ya kutumia Kiswahili kwenye mahakama, kuna mkanganyiko mkubwa

    Kuna conflicting decisions na mambo mengine ambayo yanafanya matumizi ya kiswahili kuleta shida mahakamani. Mawakili wanaweza kukupa undani wa hoja hii. Sisemi Kiswahili wakiache matumizi yake yasiwe ya lazima, kuwa na flexibility ya kiingereza na kiswahili mtu achague anataka kutumia lugha...
  13. R

    Rais wa Ghana amasimamisha kazi Jaji Mkuu: Uhuru wa mahakama mashakani

    Sitaki kuandika juu ya sababu za kumsimamisha, my concern is the Idependncy of the Judiciary! Ghana president suspends chief justice in unprecedented move Rais wa Ghana, John Mahama, amemsimamisha kazi Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu – tukio la kwanza katika historia ya nchi hiyo. Uchunguzi...
  14. Kama Rais anachaguliwa na wananchi, Spika wa bunge anachaguliwa na wabunge, kwanini Jaji mkuu asichaguliwe na majaji?

    Kama kuna mhimili wa dola unaodharaulika, kutumiwa vibaya na kudhoofishwa basi mhimili wa mahakama ndio kinara. Sijaona mantiki kwa nchi yenye mihimili rasmi ya dola mitatu inayojitegemea, yaani Rais (serikali), bunge na mahakama, halafu Rais kwa mamlaka yake awe ndio anayeteua mkuu wa mhimili...
  15. R

    Uhuru wa Mahakama: Mahakama yasitisha amri ya Trump ya kuzuia uraia wa kuzaliwa Marekani

    UHURU WA MAHAKAMA Kwako Ibrahim Juma , CJ. MH. JAJI MKUU NAOMBA UPITIE UONE KAMA KUNA HAJA YA KUIGA MFANO HUU WA MAHAKAMA HURU Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani, John Coughenour, ametoa agizo la muda la kusitisha utekelezaji wa amri ya Rais Donald Trump ya kufuta uraia wa kuzaliwa nchini...
  16. Jaji Mkuu Martha Koome aituhumu serikali kwa kumuondolea walinzi wake. Asema ni shambulio dhidi ya Mahakama na Ofisi ya Jaji Mkuu

    Wakuu, Jaji Mkuu Martha Koome ameituhumu serikali, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani, kwa kuondoa walinzi wake, hatua ambayo ameielezea kama shambulio dhidi ya Mahakama na ofisi ya Jaji Mkuu. Koome alitoa madai hayo katika barua aliyoiandika Alhamisi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani Kipchumba...
  17. M

    Ikiwa nafasi ya uenyekiti tu wa chama mnabagazana namna hii ingekuwaje kama mngeshika dola kuhusu nafasi ya Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu na Mawaziri

    Nimekuwa najiuliza sana kama nafasi ya uenyekiti wa chadema tu mnaongea hadi mnapitiliza, mnatukanana hadi wazazi wenu, mmefikia hatua ya kuua udugu wenu, zogo kila kila siku, kila mwanachama anaita vyombo vya habari anafyatuka tu, Mbowe anaongea kule, Lissu anaongea pale, Lema yuko kule, Heche...
  18. Trump kumuekea vikwazo Karim Khan, Jaji mkuu wa mahakama ya ICC baada ya uamuzi wake dhidi ya Benjamini Netanyahu

    🚨HABARI: Donald Trump kumuekea vikwazo jaji mkuu wa mahakama ya ICC Karim khan kwa maamuzi ya mahakama hio ya kutoa hati ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu 🚨NEWS: Donald Trump will SANCTION a British lawyer ‘Karim Khan’ over the International Criminal Court’s arrest...
  19. Jaji aliyemhukumu IGP Masengeli kifungo jela apokonywa walinzi; Jaji Mkuu Koome ataka warejeshwe mara moja

    Jaji wa Mahakama ya Juu Lawrence Mugambi amepokonywa walinzi wake siku tatu tu baada ya kumhukumu kifungo cha miezi 6 jela Kaimu Inspekta Jenerali Mkuu Gilbert Masengeli, kwa kosa la kudharau mahakama. Kufuatia kitendo hicho Tume ya Huduma za Mahakama(JSC) ikiongozwa na Jaji Mkuu Martha Koome...
  20. Eliezer Feleshi anaweza kuja kuwa Jaji Mkuu?

    Eliezer Mbuki Feleshi ni jina ambalo halitajwi kwenye Kada ya sheria hapa Tanzania saana isipokuwa wakati ule was DP World. Lakini huyu ni mtu ambaye hadi sasa amebakiza cheo kimoja kizito tu katika Justice system ya Tanzania. Ni rare situation kumtokea mtu mmoja. Eliezer Feleshi amekuwa DPP...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…