itikadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Iran: Waliouawa katika maandamano wafika 76

    Inaelezwa kuwa idadi hiyo imefikiwa ndani ya siku 11 na shutuma zikienda katika vyombo vya usalama, ambapo Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Iran (IHR) limedai nguvu kubwa inatumika kuzuia maandamano . Mamia ya waandamaji wakishikiliwa, 20 kati yao wakiwa waandishi wa habari na yameendelea...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mgogoro NCCR Mageuzi: Timu Mbatia wachukua ofisi, wasema umefanyika uhaini ndani ya chama, Mbatia bado ni mwenyekiti

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa NCCR-Mageuzi, Edward Simbeye amezungumza na waandishi wa habari leo Mei 21, 2022 na kudai kuwa kilichofanywa na kundi lililojipa sura ya Halmashauri Kuu ndani ya chama hicho mapema leo ni uhaini. Awali ilitolewa taarifa kuwa Halmashauri Kuu ya Chama cha...
  3. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Falsafa na itikadi za Hayati Magufuli ni mwarobaini kwa maendeleo ya Afrika

    ITIKADI ni moja ya msingi muhimu katika kuyafanya mnaisha ya mwanadamu kustawi zaidi, hakuna binadamu yeyote ambaye anaweza kuishi bila ya kuwa na itikadi. Neno itikadi linamaana nyingi na utata kwenye kulielezea au kutafsiri kwa sababu imegusa kila kona ya maisha ya mwanadamu. Huenda tusijue...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tukubabali au tusikubali, Hayati Magufuli alikuwa mkombozi wetu

    Ndugu zanguni, hapo nyuma kidogo na sasa kwa uchache baadhi ya watu wamekuwa wakitoa kauli za kubeza kazi nzuri zilizofanywa na JPM kwa kejeli na dhihaka. Nadhani lengo lao kubwa ni kutaka kufuta Legacy yake. Ukweli ni kwamba, hakuna mtu awaye yote anayeweza kufuta Legacy ya JPM. Mbaya zaidi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nukuu za Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM taifa, Shaka Hamdu Shaka kwenye kongamano Arusha

    BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU MWENEZI CCM TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA KONGAMANO LA KUMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUTIMIZA SIKU 365 ZA UONGOZI NCHINI. #KaziIendelee #ChamaImara #SamiaMpangoMzima. End.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka kufanya mkutano na waandishi wa habari Machi 12, 2022

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumamosi Machi 12, 2022 ataongea na Waandishi wa Habari kuanzia Saa 4 asubuhi kwenye Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM (OND) Lumumba Jijini Dar es Salaam. #CCMImara #KaziIendelee
  7. P

    JamiiForums Tanzania Bila kujali itikadi zetu za vyama na dini zetu, kuanzia leo hadi 2025, ni maombi kwa Mungu ya kuifuta CCM

    Ni Nani asiyechoka na hii kitu inaitwa CCM kwa sasa? Ninaamini hata walioko CCM dua yenu ni ili siku moja asiingie mtu asiyetokana na chama chenu, maana hofu yenu ni pale itakapo walazimu kurudisha Mali zoote mlizoiibia nchi yetu! Kwa kuwa Tanzania ni nchi ya waungwana, na wananchi wake kilio...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wanachadema Katiba Mpya sio kigezo cha kufanya mkubalike kwa wananchi. Sera na itikadi nzuri ndio mtaji wa kisiasa

    Hata kama taifa letu lipate katiba mpya, lakini kama chama cha siasa kinakuwa na sera na itikadi mbaya hakuna mwananchi atakiunga mkono. Nashangaa sana wanaCHADEMA kushupaza shingo wakidhania kuwa tukipata katiba mpya basi wataungwa mkono na wananchi. Wanadhania katiba mpya ndio tikti ya...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Belarus: Serikali yaainisha chaneli maarufu za Upinzani kama Mashirika yenye itikadi kali

    Serikali imeainisha chaneli tatu maarufu za Upinzani Mitandaoni kama Mashirika yenye itikadi kali, ikimaanisha watu wanaweza kufungwa jela kwa hadi miaka saba kwa kujisajili. Chaneli katika Mitandao ya Kijamii zilitumika kwa wingi katika kuandaa maandamano makubwa dhidi ya Rais Alexander...
  10. MulegiJr

    JamiiForums Tanzania Uzalendo, Itikadi za vyama na Usaliti

    Sitamani kuingia ndani Sana katika maana ya maneno matatu hapo Juu, #Uzalendo ni dhana ya mtu kusimama kwa ajili ya Taifa lake na si kwa maslahi ya kikundi au yeye mwenyewe. #Itikadi ya vyama vya siasa ni Mlengo wa uendeshaji na usimamizi wa Mwenendo mzima wa utawala, imani itegenezayo mifumo...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kampeni Ushetu; Baadhi ya nukuu za Katibu wa NEC itikadi na uenezi CCM, Shaka Hamdu Shaka

    NUKUU: BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA-KAMPENI USHETU. "Wananchi ninazo taarifa juu ya vitendo viovu vya kupambikiziwa kesi za kukamatwa na bangi vijana na wanawake vinavyofanywa na baadhi ya askari wetu wasio waaminifu wanaotaka kulitoa doa jeshi letu...
  12. J

    JamiiForums Tanzania CCM haina itikadi (Political Party Ideology)

    Moja ya sababu kubwa iliyooelekea Chama cha Mapinduzi (CCM) kutawala (sio kuongoza) kwa kutumia vyombo vya dola ikiwemo Polisi na TISS kushindana na vyama vya upinzani hususan CHADEMA ni kwa sababu CCM hawana ITIKADI. Ndio maana leo wanajibu hoja za Chadema kwa jeshi la polisi kuvamia shughuli...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuunganeni kukemea uovu bila kujali itikadi zetu za vyama

    Watanzania muda umefika wa kuweka pembeni tofauti zetu za kisiasa na badala yake tuungane kupinga uonevu na dhuluma. Rais anasema watanzania wameridhika na tozo. Hakuna mtanzania aliyeridhika na tozo, tuungane tukatae kwa kauli moja hii dhuluma. Kama vyanzo vingine vya mapato hawavioni...
  14. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA wana itikadi na sera ya ubinafsi

    Kwa wale wasiyoelewa wala kuona itikadi za vyama ingetosha tu kumsikiliza mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ili kujua CHADEMA wanapigania nini. Ukisikia jinsi Mbowe anamponda Magufuli mtu ambaye kabla ya kuwa Rais wa JMT kwa miaka 20 amekuwa anasimamia ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini kwa...
Back
Top Bottom